Press ya nini?Mpaka leo nashangaa Vyombo vya Ulinzi na Usalama havijatoa tamko kufuatia press ya Gwaji boy!
Kuna H hapoNani wa kuunda tume huru?. Hivi unaelewa maana ya shetani hatoi shetani mwezake?. Basis tambua pia shetani aundi tume ya kumchunguza shetani mwezake
Wale wabunge toka Znz walio ongea maneno mbovumbovu jana nao ni intellectuals?Ha ha ha!,
Kelele mpaka sass zipo kwenye mambo mawili tu,
Lissu,-- kwa kuwa chama chake hakishiriki mikutano yake isitishwe,asamehewe na apuuzwe tu.
Utekaji - - yaliyopo hapo juu yatimilizwe!
Yamalizwe nchi yetu itulie, nachukia wabunge kuropoka kama siyo intellectual, mpaka kujiaibisha juu ya uwezo wao kiakili.
Tunaiomba hio Clip kwa uchunguzi zaidiWale wabunge toka Znz walio ongea maneno mbovumbovu jana nao ni intellectuals?
Fact fact kumaliza huu utata waje na maelezo ya kujieleza vizuri maana hoja za gwajima zinagusa maisha halisi ya watanzania na ukiangalia kwa makini zile data miongoni mwao ndo wamempa zile dataAsalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!
Mkuu ebu kaa kwa kutulia; hicho ni kikosi kilichoundwa na Jeshi letu ndiyo maana unaona wanayo kigugumizi. Hivi unadhani waliounda hicho kikosi cha kuteka watu, kuwabaka na kuwaua waTanzania hawana ndugu au Familia huku mtaani?Ha ha ha!,
Kelele mpaka sass zipo kwenye mambo mawili tu,
Lissu,-- kwa kuwa chama chake hakishiriki mikutano yake isitishwe,asamehewe na apuuzwe tu.
Utekaji - - yaliyopo hapo juu yatimilizwe!
Yamalizwe nchi yetu itulie, nachukia wabunge kuropoka kama siyo intellectual, mpaka kujiaibisha juu ya uwezo wao kiakili.
Sasa wewe unashutumu bila ushahidi, toa ushahidi hapa, (Authority can solve)Mkuu ebu kaa kwa kutulia; hicho ni kikosi kilichoundwa na Jeshi letu ndiyo maana unaona wanayo kigugumizi. Hivi unadhani waliounda hicho kikosi cha kuteka watu, kuwabaka na kuwaua waTanzania hawana ndugu au Familia huku mtaani?
Viongozi wote wa juu wanaisapoti na kuipa baraka zote ingekuwa kinyume na hapo wangeshalisambaratisha mapema sana.
Mimi wasiwasi wangu ni watetezi wa hicho kikosi wakati wanajua kabisa wao pia wanaweza kufikiwa kwa njia yoyote ile ya kutumwa na mamlaka au kununuliwa na wabaya wao.
Pazeni sauti siyo kuleta mambo ya chama utafikiri nyie ni mawe hakuna mwana Familia au watoto wenu wanaoweza kufanyiwa vitendo vya utekaji na ubakaji.
Kikundi hicho kimeshanogewa kitaanza kununuliwa na watu kuwaiumiza watu wengine.
Asante mkuuKuna H hapo
Nitoe ushahidi kwa mwenye kikundi? Wangapi wametoa ushahidi ila wameishia kutekwa na kubakwa?Sasa wewe unashutumu bila ushahidi, toa ushahidi hapa, (Authority can solve)