Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
kuna zinazoanza january na ni miezi tisa nadhani,ni possible kumaliza mwaka huo huo....

Asante kwa kunielewesha maana nilishajiuliza mna. But wanaomfahamu wanatoa maneno ya utata kuhusu masters hiyo!!! Alimaliza? Kama alimaliza basi ni kwa tabu!!!!!
 
la kwanza kaanza na miaka minne? Sept.,1978 ni round up sawa na 1979 then January,1983 ni sawa na miaka mitano na miezi michache!! Masters kwa UK unaweza kuisoma ukiwa na Diploma plus miaka ya kutosha (mfano 7) kazini ukifanya kazi ile ile ya Diploma na ile ile unayotaka kuisomea Masters otherwise hapo magmash
 
CV ya mtu sio issue. Ila anaweza ku-deliver? Kwani Thomas Edison aliyevumbua bulb baada ya kufanya experiment mara elfu kumi( 10,000 x) alikuwa na masters ya nini? Bill Gates ambaye ni owner wa Microsoft(unatumia Windows PC?) ana degree? Tatizo la watu walio wengi Tanzania wanaangalia CV za watu kana kwamba CV ndio zinazoleta maendeleo ya nchi yetu. CV zenye PhD,masters lukuki zimejaa maofisi ya serikali lakini zainabakia kucheza karata tu,ufanisi hamna.
Tukokane na huu upuuzi wa kufikiri kuwa CV za watu ndio kielelezo sahihi cha kumthamini mtu na thamani ya kile ambacho mtu anaweza kufanya. CV ina umuhimu wake lakini muhimu zaidi ni "deliverables"
JE unafahamu msemo " ukipandacho ndicho ukivunacho"? Nimeuliza hivyo kwasababu hoja yako inataka tuamini kwamba digrii,masters na PHD si kitu wakati hiyo si kweli. Naomba nikufahamishe tuzo za kielimu zinafaida iliyo kubwa kwa Mtu na jamii katika kukabiliana na mazingira. "The challenge is how academic qualification is converted into practical application at a particular time".It is more of challenge in our country because we are being led by failures of academic system who have con the society to belive that they have academic qualification. Kujenga nyumba ni jambo la msingi hata Kama utaamua kutoitumia. Tanzania hatujajipanga kufuatana na uwezo na tuzo za kielimu. Tufanye hivyo kwanza kwa kuwapa WATU wenye elimu za kweli nafasi za kuonyesha uwezo wao na kuwatupa wote wenye tuzo za kimagumashi tuone. NAAMINI KWAMBA ELIMU NDIO MSINGI WA KUWEZA KUYAKABILI MAZINGIRA YA DUNIA TUNAYOISHI NA HAKUNA MBADALA. Home work yako ni Bill Gates na wengine walipata elimu gani bila kupata tuzo Kama degree,masters n.k?
 
Ni kweli Masters UK nyingi ni 1 year- lakini unatakiwa uwe na first degree na credits zinazohitajika. However, sijawahi kusikia mtu mwenye certificate anakubaliwa kuchukua Masters bila first degree in accredited institutions UK or US. Tena certificate ya customer care kwenda kwenye Masters of Science? Angalau basi angekuwa na back ground ya Science kidogo. Inawezekana aliyeandika hiyo CV amekosea kitu, au hicho chuo sio accredited; or else kuna ulakini kwenye hii CV.

jaman hizi cv zinakosewa kila siku???mnamkumbuka yule wa songea galz????
 
jamani mie hata sielewi kumbe hata ukiwa na certificate unaruhusiwa kuchukuwa master mhh makubwa jamani chuo gani hicho maana mie na first degree naamini nitapewa PHD:israel::israel::israel::israel:
 
from certificate to masters........!!!!


member of parliament cv from certificate to masters

[table="width: 100%"]
[tr]
[th="colspan: 3, align: Left"]general
[/th]
[/tr]
[tr]
[td]salutation
[/td]
[td]honourable
[/td]
[td="width: 42%"]member picture
1591.jpg

