Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
maandalizi yote yamekamilikaHuo mkutano utafanyika kweli ? Tuanzie hapo kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maandalizi yote yamekamilikaHuo mkutano utafanyika kweli ? Tuanzie hapo kwanza.
Wewe ni mmojawapo wa walioingia kichwa kichwa kiushabiki.wewe ndio hukuelewa
The cycle is closing, ma- snitch tunawajua, lkn huyo Kubenea anacheza ngoma asiyeijua, yeye anatumiwa tu.
Atakua anasubiri baba la baba atimize ahadi ya kila mwalimu kuwa na laptop na kila kijiji kupewa 50mil,ndiyo nayeye atimize hizo ahadi.Yan msela kama sio mbunge wetu tu, alituhaidi vijiahadi ambavyo amevipotezea na katupotezea kabisa sisi wananchi wake
Mkuu ulimchagua kubenea lini wakati wewe ni mkaazi wa Kyaka? !!.Yan msela kama sio mbunge wetu tu, alituhaidi vijiahadi ambavyo amevipotezea na katupotezea kabisa sisi wananchi wake
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walipompigia simu Ramaphosa ili awaokoe akawaambia kwamba " HUKU KWETU HATUINGILII UAMUZI WA MAHAKAMA " mwisho wa kunukuu .
Huyu 2020 hapiti.
Sisi ndio tulimchagua 2015 kwasababu ya kuipenda chadema, lakini tumegundua jamaa hafai .
Mbona jimbo la jirani la segerea tunamuona bonnah anashughulika na changamoto jimboni kwake lakini kubenea hajawahi kuja haswa kata ya kimara.Tatizo lenu mkiambiwa ukweli mnasema Chuki
Sawa. Ntaomba utupe mrejesho. Ntarudi baadae kujua yaliyojiri mkutanoni.maandalizi yote yamekamilika
Asante kwa link nadhani utakuwa umefungua macho na masikio yetu somehow. Sasa kinachoshangaza ni kuwa kupitia Kubenea ndani ya bunge serikali ilishatahadharishwa na kwanini haikufanyia kazi tahadhari hiyo. Hivi hiyo ATCL ina lawyers kweli? Haya sasa pesa nyingine zitahitajika kwa ajili ya legal battle huko SA.
Mkuu kudaiwa siyo shida hata kidogo maana hata sasa tuna madeni ya kutosha. Lakini sasa ndiyo ifikie hatua ya kukamatiwa ndege ýetu pendwa? Hiyo ni hatua inayoashoria uzembe ndani yake, hivi kweli kama mtanzania huna chchote cha kuiambia Serikali yako pendwa kuhusu uzembe huu! Jamani tujaribu kuwa wakweli basi hata kidogo!!Kwa hiyo Mheshimiwa Kubenea ndio amepata mahali pa kutokea, siasa bwana.
Inadaiwa serikali ya Russia na ile ya USA sembuse shirika la ndege ambalo lipo katika michakato ya kujiimarisha kimataifa!.
Sifa yetu kubwa wabongo ni dramatization.Mkuu kudaiwa siyo shida hata kidogo maana hata sasa tuna madeni ya kutosha. Lakini sasa ndiyo ifikie hatua ya kukamatiwa ndege ýetu pendwa? Hiyo ni hatua inayoashoria uzembe ndani yake, hivi kweli kama mtanzania huna chchote cha kuiambia Serikali yako pendwa kuhusu uzembe huu! Jamani tujaribu kuwa wakweli basi hata kidogo!!
Hapa kazi tu !![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwani si mnalalamika mikutano imezuiwa?Mkuu nimekuwekea na video hapo kuhusu ATCL
Huna hoja !Kwani si mnalalamika mikutano imezuiwa?
Alimshinda Mgombea wa ccm aliyeitwa Didas Masaburi kwa Tofauti ya kura elfu 10
Juzi nilikuwa nawaambia washikaji wangu wa kimara kuwa huyu kura yangu hasahau
Nijibu kiongoziHuna hoja !