Afrikasana
JF-Expert Member
- Oct 27, 2021
- 320
- 288
- Thread starter
- #41
Timu ODDO wameanza kupongezwa,amempa swahiba wake uafisa Elimu taaluma. Sasa sikilizeni kitakachotokea hapo zitapigwa ngumi siku huko mashuleni.Tanga jiji nasikia kuvuliwa madaraka ni kawaida Sana kama sio timu ODDO
Maana huyo nae ni posho na mademu