Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

Dah watu wanachapiana wake
Kama ni kweli huu uzi kunahaja ya kuusambaza social media zote na uwatag ummy na chief hangaya
 
Hizi ishu najua siku zikinikuta najua asubuhi yake mtaandaa mazishi ya bosi wenu...Wafanyakazi wa Halmashauri wanatuona walimu kuwa viroboto ...
 
Tanga jiji pameoza sana,kuna mambo ya hovyo sana wala sio uongo! Nilishawahi kufanya nao kazi mwaka huu mwanzoni kwenye mambo fulani.haya anayosema mtoa mada ukiwa kule ndio habari ya mjini wala sio fitina.
 
Ummy namuona waziri wa makelele tu kutwa anabwabwaja kama nguchiro
 
Huyo mkurugenzi hajakutana na watoto wa mjini kama mimi....yaani umchukue mke wangu na bado na ajira yangu ninyang'anywe....jela au kifo ndio itakuwa haki yangu.....kumalamsengerema huyo mkurugenzi uchwara...
Anaitwa nani huyu mkurugenzi asiye jiheshimu kiasi hicho
 
Ummy namuona waziri wa makelele tu kutwa anabwabwaja kama nguchiro
Upo sahihi sana mkuu.
Utashangaa kwamba yule Afisa Elimu Taaluma ambaye ameacha kazi kwa madai ya kunyanyaswa na Afisa Elimu sekondari jiji la Tanga,hatendewi haki. Hakuna aliyewajibishwa.
Alichokifanya Ummy nikumuweka rafiki yake ambaye nikada mwenzakeke ajaze nafasi ya huyo mama aliyeacha kazi.
Huyo aliyeenda kua Afisa Elimu Taaluma shule yake ndio ilikua ya mwisho kwenye mitihani ya ndani ya jiji. Sasa huyo atainuaje taaluma. Shule imemshinda kusuka mikakati ataiweza halmashauri?
Ummy anachangia kuiua Tanga

Ummy acha ukasuku utaondoka TAMISEMI kama huyo mgoni alivyoondoka ukurugenzi Tanga jiji
 
Kwa wabunge waliopo huyo ummy ndio mwenye afadhali!
 
Afisa elimu sekondari ni Dr Ngumbi?
 
Ananikera akiona kamera anachekacheka kinafki utafkiri amekalia kitu chenye ncha kali.
 
Ananikera akiona kamera anachekacheka kinafki utafkiri amekalia kitu chenye ncha kali.
Jimboni kwake kunamiradi ilishaliwa na huyo mgoni aliyeondoka na mahawara zake.
Mwenye akili ajiulize kwanini Ummy hana nguvu ya kuhoji hata kupitia baraza la madiwani?
 
Acha umbea!
 
Huyo ummy mwalimu ni janga hapo tamisemi..alipoingia tu pale tamisemi kuna wahuni wakampa michongo ya upigaji..kuanzia kwenye ajira,haki za watumishi walio chini ya TAMISEMI na mengine meeeeengi.....

Ila yote tisa mkuu, Waziri mwenye michongo ya upigaji na upendeleo kwenye ajira za umma ni Jenister Mhagama

Huyu mama kaingiza watu karibia 500 kinyemela NSSSF. Katika hao kuna jamaa zake kibao na jamaa za marafiki na maswahiba wake

Mwanzo waliingia kama vijana wa field lakini mipango inaendelea kuwapa mikataba ya ajira za kidumu

Hawa hawakuwahi kufanya interview. Wale waliofanya usaili hata hawakujibiwa na inakaribia mwaka sasa
 
Tanga jiji nasikia kuvuliwa madaraka ni kawaida Sana kama sio timu ODDO
 
Huyo mama nae anajifanyisha kupigia viongozi magoti kila akisalimiana nao.
Viongozi wanajua niheshima basi kumbe nae ni mbinumbinu za kufunika kombe.
Kama amefanya hivyo kwawatu wote hao hapakosekani RUSHWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…