kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Aise kama umbea una faida wabongo tungekua mamilionea
watu wasiambiwe ukweli wanapokosea au?jaribu kushirikisha ubongo wako wakati mwingine sio kutumia masaburi mda wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aise kama umbea una faida wabongo tungekua mamilionea
masters bila 1st degree inawezekanaje???
Kuna nini mbona iko poa tuu
Kazaliwa September 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?
From Certificate To Masters........!!!!
Member of Parliament CV From Certificate To Masters
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 3, align: left"]GENERAL
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Salutation
[/TD]
[TD]Honourable
[/TD]
[TD="width: 42%"]Member picture
![]()
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]First Name:
[/TD]
[TD]Vick
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Middle Name:
[/TD]
[TD]Paschal
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Last Name:
[/TD]
[TD]Kamata
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 20%"]Member Type:
[/TD]
[TD="width: 38%"]Special Seat
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Constituent:
[/TD]
[TD]No Constituency
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Political Party:
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Location:
[/TD]
[TD]Box 2939, Dar Es Salaam/ box 30, Geita
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Phone:
[/TD]
[TD]+255 783 277733
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Ext.:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office Fax:
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Office E-mail:
[/TD]
[TD]vkamata@parliament.go.tz
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Member Status:
[/TD]
[TD]Current Member
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Date of Birth
[/TD]
[TD]18 September 1978
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 5, align: left"]EDUCATION
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="width: 35%"]School Name/Location
[/TH]
[TH="width: 27%"]Course/Degree/Award
[/TH]
[TH="width: 15%"]Start Date
[/TH]
[TH="width: 13%"]End Date
[/TH]
[TH="width: 10%"]Level
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Kichangani Primary School, Morogoro
[/TD]
[TD]Primary Education
[/TD]
[TD]1983
[/TD]
[TD]1989
[/TD]
[TD]PRIMARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Morogoro Secondary School, Morogoro
[/TD]
[TD]O-Level Education
[/TD]
[TD]1990
[/TD]
[TD]1993
[/TD]
[TD]SECONDARY
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Mandaka Teachers' Training College
[/TD]
[TD]Teaching Course
[/TD]
[TD]1994
[/TD]
[TD]1996
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Nyakohoja Computer Centre, Mwanza
[/TD]
[TD]Diploma
[/TD]
[TD]1997
[/TD]
[TD]1999
[/TD]
[TD]DIPLOMA
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]St. Augustine University
[/TD]
[TD]Certificate in Journalism
[/TD]
[TD]2001
[/TD]
[TD]2002
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Eastern & Southern African Management Institute (ESAMI)
[/TD]
[TD]Public Relation& Customer Care Course
[/TD]
[TD]2007
[/TD]
[TD]2007
[/TD]
[TD]CERTIFICATE
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Southampton Solent University, UK
[/TD]
[TD]MSc.
[/TD]
[TD]2008
[/TD]
[TD]2008
[/TD]
[TD]MASTERS DEGREE
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]EMPLOYMENT HISTORY
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH]Company Name
[/TH]
[TH]Position
[/TH]
[TH]From Date
[/TH]
[TH]To Date
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]The Parliament of Tanzania
[/TD]
[TD]Member - Special Seat
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[TD]2015
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania (BOT)
[/TD]
[TD]Public Relation Officer I
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[TD]2010
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Bank of Tanzania (BOT)
[/TD]
[TD]Public Relation Officer III
[/TD]
[TD]2006
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 4, align: left"]POLITICAL EXPERIENCE
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu, width: 47%"]Ministry/Political Party/Location
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 31%"]Position
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 12%"]From
[/TH]
[TH="class: text_menu, width: 10%"]To
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Member - Southampton USolet University (UK) Branch
[/TD]
[TD]2008
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Secretary - SAUT Branch
[/TD]
[TD]2002
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Member - Mandaka Branch
[/TD]
[TD]1996
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Chama Cha Mapinduzi, CCM
[/TD]
[TD]Member
[/TD]
[TD]1995
[/TD]
[TD]Todate
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: left"]PUBLICATIONS
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TH="class: text_menu"]Description
[/TH]
[TH="class: text_menu"]Date
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: Investigation of Differentiation in University's MBA Programme - A Case Study of Southampton Solet University, UK.
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: Investigation of Differentiation in University's MBA Programme - A Case Study of Southampton Solet University, UK.
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: Investigation of Differentiation in University's MBA Programme - A Case Study of Southampton Solet University, UK.
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: Investigation of Differentiation in University's MBA Programme - A Case Study of Southampton Solet University, UK.
[/TD]
[TD]2009
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]V. Kamata: The Impact of Microfinance Scheme in Boasting Women Income - A Case Study of Pride Tanzania, SAUT, Mwanza
[/TD]
[TD]2005
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Ni kweli Masters UK nyingi ni 1 year- lakini unatakiwa uwe na first degree na credits zinazohitajika. However, sijawahi kusikia mtu mwenye certificate anakubaliwa kuchukua Masters bila first degree in accredited institutions UK or US. Tena certificate ya customer care kwenda kwenye Masters of Science? Angalau basi angekuwa na back ground ya Science kidogo. Inawezekana aliyeandika hiyo CV amekosea kitu, au hicho chuo sio accredited; or else kuna ulakini kwenye hii CV.
CV ya mtu sio issue. Ila anaweza ku-deliver? Kwani Thomas Edison aliyevumbua bulb baada ya kufanya experiment mara elfu kumi( 10,000 x) alikuwa na masters ya nini? Bill Gates ambaye ni owner wa Microsoft(unatumia Windows PC?) ana degree? Tatizo la watu walio wengi Tanzania wanaangalia CV za watu kana kwamba CV ndio zinazoleta maendeleo ya nchi yetu. CV zenye PhD,masters lukuki zimejaa maofisi ya serikali lakini zainabakia kucheza karata tu,ufanisi hamna.
Tukokane na huu upuuzi wa kufikiri kuwa CV za watu ndio kielelezo sahihi cha kumthamini mtu na thamani ya kile ambacho mtu anaweza kufanya. CV ina umuhimu wake lakini muhimu zaidi ni "deliverables"
hatujadili CV tunajadili ni jinsi gani watunga sheria wetu wasivyo jiamini na kutojiamini kwao kunapelekea kuwa wadanganyifu na watumwa wa elimu vyeti,wewe unadhani ukiletwa mswaada wa kuwabana wachakachua elimu mtu kama huyo unategemea mchango wake utakuwa nini?...Fikiri,chukua hatua,Watunga sheria wetu wengi ni makarume kenge na hawana msaada katika jamii ya Watanzania.Tukokane na huu upuuzi wa kufikiri kuwa CV za watu ndio kielelezo sahihi cha kumthamini mtu na thamani ya kile ambacho mtu anaweza kufanya. CV ina umuhimu wake lakini muhimu zaidi ni "deliverables"
hebu na wewe wape mambo jamaa tuone kama utakua mbunge.achezi roho za uzibe bana.ni ngono tu! Mwanzoni mwa elfu 2 tulikuwa naye mitaa ya Mwanza. Ni mjinga mkubwa na poyoyo. Ngono tu
kina Lema na mbowe walitoa pia wakapata ubunge?Chakula ya mkubwa hiyo!