Mh.Paul Makonda atembelea Chama Cha Wanasheria (TAWLA) wanaopambana na ukatili wa kijinsia

Nashangaa wewe na hao wabunge wa ccm mnalilia fedha za MABEBERU zilizozuiwa kwa barua ya Zitto. Nilitegemea mfurahi kwasababu this cantri iz a "dona cantri"
Nakuuliza tena huwa unasoma posts zangu?
 
Soma hii ndio utaelewa kuwa Makonda anafuata nyayo za Kangi, hatakiwi.
Kituo kimetoa statement kuomba radhi kumpokea Makonda (muuaji) na kimesema kimefuta picha zote za ujaji wake. Yaani Makonda anakwepwa kama ukoma sasa hivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ile list haitoishia pale. Most likely mtu kama Mwigulu na yeye akapigwa ban maana mambo mengi yalitokea enzi zile jamaa ni waziri wa mambo ya ndani.

Harafu mwaka huu tukibugi kidoGo tu kwenye Uchaguzi na evidence zikawepo, hawa Mabeberu watatukaanga mchana kweupe
 
VAR imekwisha thibitisha kuwa jamaa ni muuaji. Period. Na ametandikwa redcard
 
Hii ni fake...hatuongelei LHRC tunaongelea TAWLA...haya nendeni mkatengeneze fake nyingine
 
Huyo jumuiya ya kimataifa inamtambua kama Gaidi bado kukamatwa na kufunguliwa mashtaka
 
yes ni muhimu sana Bashite kuimarisha mahusiano yake na mawakili hususani kipindi hiki akiwa na madai ya mauaji.
 


Mmeanza lini kuwa marafiki na NGO's
 

 
Mavi yamegonga chupi mwenzio wewe unasema konki
 
Wewe unafikiri wamarekani wanaingizwa kingi kwa spinning zenu za kipumbavu hizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes! Konki wa mauaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…