Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

Mh.Samia kopa mabilioni tugawie kila mtu laki tano-tano

wasira-px-data.jpg
kazi iendelee
 
Huu ushauri unaweza kuuona ni wa kujinga,labda mpaka uwe na upeo wa mbali.

Nimeona serikali imekopa mabilioni kwa ajili ya kuruzuku sekta ya mafuta na bei zipungue. Kama serikali imekopa maana yake sisi-sisi ndio tutarudisha hiyo hela. Kama sisi ndio tutairudisha,sasa hapo tumekwepa nini? Maana yake serikali inamaanisha hii issue ni unkwepable.

Kama hili limewezekana basi serikali itutatulie na hili janga la kukosa hela ya kununua mahitaji muhimu. Itukopee

Ipige hesabu kila mtu apewe laki tano-tano mpaka milioni. Tutalipa mbele ya safari kama tutakavyolipa mkopo wa ruzuku ya mafuta.

Ni hayo! Jadili bila jazba

36D76FDE-70C1-40AC-A694-E87EFC5A6854.jpeg
 
Hatujakopa pesa hizo bali tumepunguza tozo kwenye mafuta na ndio maana umeambiwa kuwa serikali haitakusanya karibia 102b kutokana na punguzo hilo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Matope tu haya quandilion 6 utakopa bank gani hapa duniani
 
Akope deni utabeba wewe, wkat huo mkwepaji wa kodi mzuri sana
 
Hatujakopa pesa hizo bali tumepunguza tozo kwenye mafuta na ndio maana umeambiwa kuwa serikali haitakusanya karibia 102b kutokana na punguzo hilo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna tozo itakayopungua serikali imesema itabana matumizi pesa itayopatikana ndo itatumika kupunguza bei ya mafuta.
 
Back
Top Bottom