4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Sio kweli ,anaupiga mwingi Mpaka unapaa JUU ya goli,Anaupiga mwingi kuelekea golini kwake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli ,anaupiga mwingi Mpaka unapaa JUU ya goli,Anaupiga mwingi kuelekea golini kwake
Hivi huyo shujaa si alishakufa? Sasa hao wafuasi wake wanatokea wapi tena? Na wamhujumu mama ili wapate nni na shujaa wao hayupo tena. Yaani mlimuogopa mtu mpaka na kivuli chake bado kinawasumbua.Habari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule...
Inawezekana na haiwezekani presha ni nyingi hata mke nyumbani aweza kuyumbishwa na mke au watoto. Tumshairi tu asimame imara na kwenye haki atayashinda majaribu. AsiogopeYanayofanyika yana baraka zake! Anahujumiwa kivipi! Maamuzi si yanafanyika kwenye baraza huko!.Na yeye ni mtoa maamuzi wa mwisho!.wengine chawa tu! ..Msitake kumkwepesha lawama ! Lazima alibebe hili!. Mbona Jpm kutwa kucha mlikua mnaporomosha nyuzi humu?! Tulieni!.
Hizi sasa ni propaganda, hakuna waziri anayeweza kwenda kinyume na matakwa ya raisi. Haya yanayoendelea yana baraka zake zote.Inawezekana na haiwezekani presha ni nyingi hata mke nyumbani aweza kuyumbishwa na mke au watoto. Tumshairi tu asimame imara na kwenye haki atayashinda majaribu. Asiogope
Mwenye akili alishaliona hili mapemaaaa! I wrote the same thing in one of my posts juzi, kuwa huyu wamemtega bila yeye kujijua, anatakiwa kung'oa hiyo Miguu yakeHabari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule...
Wanamuhujumu.Tumepata bahati kubwa mno kumpata SSH, rais wa kike, mwenye huruma na imani, raisi wa wanyonge.....ila nasikitika kuona baadhi anaofanyanao kazi sio watu wazuri, nia yao kumharibia.
Toa ushauri kuhusu wigo wa ongezeko la kodi na ukamilishaji wa miradi iweje? Huoni km hili la ukamilishaji wa miradi ili kuendelea kuwa uchumi wa kati likiachwa nalo siyo zuri kwa Rais na nchi tusiangalie upande mmoja.Habari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule...
Mchaga hawezi wataiba kimtandao na ukanda. Be watchful tuna uzoefu nao.Hivi Kwann asiweke mchaga hio wizara mnyaturu na pesa wapi na wapi bwashee
Nakuomba tena Mama yangu ufikirie tena hivi vimeo unavyochomekewa, na uwe makini navyo. Mafuta ndio "trigger" ya mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali za muhimu. Na kwenye miamala ya tigopesa/mpesa ndio wengi wa kipato cha kati na chini hufanya miamala yetu, sababu hatuna hela za kuweza kukaa benki.[emoji736][emoji817][emoji1545]Habari Mheshimiwa Rais,
Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule...
Kazidisha chachanduMama anaupiga mwingi [emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahili mshauri aliye shauri ajitafakari. Wengine hutumiwa Elfu 2 tu jamaa kapigika huko kutwa nzima kapata elfu 3 anatuma ili mtoe Elfu 2 maisha yaende na amani ya familia IendeleeNakuomba tena Mama yangu ufikirie tena hivi vimeo unavyochomekewa, na uwe makini navyo. Mafuta ndio "trigger" ya mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali za muhimu. Na kwenye miamala ya tigopesa/mpesa ndio wengi wa kipato cha kati na chini hufanya miamala yetu, sababu hatuna hela za kuweza kukaa benki...