Huyu jamaa aleyemkubatia Mhe Raisi Uhuru Kenyatta juzi juzi alimfukuza Balozi wa UN nchini Somalia..muda si mrefu UN Compaund zilizopo kwenye Hell hole Zikashambuliwa na Majeshi yake mara ghafla eti Alshabaabu wakadai ati ni wao hahaaaa jaanja ya nyani.USHAHIDI TAFADHALI! KUHUSU HAYO MAWAZO YAKO CHIFU, JAPO NI KWELI KABISA KUWA SIKU ZOTE KTK MAISHA HUWA "IBILISI WA MTU NI MTU"
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanafanya kazi Nzuri ya kutangaza Neno la Bwana na Wasomali wengi wameanza Kumkubali Yesu Kristo sasa hawa Alshababu hawataki.Tuulizane swali moja hapa ''''''Kenya anapata maslai gani Somalia ''''''haiwezekani unashambuliwa wanakushambulia wanataka utoe majeshi lakini bado hutaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasomali katika Nchi ya Kenya wana Majimbo yao ya Asili,North East wao Mipaka imewakuta pale na wengi wao sio watu wenye Msimamo mkali wa kidini ila kuna wakimbizi wengi walioingia kenya Kuwakimbia hao hao Alshababu.Wasomaki wameshaidominate kenya
Kuwatoa ni ngumu sana waliwachekea wakati wanaingia wakijifanya wakimbizi sasa ndio wanamiliki uchumi wa kenya kwa kiasi kikubwa
Hata Tanzania iangalie hili kwa makini wasomali wengi wanaingia nchini bila kibali wanaletwa na wasomali wenzao waliopo nchini
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaakaya kile kichwa kingine,hakipati moto kirahisi.Tangu Jakaya Aondoke Kenyata kachukua nafasi ya kuwakilisha Jumuia ya Africa Mashariki Kimataifa Na ndio sababu Hata ule Umoja wa Kenya, Rwanda Na Uganda umekufa kwa Kuwa sasa Tanzania imerejea Kwenye nafasi yake ya chini.
Wasomali katika Nchi ya Kenya wana Majimbo yao ya Asili,North East wao Mipaka imewakuta pale na wengi wao sio watu wenye Msimamo mkali wa kidini ila kuna wakimbizi wengi walioingia kenya Kuwakimbia hao hao Alshababu.
Hapa nyumbani tunao Wasomali poa tatizo wengi wako CCM kama kina RageBashe na Kinana...Kitengo cha usalama kifanye kazi na hawa Wasomali poa wetu ili Alshabaabu wakiingia kwenye jamii wafinywe kimya kimya bila kusababisha njiwa kukurupuka.
We hujauona 'Mkasa' Wa Miguna Miguna?!!...mambo ya Siasa yana konakona nyingi.Hao Wasomali ndani ya CCM siku watajaribu kuhoji serikali au kujiunga kwenye upinzani, mtawazushia uraia na kuwapakia kwa malori hadi nije ya nchi, wakati sisi huku tuna viongozi wa upinzani wenye asili ya Kisomali.
We hujauona 'Mkasa' Wa Miguna Miguna?!!...mambo ya Siasa yana konakona nyingi.
Sisi huku Tanzania nasikia wanataka Kumvua Uraia Zitto Kabwe ili ahamishiwe katikati ya mpaka wa Tanzania na Burundi.
Mmarekan anapigana na Alshabab wa Somalia kwenye ardhi wa Kenya......Tuulizane swali moja hapa ''''''Kenya anapata maslai gani Somalia ''''''haiwezekani unashambuliwa wanakushambulia wanataka utoe majeshi lakini bado hutaki.
Sent using Jamii Forums mobile app