Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,234
- 28,473
Can you prove?Unaowaongelea ndio wahusika
Proof gani unataka, bunge kukataa kujadili au kufanya uchunguzi lisu kupigwa risasi?Can you prove?
Suruhisho ni shetani mkuu nchini kujibua gamba avunje kundi lake la siri vyombo vifanye kazi kitaalamAsalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!
Unataka proof ya aina gani labda?Can you prove?
SHETANI ATOI SHETANI MWEZAKE. by JESUSCan you prove?
Asalam aleykum!,
Kwa uoni wangu hafifu, ningeliomba waandamizi na kamati zote za kiusalama, kuyajadili madhaifu yote yanayolalamikiwa na hatimaye kuja na suluhisho moja, namna jinsi watakavyojipanga kuhakikisha madhaifu yote, yanashughulikiwa kwa ukaribu pamoja na ulinzi kuimarishwa zaidi, huku wakituwekea TOLL FREE NUMBER, ambayo itamsaidia yeyote yule anayehisi mashaka juu ya usalama wake kuweza kupiga kwa haraka na kupata usaidizi wa haraka!
N. B, kwa hali iliyokuwepo kwa sasa, na serekali kuendelea kukaa kimya inaleta maswali 1000+.
*wasalaam!
*Kauli moja tu ya hili, yote yanakwenda kwisha!, maana yaelekea swala hili linakwenda kutumika kama ajenda, kwa wale wasio na sera kwa watanzania!
Wewe ni maitiAsalam aleykum!,

Tuachane na ya lissu, tushughulike na hili lililopo!Proof gani unataka, bunge kukataa kujadili au kufanya uchunguzi lisu kupigwa risasi?
Kuyuli wewe, (NILILOZUNGUMZA HAPA NDILO JAWABU LA KELELE ZOTE)Wewe ni maiti
Basi iundwe Tume huru, au bado huridhiki?SHETANI ATOI SHETANI MWEZAKE. by JESUS
Kimya sababu wao ndiyo wahusika
Linateleza na kusambaza uchafu 😁Umeshaona mtu akichambia jani la mgomba?
Mpaka leo nashangaa Vyombo vya Ulinzi na Usalama havijatoa tamko kufuatia press ya Gwaji boy!
Ha ha ha!,Linateleza na kusambaza uchafu 😁
Kinachotakiwa ni utawala bora wenye uelekeo wa hatma ya pamoja kama taifa, huku tukitanguliza maslahi ya taifa mbele.Ha ha ha!,
Kelele mpaka sass zipo kwenye mambo mawili tu,
Lissu,-- kwa kuwa chama chake hakishiriki mikutano yake isitishwe,asamehewe na apuuzwe tu.
Utekaji - - yaliyopo hapo juu yatimilizwe!
Yamalizwe nchi yetu itulie, nachukia wabunge kuropoka kama siyo intellectual, mpaka kujiaibisha juu ya uwezo wao kiakili.
Nani wa kuunda tume huru?. Hivi unaelewa maana ya shetani atoi shetani mwezake?. Basi tambua pia shetani aundi tume ya kumchunguza shetani mwezakeBasi iundwe Tume huru, au bado huridhiki?
Ushauri Mbunge Kawe asishutumiwe wala asilaumiwe, baada ya huo mfumo, kutakuwa hakuna "Noise bell upload"