Mh.UHURU KENYATTA kuwa Makini SANA!

Mh.UHURU KENYATTA kuwa Makini SANA!

imhotep

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
55,997
Reaction score
88,219
Haohao wanaojifanya kukukumbatia ndio hao hao wanaokuzunguka na kukupiga mabomu.
2019117636833272846411709fu.jpg
 
USHAHIDI TAFADHALI! KUHUSU HAYO MAWAZO YAKO CHIFU, JAPO NI KWELI KABISA KUWA SIKU ZOTE KTK MAISHA HUWA "IBILISI WA MTU NI MTU"

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa aleyemkubatia Mhe Raisi Uhuru Kenyatta juzi juzi alimfukuza Balozi wa UN nchini Somalia..muda si mrefu UN Compaund zilizopo kwenye Hell hole Zikashambuliwa na Majeshi yake mara ghafla eti Alshabaabu wakadai ati ni wao hahaaaa jaanja ya nyani.
 
Tuulizane swali moja hapa ''''''Kenya anapata maslai gani Somalia ''''''haiwezekani unashambuliwa wanakushambulia wanataka utoe majeshi lakini bado hutaki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanafanya kazi Nzuri ya kutangaza Neno la Bwana na Wasomali wengi wameanza Kumkubali Yesu Kristo sasa hawa Alshababu hawataki.

Wakati wao kupitia mitandao yao wanaruhusiwa kuutanga Uisilamu Ndani ya Kenya kwahiyo Tatizo liko wapi?!
 
Lakini unatakiwa kuwa makini wakati wa kuvua kwa Kokolo,sio wote ni Samaki unaweza kuvua na Mamba.
 
Wasomaki wameshaidominate kenya

Kuwatoa ni ngumu sana waliwachekea wakati wanaingia wakijifanya wakimbizi sasa ndio wanamiliki uchumi wa kenya kwa kiasi kikubwa

Hata Tanzania iangalie hili kwa makini wasomali wengi wanaingia nchini bila kibali wanaletwa na wasomali wenzao waliopo nchini

Wasomali katika Nchi ya Kenya wana Majimbo yao ya Asili,North East wao Mipaka imewakuta pale na wengi wao sio watu wenye Msimamo mkali wa kidini ila kuna wakimbizi wengi walioingia kenya Kuwakimbia hao hao Alshababu.
Hapa nyumbani tunao Wasomali poa tatizo wengi wako CCM kama kina RageBashe na Kinana...Kitengo cha usalama kifanye kazi na hawa Wasomali poa wetu ili Alshabaabu wakiingia kwenye jamii wafinywe kimya kimya bila kusababisha njiwa kukurupuka.
 
Mhe Raisi Uhuru Kenyatta Ajue tu "Mbaramwezi kwa mtembezi na Giza ni kwa Mnyakuzi"sio kila kikukumbatiacho ni rafiki..hao jamaa kama wanauwezo wa kukumbatia Bomu...Poleni sana ndugu zetu Wakenya na wageni woote mliofikwa na Msiba huu mzito.
 
Tangu Jakaya Aondoke Kenyata kachukua nafasi ya kuwakilisha Jumuia ya Africa Mashariki Kimataifa Na ndio sababu Hata ule Umoja wa Kenya, Rwanda Na Uganda umekufa kwa Kuwa sasa Tanzania imerejea Kwenye nafasi yake ya chini.
 
Wasomali katika Nchi ya Kenya wana Majimbo yao ya Asili,North East wao Mipaka imewakuta pale na wengi wao sio watu wenye Msimamo mkali wa kidini ila kuna wakimbizi wengi walioingia kenya Kuwakimbia hao hao Alshababu.
Hapa nyumbani tunao Wasomali poa tatizo wengi wako CCM kama kina RageBashe na Kinana...Kitengo cha usalama kifanye kazi na hawa Wasomali poa wetu ili Alshabaabu wakiingia kwenye jamii wafinywe kimya kimya bila kusababisha njiwa kukurupuka.

Hao Wasomali ndani ya CCM siku watajaribu kuhoji serikali au kujiunga kwenye upinzani, mtawazushia uraia na kuwapakia kwa malori hadi nije ya nchi, wakati sisi huku tuna viongozi wa upinzani wenye asili ya Kisomali.
 
We hujauona 'Mkasa' Wa Miguna Miguna?!!...mambo ya Siasa yana konakona nyingi.
Sisi huku Tanzania nasikia wanataka Kumvua Uraia Zitto Kabwe ili ahamishiwe katikati ya mpaka wa Tanzania na Burundi.
 
Kwa wale wapenda Minofu Alshababu wana Mbinu
Wakikuletea Kuku kama huyu ati wa Zawadi usimpokee piga simu Polisi Haraka.
maxresdefault-3.jpg
 
We hujauona 'Mkasa' Wa Miguna Miguna?!!...mambo ya Siasa yana konakona nyingi.
Sisi huku Tanzania nasikia wanataka Kumvua Uraia Zitto Kabwe ili ahamishiwe katikati ya mpaka wa Tanzania na Burundi.

Miguna aliukana uraia, ni vitu haviendani, haiwezekani uihame Tanzania, uombe uraia wa nchi nyingine kwa kutumia katiba ambayo hairuhusu uraia pacha halafu utegemee wewe bado raia wa Tanzania. Unapoukana uraia, kubali matokeo.
Sasa hapo kwenu, mtu akihoji serikali mnaanza kumfuata aonyeshe makaburi ya mababu zake, maafisa wa uhamiaji wanakwenda hadi kijijini na kuhoji wazee huko, yaani hilo likitendeka Kenya kwa kweli nitaupoteza uraia maana kijijini sifahamiki sana na sijui yalipo makaburi ya mababu zangu wa kale.
 
Miguna aliukana uraia, ni vitu haviendani, haiwezekani uihame Tanzania, uombe uraia wa nchi nyingine kwa kutumia katiba ambayo hairuhusu uraia pacha
Katiba ya Jamhuri ya Kenya hairuhusu Uraia Pacha?!!..ai?!
 
Kuna habari zinasambaa Mitandaoni zikiwaonyesha viongozi wa Somalia wakifurahia Shambulio la Kenya.

Mimi nnawaonya tena Nduguzetu wakenya shikamaneni dhidi ya Alshabaabu .
 
Ushauri Mwingine ndugu yangu Mheshimiwa Raisi Kenyata hizo G3 ni Sword za kizamani kuna baadhi ya Alshababu wanazo kwahiyo inakuwa rahisi kwao kupata Risasi kutoka kwa Askari Wako wasiokua watiifu.

Colt M16 new model na Mp5 Kwenye Special forces ndio mpango mzima.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom