ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Upo sahihi Yesu alifukuza majini maana yake ni kwamba mtu akiwa na Yesu hawezi kua na majini tunarudi pale pale hakuna mkristo mwenye majiniHata wasiitwe au waitwe hivyo, kuna hadithi ya yesu, kuwa aliwafukuza majini, wakawaingia nguruwe, na wakristu ndiyo walaji wakubwa wa nguruwe.
Hivi unaelewa nini unapoambiwa na mchungaji wewe fulani ana mapepo,
Kwanini huyo pepo asiingie kwa mchungaji, ikiwa kusali mnasali wote.