Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!
 
Suruhisho ni shetani mkuu nchini kujibua gamba avunje kundi lake la siri vyombo vifanye kazi kitaalam
 
Unataka kuelewa nini mkuu wakati hata waziri wa mambo ya ndani haoni tatizo na tayari amesha muagiza IGP awashughulikie wote wanao kwenda kinyume na kutoa matamko...🤨
 
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!

..hiyo namba inaweza kuwa inakwenda moja kwa moja kwenye dawati la watekaji.
 
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!
Wewe ni maiti
 
Muhimu ni kiongozi wa kakundi hako haramu atoe order ya kukifuta kikundi hicho bas
 
SHETANI ATOI SHETANI MWEZAKE. by JESUS
Kimya sababu wao ndiyo wahusika
Basi iundwe Tume huru, au bado huridhiki?
Ushauri Mbunge Kawe asishutumiwe wala asilaumiwe, baada ya huo mfumo, kutakuwa hakuna "Noise bell upload"
 
Linateleza na kusambaza uchafu 😁
Ha ha ha!,
Kelele mpaka sass zipo kwenye mambo mawili tu,
Lissu,-- kwa kuwa chama chake hakishiriki mikutano yake isitishwe,asamehewe na apuuzwe tu.
Utekaji - - yaliyopo hapo juu yatimilizwe!
Yamalizwe nchi yetu itulie, nachukia wabunge kuropoka kama siyo intellectual, mpaka kujiaibisha juu ya uwezo wao kiakili.
 
Kinachotakiwa ni utawala bora wenye uelekeo wa hatma ya pamoja kama taifa, huku tukitanguliza maslahi ya taifa mbele.
Unapotengeneza machawa wanaokuzunguka unakua huna tofauti na wanaapolo/wachimbaji wa zamani ambao waliweza kupata mamilioni kupitia uchimbaji wao lakini wakafilisika kwa muda mfupiy na kurudi kwenye hali mbaya zaidi kuliko mwanzo kwa sababu ya wapambe/machawa.

Chawa/mpambe anaweza kuumiza watu na kuleta sintofaham kubwa mtaani kwa kupitia hela zako lakini siku ukianguka chawa huyohuyo ndio atakua anatoa siri zako kwamba uliringa sana, ulikua mhongaji sana, hukua na hekima na mengine mengi.

Chawa au mpambe ni mtu yupo kama feni... Yeye kazi yake ni kuzunguka tu kukusifia ila siku ukianguka inakua ndio umeme umekata
 
Back
Top Bottom