Mh. Rais unahujumiwa na Ummy Mwalimu kupitia TAMISEMI. Sio mtenda haki

Tanga jiji nasikia kuvuliwa madaraka ni kawaida Sana kama sio timu ODDO
Timu ODDO wameanza kupongezwa,amempa swahiba wake uafisa Elimu taaluma. Sasa sikilizeni kitakachotokea hapo zitapigwa ngumi siku huko mashuleni.
Maana huyo nae ni posho na mademu
 
Kuna mkuu wa shule mmoja ambaye alikua kiburudisho cha huyo mkurugenzi alipoiba hela na walimu walipokua kinyume na huo wizi,kilichotokea unaweza ukadhani sio Tanzania hii.

Waliopinga ubadhirifu wote walikiona cha moto na mwalimu mmoja alizimia wakati alienda kudai fedha zake kwa mkurugenzi. Wala hakumpa maana eti alimchafua mkurugenzi TAKUKURU. Maana yake nikwamba TAKUKURU walinunuliwa wakatoa siri.
Mwalimu yule hata hivyo alifariki siku za baadae akiwa na kinyongo kikali sana na Daudi Mayeji pamoja na muonevu mwenzake afisa elimu wa shule za sekondari jiji la Tanga
Watu hao wawili walitumia nguvu sana kumtetea huyo mkuu wa shule mwizi
 
Tunaomba wahusika wafuatilie jambo hilo pmj na mengine.
Labda Rais mwenyewe aingilie kati tena kwakushukiwa na roho mtakatifu maana hawa wabadhirifu ni niwashirikina balaa. Wamefunga njia hakuna mtu anayekuja Tanga kuwafuatilia. Na atakayekuja anawachekea anawasifia na kuondoka.
Unaweza ukajiuliza kama waziri ndio hivyo tena, huyo RAS anatoa wapi misuli ya kupambana na ODDO
 
Huyo ummy mwalimu ni janga hapo tamisemi..alipoingia tu pale tamisemi kuna wahuni wakampa michongo ya upigaji..kuanzia kwenye ajira,haki za watumishi walio chini ya TAMISEMI na mengine meeeeengi.....
Sasa nimepata mwangaza! Kumbe zile salary arrears za walimu waliopanda madaraja April mosi 2018 ambazo hazijalipwa Hadi Leo hii zimepigwa na ODDO? Na cwt Kwa uoga wao wamemute na kufreeze Kwa uoga hawalianzishii logo Kwa uoga wa kufukuzwa kazi!
Nakumbuka mh. Rais alishalitolea ufafanuzi hili suala miezi Saba iliyopita lakini hakuna utekelezaji! ODDO hili la kudharau maelekezo ya boss wako unalizungumziaje au ni kweli umeshirikiahwa kwenye mgao? Kama mmezila hizo pesa mtazitapika!
 
Huyo mkurugenzi hajakutana na watoto wa mjini kama mimi....yaani umchukue mke wangu na bado na ajira yangu ninyang'anywe....jela au kifo ndio itakuwa haki yangu.....kumalamsengerema huyo mkurugenzi uchwara...
Haa Tanga Kunani Palee
 
Kwa wabunge waliopo huyo ummy ndio mwenye afadhali!
Sikubaliani na observation yako. She could be better than MSUKUMA for sure; lakini sio kuliko yule aliyekuwa waziri wa Kilimo na Jiwe akamuondoa kwa inferiority complex yake na sasa ni makamu Mwenyekiti wa Kamati ya hesabu!! What Samia needs at this crucial time in her reign is people who can deliver to the people and not choir girls!!!
 
Naona mmesahau ule msemo kwamba "Nyani haoni kundule"
 
Hamna majungu kweli hapa??mana naona issue za mapenzi ndio zimetawala kwa hio mnataka Ummy awaambie acheni kupigana miti!??

Nyie si watu wazima mnajua mnachokifanya?au mpaka mpelekwe pelekwe kama watoto ndio mjue MTU anafanya kazi?

MTU mzima hapangwi anajipanga.pigeni kazi acheni fitna na majungu hazina tija.
 
Kuna ukweli kwakiasi kikubwa
 
Too trivial issue to be dealt directly with the minister.

Hebu Wasilisha kero hii kwa RAS
Kumwambia huyo mtu awasilishe kero yake kwa RAS wa Tanga nibora ampelekee Millard Ayo akaposti kwenye page yake.
Huyo RAS amechoka nikama hamna kitu yani
 
...Mkuu Bulesi, Hata sisi Wazee hatumtaki!
 
Huyo mkurugenzi hajakutana na watoto wa mjini kama mimi, yaani umchukue mke wangu na bado na ajira yangu ninyang'anywe....jela au kifo ndio itakuwa haki yangu, huyo mkurugenzi uchwara.
...Kweli! Hao Jamaa nao ni Mazumbukuku! Yaani mnachukuliwa Wake zenu na Ajira zenu zinawekwa kwenye Hati Hati na Mtu Mmoja TU na Mnashindwa kumfanyia huyo Mtu Tukio lolote?
Miaka ya 90' nilipokuwa Tanga Watu wanatembea na Wake za Watu walikuwa wanaliwa Kiboga TU...na Sio lazima Mpaka afumaniwe!!
 
...Hawa Watu Hata kuwataja Majina Mnaogopa! Ndio maana mnawapa Kichwa! Tajeni Majina wajilikane, wataogopa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…