Tetesi: Mh.Paul Makonda kuhamishiwa mkoani Geita

Status
Not open for further replies.
Sisi wanageita tuna mhitaji kwa udi na uvumba,tunataja viongozi anayekuwa karibu na RAIA kama mh Paul

Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi! Tangu lini ukawa sisi? Hebu acha kimbelembele Cha kuwasemea watu wa geita kwani hawajakutuma! Usilazimishe kazi hata Kama ni jobless! Huko geita hawajaomba kusemewa na wewe Wala kubadilishiwa mkuu wa mkoa!
 
Sio rahisi kupewa nchi
Ubunge tu hawezi kupata labda wa kuchaguliwa
Kutakuwa kuna order imetoka mahala
Rejea IMF sijui World Bank eti ile pesa Mheshimiwa Zitto soon itaachiliwa
Kuhusu ile hela wameambiwa warekebishe mfumo wa elimu, wanaopata mimba wana haki ya kupata elimu sawa na wengine.
Uchaguzi utakuwa closely monitored.
 
taarifa kama hizi zitaushushia heshima
 
Namkubali sana Makonda ila natofautiana nae mbali katika ukatili ambao hata America imeuona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishaleta tetesi tu ndo anaendelea kubaki Dar maana namba 1 yeye huwa hapendi kutabirika kwani huwa anaibuka siku ambayo anayotaka yeye, kwahiyo uwepo wake huyo jamaa ni kutokana na wengi wanapenda atumbuliwe sasa na namba 1 anakaza makusudi kumwachie ili isionekane umma umemwamulia
 
Sisi! Tangu lini ukawa sisi? Hebu acha kimbelembele Cha kuwasemea watu wa geita kwani hawajakutuma! Usilazimishe kazi hata Kama ni jobless! Huko geita hawajaomba kusemewa na wewe Wala kubadilishiwa mkuu wa mkoa!
Aiseeh ni ishu ya post yake au kuna lingine... Coz si kwakumvaa huko.
 
Mbona umetoka povu mkuu,chuki na hofu yako iko wapi?
Sisi! Tangu lini ukawa sisi? Hebu acha kimbelembele Cha kuwasemea watu wa geita kwani hawajakutuma! Usilazimishe kazi hata Kama ni jobless! Huko geita hawajaomba kusemewa na wewe Wala kubadilishiwa mkuu wa mkoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi! Tangu lini ukawa sisi? Hebu acha kimbelembele Cha kuwasemea watu wa geita kwani hawajakutuma! Usilazimishe kazi hata Kama ni jobless! Huko geita hawajaomba kusemewa na wewe Wala kubadilishiwa mkuu wa mkoa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafadhali sana Pascal Mayalla je, unamaanisha mikoba ya uganga??
 
Kwanini asiteuliwe kuwa Waziri wa Uwekezaji ili iwe rahisi kusafiri nje ya nchi mpaka Marekani akawalete?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani mkuu naomba unisaidie kuwauliza watu wa chini ya kapeti kuhusu ajira na kuhusu milioni hamsini kila kijiji/mtaa. Tupe mrejesho.
 
Marekani wanatarajia kuweka kila kitu wazi. Usije kushangaa hata huko Geita ikawa ni ndoto. Watamvua nguo hamtaamini macho yenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…