Mh. Rais makamu wako asiwe mtu anayewaza kuja kuwa Rais

AirorokiVava

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2026
Posts
258
Reaction score
302
Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi, very good person! Kanda ya Ziwa John Mongela this is the best candidate, Dotto Biteko, Innocent Bashungwa, shida ya hawa wawili ni umri.
Mzee Mizengo Kayanza Piter Pinda anafaa sana, shida arrogance kukutii!
Rais wa nchi lazima tumtii wote! Rais siyo personality ni ofisi, ni ICON ya nchi!
Kila la kheri mpenzi RAIS wangu niliyekupigia kura.
 
Urais ni ndoto ya kila mwanasiasa, ukisogea mpaka VP ni dalili kwamba inawezekana.
Ikiwa Katiba inaruhusu siyo kosa kupigania cheo hicho ukitokea Makamu.
 
Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi, very good person! Kanda ya Ziwa John Mongela this is the best candidate, Dotto Biteko, Innocent Bashungwa, shida ya hawa wawili ni umri.
Mzee Mizengo Kayanza Piter Pinda anafaa sana, shida arrogance kukutii!
Rais wa nchi lazima tumtii wote! Rais siyo personality ni ofisi, ni ICON ya nchi!
Kila la kheri mpenzi RAIS wangu niliyekupigia kura.
ID Mpya.
Wewe ni nani katika hao uliopendekeza..!?

Hii nchi imeshikwa na wahuni.
Polepole tutaendelea kukukumbuka.
 
Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi, very good person! Kanda ya Ziwa John Mongela this is the best candidate, Dotto Biteko, Innocent Bashungwa, shida ya hawa wawili ni umri.
Mzee Mizengo Kayanza Piter Pinda anafaa sana, shida arrogance kukutii!
Rais wa nchi lazima tumtii wote! Rais siyo personality ni ofisi, ni ICON ya nchi!
Kila la kheri mpenzi RAIS wangu niliyekupigia kura.
Tatizo sio kutii hakuna asiyependa kutii mamlaka hasa ikiwa imekunyanyua kutoka sehemu moja kwenda nyingine ya juu zàidi shida ni unatii maono yapi, maamuzi gani unayotii yaani boss wako anakwambia ulambe mavi na wewe sababu unapaswa kutii basi unalamba huo ni uwenda wazimu sio kutii huko.
 
“Tumtii” na nani?nitoe kwenye huo ujinga ukimtii wewe na mumeo mnatosha
 
Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo.
Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa!
Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi, very good person! Kanda ya Ziwa John Mongela this is the best candidate, Dotto Biteko, Innocent Bashungwa, shida ya hawa wawili ni umri.
Mzee Mizengo Kayanza Piter Pinda anafaa sana, shida arrogance kukutii!
Rais wa nchi lazima tumtii wote! Rais siyo personality ni ofisi, ni ICON ya nchi!
Kila la kheri mpenzi RAIS wangu niliyekupigia kura.
Mkuu wa mkoa wa Njombe,au mbunge wa mtwara mjini,Naibu wa Spika,yoyote kati ya hao akiteuliwa ni sawa
 
Yeye mwenyewe hakuwaza kama angekuwa Rais tumuachie Mungu
 
Kuondoa hizi fitna na kutumia madaraka vibaya kwa malengo ya kufikia madaraka ya juu zaidi (urais), iwe such that, ukishaingia kwenye lile kundi la kulipwa 80% hadi kifo, that's final huruhusiwi kugombea nafasi ya uongozi baada ya kustaafu cheo ulicho nacho.

Kama una malengo ya nafasi ya juu baadaye, usikubali uteuzi wa nafasi ya 80%! Jitu lina 80% bado tamaa za kijinga na kufanyiana figisu. That's it!
 
Back
Top Bottom