Mh. Rais wetu mpendwa, akae na waandamizi wa ulinzi na usalama waje na tamko!

Angalau wewe ni chawa unajitambua hongera sana bwashee
 
Wale wabunge toka Znz walio ongea maneno mbovumbovu jana nao ni intellectuals?
 
Fact fact kumaliza huu utata waje na maelezo ya kujieleza vizuri maana hoja za gwajima zinagusa maisha halisi ya watanzania na ukiangalia kwa makini zile data miongoni mwao ndo wamempa zile data
 
Mungu ampe maono arudi kwenye mind na senses zake, kwa sasa hivi pawa ipo kwa abdu na mkwe kifua kipana
 
Mkuu ebu kaa kwa kutulia; hicho ni kikosi kilichoundwa na Jeshi letu ndiyo maana unaona wanayo kigugumizi. Hivi unadhani waliounda hicho kikosi cha kuteka watu, kuwabaka na kuwaua waTanzania hawana ndugu au Familia huku mtaani?

Viongozi wote wa juu wanaisapoti na kuipa baraka zote ingekuwa kinyume na hapo wangeshalisambaratisha mapema sana.
Mimi wasiwasi wangu ni watetezi wa hicho kikosi wakati wanajua kabisa wao pia wanaweza kufikiwa kwa njia yoyote ile ya kutumwa na mamlaka au kununuliwa na wabaya wao.

Pazeni sauti siyo kuleta mambo ya chama utafikiri nyie ni mawe hakuna mwana Familia au watoto wenu wanaoweza kufanyiwa vitendo vya utekaji na ubakaji.
Kikundi hicho kimeshanogewa kitaanza kununuliwa na watu kuwaiumiza watu wengine.
 
Sasa wewe unashutumu bila ushahidi, toa ushahidi hapa, (Authority can solve)
 
Mfano mwanao mpendwa ndo kiongozi wa hilo genge utamfunga jela?
 
Labda wakakae kupunguza unafikiri wanaofanya ni hakina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…