viva CCM,VIVA MWIGULU NCHEMBA
Kama Mwigulu ni Role modal wako basi akili yako ni ndogo sana maana hata huyo mwenyewe nampimia kina cha ugokoJembe jembe jembe...
Hilo ndilo Jembe la tanzania bhana.
Naamini huko atatakata sana tu.
kweli kabisa mkuu,kazi kwake kijana anaoneakana kuaminiwa sanaaaaaaaa na chama.safi sana
Kama Mwigulu ni Role modal wako basi akili yako ni ndogo sana maana hata huyo mwenyewe nampimia kina cha ugoko
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
jembe la tanzania!! Thubutu labda jembe la huko kwao iramba!!Jembe jembe jembe...
Hilo ndilo Jembe la tanzania bhana.
Naamini huko atatakata sana tu.