Tetesi: Mh.Paul Makonda kuhamishiwa mkoani Geita

Tetesi: Mh.Paul Makonda kuhamishiwa mkoani Geita

Status
Not open for further replies.
Duh...!, tetesi hizi sio nzuri!, kitendo cha kuilikisha hii humu jf, umeharibu, sasa hahamishwi tena, kwasababu mhamishaji hapendi kupangiwa, hivyo hata kama ilikuwa ni kweli, akiendelea itaonekana umempangia.

Kwa vile mimi nilimtabiria Makonda makubwa, alipaswa kuhamishiwa Mwanza ili October ampumzushe yule Mbunge chapombe, aingie Bungeni, atapewa wizara nyeti, then 2025 dogo apokee mikoba

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
Au Mbadilishane,wewe Mayalla uende Geita na Makonda aende Mwanza.
 
Habari za leo waungwana?

Kuna taarifa toka chini ya kapeti kuwa kijana mchapa kazi na mwenye juhudi katika kuhakikisha taifa letu lina songa mbele Mh. Paul Makonda atahamishiwa mkoani Geita kama mkuu wa mkoa .

Hii ni kutokana na juhudi zake katika kutafuta wawekezaji ,ambapo Mh.Rais ameamua kumhamishia mkoani Geita ili asaidie upatikanaji wa wawekezaji katika sekta ya madini ,msukumo huo umekuja kutokana na mh.Paul kuwa na marafiki wengi kutoka mataifa ya ngambo ambao wameonesha nia ya kuwekeza katika sekta ya madini.

My take: namtakia kila kheri mh.Paul ,na anakaribishwa kwa moyo mkunjufu mkoani Geita, lakini pia pongezi kwa mh. Rais kwa kuamua kumleta kijana wetu mchapa kazi ili kuhakikisha kuwa sekta ya madini mkoani Geita inakuwa na kuwaletea tija wakaazi wa Geita na taifa kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii habari inaweza kuwa ya kweli, kwa sababu uchangiaji wako humu nashindwa kuitofasha akili yako na akili ya huyo Makondactor.
 
Sioni tija ya uhamisho huo Kama upo! Hivi huyo boss wake hakumsikia Pompeo na ya juzi ya dar kugeuzwa kituo Cha kupokelea mihadarati? Au anamtuma kwenda kuwapora wachimbaji Kama alivyokuwa akifanya dar?
Magu awe msikivu aache ushindani na marekani kwani hawanaga utani kwenye kuusimamia kauli zao! Kwani akimpumzisha magu atapata hasara gani?
WHY SO SERIOUS? 🤡
 
Duh...!, tetesi hizi sio nzuri!, kitendo cha kuilikisha hii humu jf, umeharibu, sasa hahamishwi tena, kwasababu mhamishaji hapendi kupangiwa, hivyo hata kama ilikuwa ni kweli, akiendelea itaonekana umempangia.

Kwa vile mimi nilimtabiria Makonda makubwa, alipaswa kuhamishiwa Mwanza ili October ampumzushe yule Mbunge chapombe, aingie Bungeni, atapewa wizara nyeti, then 2025 dogo apokee mikoba

Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
P
Unatamani Paul awe Rais? 😂😂😂
 
Wasukuma walivyo na mihogo akiendeleza ushoga wake watampasua hilo kalio!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom