Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
 
Sifa nyingine mpaka kero

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasema "wanacredble information" kwa hiyo na hii habari watakunayo tu!

Mkuu umeshasahau juzijuzi aliwaita viongozi wa dini hapo jijini kwake?
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Ana ukonk gani huyo. Acheni kumpotosha
 
Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.

My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Leo hii unalilia fedha za MABEBERU?
 
Nilidhani ametembelea USA

Back
Top Bottom