[/td]
[/tr]
[tr]
[td]first name:
[/td]
[td]vick
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]middle name:
[/td]
[td]paschal
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]last name:
[/td]
[td]kamata
[/td]
[/tr]
[tr]
[td="width: 20%"]member type:
[/td]
[td="width: 38%"]special seat
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]constituent:
[/td]
[td]no constituency
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]political party:
[/td]
[td]ccm
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]office location:
[/td]
[td]box 2939, dar es salaam/ box 30, geita
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]office phone:
[/td]
[td]+255 783 277733
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]ext.:
[/td]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td]office fax:
[/td]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td]office e-mail:
[/td]
[td]vkamata@parliament.go.tz
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]member status:
[/td]
[td]current member
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]date of birth
[/td]
[td]18 september 1978
[/td]
[/tr]
[/table]
[table="width: 100%"]
[tr]
[th="colspan: 5, align: Left"]education
[/th]
[/tr]
[tr]
[th="width: 35%"]school name/location
[/th]
[th="width: 27%"]course/degree/award
[/th]
[th="width: 15%"]start date
[/th]
[th="width: 13%"]end date
[/th]
[th="width: 10%"]level
[/th]
[/tr]
[tr]
[td]kichangani primary school, morogoro
[/td]
[td]primary education
[/td]
[td]1983
[/td]
[td]1989
[/td]
[td]primary
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]morogoro secondary school, morogoro
[/td]
[td]o-level education
[/td]
[td]1990
[/td]
[td]1993
[/td]
[td]secondary
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]mandaka teachers' training college
[/td]
[td]teaching course
[/td]
[td]1994
[/td]
[td]1996
[/td]
[td]certificate
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]nyakohoja computer centre, mwanza
[/td]
[td]diploma
[/td]
[td]1997
[/td]
[td]1999
[/td]
[td]diploma
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]st. Augustine university
[/td]
[td]certificate in journalism
[/td]
[td]2001
[/td]
[td]2002
[/td]
[td]certificate
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]eastern & southern african management institute (esami)
[/td]
[td]public relation& customer care course
[/td]
[td]2007
[/td]
[td]2007
[/td]
[td]certificate
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]southampton solent university, uk
[/td]
[td]msc.
[/td]
[td]2008
[/td]
[td]2008
[/td]
[td]masters degree
[/td]
[/tr]
[/table]
[table="width: 100%"]
[tr]
[th="colspan: 4, align: Left"]employment history
[/th]
[/tr]
[tr]
[th]company name
[/th]
[th]position
[/th]
[th]from date
[/th]
[th]to date
[/th]
[/tr]
[tr]
[td]the parliament of tanzania
[/td]
[td]member - special seat
[/td]
[td]2010
[/td]
[td]2015
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]bank of tanzania (bot)
[/td]
[td]public relation officer i
[/td]
[td]2009
[/td]
[td]2010
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]bank of tanzania (bot)
[/td]
[td]public relation officer iii
[/td]
[td]2006
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[/table]
[table="width: 100%"]
[tr]
[th="colspan: 4, align: Left"]political experience
[/th]
[/tr]
[tr]
[th="class: Text_menu, width: 47%"]ministry/political party/location
[/th]
[th="class: Text_menu, width: 31%"]position
[/th]
[th="class: Text_menu, width: 12%"]from
[/th]
[th="class: Text_menu, width: 10%"]to
[/th]
[/tr]
[tr]
[td]chama cha mapinduzi, ccm
[/td]
[td]member - southampton usolet university (uk) branch
[/td]
[td]2008
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]chama cha mapinduzi, ccm
[/td]
[td]secretary - saut branch
[/td]
[td]2002
[/td]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td]chama cha mapinduzi, ccm
[/td]
[td]member - mandaka branch
[/td]
[td]1996
[/td]
[td][/td]
[/tr]
[tr]
[td]chama cha mapinduzi, ccm
[/td]
[td]member
[/td]
[td]1995
[/td]
[td]todate
[/td]
[/tr]
[/table]
[table="width: 100%"]
[tr]
[th="colspan: 2, align: Left"]publications
[/th]
[/tr]
[tr]
[th="class: Text_menu"]description
[/th]
[th="class: Text_menu"]date
[/th]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: Investigation of differentiation in university's mba programme - a case study of southampton solet university, uk.
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: The impact of microfinance scheme in boasting women income - a case study of pride tanzania, saut, mwanza
[/td]
[td]2005
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: Investigation of differentiation in university's mba programme - a case study of southampton solet university, uk.
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: The impact of microfinance scheme in boasting women income - a case study of pride tanzania, saut, mwanza
[/td]
[td]2005
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: Investigation of differentiation in university's mba programme - a case study of southampton solet university, uk.
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: The impact of microfinance scheme in boasting women income - a case study of pride tanzania, saut, mwanza
[/td]
[td]2005
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: Investigation of differentiation in university's mba programme - a case study of southampton solet university, uk.
[/td]
[td]2009
[/td]
[/tr]
[tr]
[td]v. Kamata: The impact of microfinance scheme in boasting women income - a case study of pride tanzania, saut, mwanza
[/td]
[td]2005
[/td]
[/tr]
[/table]






