Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Baba lao kwa herufi ndogo![emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Post za kusifu, kuabudu, kubagua watu na kufitinisha wananchi ndizo huwa post zakoNakuuliza tena huwa unasoma posts zangu?
Daah Naona na zulia jekundu limeisha/kutobokaBaba lao kwa herufi ndogo![emoji38][emoji38][emoji38] View attachment 1343373
Hii ni fake...hatuongelei LHRC tunaongelea TAWLA...haya nendeni mkatengeneze fake nyingineSoma hii ndio utaelewa kuwa Makonda anafuata nyayo za Kangi, hatakiwi.
Kituo kimetoa statement kuomba radhi kumpokea Makonda (muuaji) na kimesema kimefuta picha zote za ujaji wake. Yaani Makonda anakwepwa kama ukoma sasa hivi.View attachment 1343374
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jumuiya ya kimataifa inamtambua kama Gaidi bado kukamatwa na kufunguliwa mashtakaKutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.
My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Kutoka Mitandaoni:

Leta hiyo statement ya TAWLA wakimsifu muuajiHii ni fake...hatuongelei LHRC tunaongelea TAWLA...haya nendeni mkatengeneze fake nyingine
Wewe unafikiri wamarekani wanaingizwa kingi kwa spinning zenu za kipumbavu hizi?Kutoka Mitandaoni:
Mh Mkuu wa Mkoa wa Jiji la Dar es Salaam babalao kwa herufi ndogo ametembelea kituo cha Wanasheria Wanawake wanaojihusisha na msaada wa kisheria kwa wanawake na watoto.
Makonda amewapongeza kwa kazi kubwa wanayoifanya.
My Take:
Hili ni jibu Konki sana kwa Pompeo na waliompotosha!
Yes! Konki wa mauaji.Kutoka Mitandaoni: