Mh. Mbowe kama ameshindwa kutimiza malengo makuu ya Chama, kutaka tena si uroho wa madaraka?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni;
Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza malengo ya taasisi anayoiongoza katika misimu kadhaa, ni dhahiri kwamba mbinu na jitihada zako zote zimegonga mwamba.

Tunaweza kusema kuna sababu zilizo nje ya uwezo wake katika kutimiza malengo hayo. Lakini inatosha kusema uwezo wako umeishia hapo katika kukabiliana na vikwazo hivyo.

Unajua chama sio familia, kwamba ukishindwa kutimiza malengo ya familia kuishi maisha mazuri hauwezi kujiuzuru nafasi ya baba. Sasa ile ni taasisi mambo ni tofauti sana.

Kwa kushindwa huko kutimiza malengo makuu ya Chama, ni tiketi ya kupumzika na kupisha wengine, na watu watakushukuru na kukuheshimu kwa mchango wako mkuu.

Ni dhahiri umeishiwa mbinu na kujisalimisha kwa Rais kwa kuamini anaweza kukusaidia kutimiza malengo ya Chama chako.

Kukubali kushiriki uchaguzi wa LG bila tume huru ni kutegemea huruma ya CCM

Tuwe wakweli, katika kipindi cha hivi karibuni Mbowe ana jipya gani zaidi ya kuita wanahabari na kutoa matamko yasiyo na impact yeyote.

Unapotaka kuendelea kuongoza licha ya kushindwa kutimiza malengo, hizo ni tamaa na uroho wa madaraka. Na mpaka hapo huwezi kujitofautisha na kina Kaguta Mseveni
 
Mitano tena Kwa Mhe Mbowe
Ana busara,tofauti na Mpinzani yeyote yule.
 
1. Mbowe alimtoa Dr Slaa bungeni 2010 wakati akijua kabisa huwezi kumshinda Rais wa JMT katikati ya Mihula yake 2

2. Mbowe akamleta Lowasa 2015 kwa urafiki wao wa Kanisani tu

3.Mbowe amefeli kwenye Maridhiano na CCM kwani kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa amepata 0.4%

Naunga Mkono Hoja 🐼😂
 
Katika miaka zaidi ya 15 sasa ya kuipenda na kuifuatilia Chadema, nimekuwa nikisikia na kusoma kuwa malengo yake makuu yamekuwa ni;
Kushika Dola; Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi.

Mh. Mbowe katika miaka yote hakuna alichotimiza hata kimoja. Kama kiongozi wa taasisi unaposhindwa kutimiza malengo ya taasisi anayoiongoza katika misimu kadhaa, ni dhahiri kwamba mbinu na jitihada zako zote zimegonga mwamba.

Tunaweza kusema kuna sababu zilizo nje ya uwezo wake katika kutimiza malengo hayo. Lakini inatosha kusema uwezo wako umeishia hapo katika kukabiliana na vikwazo hivyo.

Unajua chama sio familia, kwamba ukishindwa kutimiza malengo ya familia kuishi maisha mazuri hauwezi kujiuzuru nafasi ya baba. Sasa ile ni taasisi mambo ni tofauti sana.

Kwa kushindwa huko kutimiza malengo makuu ya Chama, ni tiketi ya kupumzika na kupisha wengine, na watu watakushukuru na kukuheshimu kwa mchango wako mkuu.

Ni dhahiri umeishiwa mbinu na kujisalimisha kwa Rais kwa kuamini anaweza kukusaidia kutimiza malengo ya Chama chako.

Kukubali kushiriki uchaguzi wa LG bila tume huru ni kutegemea huruma ya CCM

Tuwe wakweli, katika kipindi cha hivi karibuni Mbowe ana jipya gani zaidi ya kuita wanahabari na kutoa matamko yasiyo na impact yeyote.

Unapotaka kuendelea kuongoza licha ya kushindwa kutimiza malengo, hizo ni tamaa na uroho wa madaraka. Na mpaka hapo huwezi kujitofautisha na kina Kaguta Mseveni
Nyie CCM acheni kuingilia siasa za CDM.
 
MBOWE ni noma ni typical Behemoth
 
Yaani kwa hekima na busara za hali ya juu,Mbowe anapaswa kuachia ngazi kwa heshima ,amuache LISSU naye aongoze mapambano ,Mbowe amekuwa dhaifu mno,Hana uwezo wa kuongoza mapambano,CCM ilipofika imechoka inatafuta staili ya kuondoka madarakani lakini mbowe ameshindwa kuongoza njia ,wapiganaji wenzake waliamua kutafuta majukwaa mengine ya kutimiza ndoto za kushika Dola ,Tutamlazimisha mbowe kuachia ngazi kwa lazima ,MBOWE MUST GO.
 
Back
Top Bottom