MH LISSU atafurahi na atakua Wakwanza Kumpokea Mchungaji Msigwa kwa Furaha, vifijo na Ndelemo!!

MH LISSU atafurahi na atakua Wakwanza Kumpokea Mchungaji Msigwa kwa Furaha, vifijo na Ndelemo!!

Amewahi kukiri kwa kinywa chake kwamba defection ya Msigwa kwenda CCM ilimuuma. Ilikuwa loss kubwa kwake!
Mkuu, Peter Msigwa ni Moja ya Watanzania wenye Uwezo Mkubwa sana yaaan Sanaaaaa kwelikweli !!.


Katika Mizani ya Lissu, Moja ya watu wanaweza kaa naye akwasikiliza Ushauri ni Peter MSIGWA.
 
Back
Top Bottom