victoria paschal kamata, mtoto wa mama deo. Alizaliwa mwaka 1974 na 1978, miaka ya 1990-1995 mama deo (mama mzazi wa victoria kamata) alikuwa amepanga kwenye nyumba ya mzee bosco maeneo ya kreluu mabatini mwanza. Wakati huo victoria alikuwa msichana mkubwa (nilikutana nae mwaka 1993) kunizidi mie ambae nimezaliwa 1975. Baadae mama deo ambaye alikuwa mfanyakazi wa benki kuu mwanza akahamia nyakato mecco ambako alijenga nyumba, na tulikuwa tunakutana na victoria mara kwa mara. Kuna kipindi alisomea chuo cha uhasibu mbeya akashindwa, na ana mtoto wa kiume ambae alimzaa kati ya mwaka1995 au 1997 na tapeli mmoja wa musoma. Wadau hayo ni kwa kifupi tu, mkitaka zaidi naweza kuwaletea humu kuhusu huyu dada yangu. Sijapenda uongo wake.
 
kazaliwa september 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?



mkuu ni kuwa alizaliwa mwaka 1974 na sio 1978 na kaka yake deo alizaliwa 1972.
 
ni ngono tu! Mwanzoni mwa elfu 2 tulikuwa naye mitaa ya Mwanza. Ni mjinga mkubwa na poyoyo. Ngono tu



mkuu umesema kweli kabisa, si alikuwa anakaa mitaa ya nyakato miaka hiyo. Tena mama yake alikuwa mpishi pale bank kuu Mza, ana kichwa kigumu kinoma.
 
Kutoka Diploma hadi MSc?????? Kazi ipo. Ivi kweli hii ni chakula ya mutu ya anga?
 
Mbona CV muhimu bado bana?ambayo ndio iliyomfungulia milango ya maisha
 
tuache umbea, uzandiki, halafu vyeti na c.v. vimedhihirisha katika nchi yetu kuwa havijasaidia chochote. kama mtu kutoka chuoni anatumia muda na akili yake ya kununua kutafuta kuajiriwa, wengi ndio mpo humu. wakati mtoto wa kitaa alieshindwa kusoma akapigika kuuza mitumba kwa kutembeza , akameki leo ana duka anakwenda china na wasio na elimu ndo wanaongoza kuchukua mikopo katika taasisi na wanatoka nyie wa akili za mzungu kaeni mkisubiri c.v. na kuilaumu serikali muone kama maisha yanangoja C.C.M itoke, ili mufaidike na siasa, watu waliishi kibishi bila C.V wala vyeti enzi za nyerere.
 
victoria paschal kamata, mtoto wa mama deo. Alizaliwa mwaka 1974 na 1978, miaka ya 1990-1995 mama deo (mama mzazi wa victoria kamata) alikuwa amepanga kwenye nyumba ya mzee bosco maeneo ya kreluu mabatini mwanza. Wakati huo victoria alikuwa msichana mkubwa (nilikutana nae mwaka 1993) kunizidi mie ambae nimezaliwa 1975. Baadae mama deo ambaye alikuwa mfanyakazi wa benki kuu mwanza akahamia nyakato mecco ambako alijenga nyumba, na tulikuwa tunakutana na victoria mara kwa mara. Kuna kipindi alisomea chuo cha uhasibu mbeya akashindwa, na ana mtoto wa kiume ambae alimzaa kati ya mwaka1995 au 1997 na tapeli mmoja wa musoma. Wadau hayo ni kwa kifupi tu, mkitaka zaidi naweza kuwaletea humu kuhusu huyu dada
yangu. Sijapenda uongo wake.
This is what we call "giving out the true picture". This one is "plasma clear"
 
Nadhani kuna vitu tunatakiwa kuwa wadadisi kidogo
kuna hisia zimetumika zaidi katika kujadili hiyo CV .
Ni vyema kila mtu akaukumiwa kwa HAKI hata kama ana makosa mengine.

Ukweli ni huu
kwa mtu mwenye work experience miaka 5 (managerial ) na diploma (sometime bila Diploma ) kama una uzoefu wa kiuongozi vyuo vingi UK zinaweza kukubali kusoma Masters kwa mwaka mmoja.
Kwa maana hiyo sio kweli kwamba kusoma MASTERS lazima uwe na SHAHADA ya kwanza
 
ANGALIZO : SOUTHAMPTON UNIVERSITY sio SOUTHAMPTON SOLENT ..... kuweni makini mnapofanya mjadala
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom