Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.


kwakweli masters bila degree haijawai tokea, tena diploma ya arts kutuletea MSc ndo noma zaid labda wameweka tu kumfunika kdgo aheshimike pale sebulen kwa Bi kiroboto
 
Napita tu hizi CV za waheshimiwa wetu vurugu tupu; hivi vyeti vya wabunge havihakikiwi kuhakikisha kama ni vyuo walivyosomea ni vya ni vya kweli? Bila kuleta unazi wa kisiasa wabunge wengi tu wa vyama vyote wana vyeti vya kisanii

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Nimeona nae ana Publications.. Kudadadeki nchi hii!
 
Mtakufa nacho kijiba cha roho<<<<<roho mbaya tu Mtubu kwa mola wenu kwa usengenyaji huu
embu tutolee ujinga wako hapa, hata mtoto mdogo kasoro za cv ataiona, vipi wewe upewe darubini..??
 
naomba mtu anikumbushe, hivi mh lema moja ya vilivyomtoa ubunge si walisema alidanganya elimu yake?
sasa huyu wanasubiri nini na yeye kumtoa kwenye huo ubunge wa kupewa..?
 
Hiyo public relation na customer care course ya ESAMI ni short course ya week tatu na pia kuna advance public relation and customer care course ya week mbili. Short courses si academic qualification ila inasaidia kubuild capacity katika utendaji kazi. Kwa maana nyingine hata CV kuandika ni tatizo kwa huyu mdada.
Kwani hiyo Public relation ya ESAMI sio degree??
 
Kazaliwa September 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?

Toka kuzaliwa Septemba 1978 hadi kuanza shule January 1983 ni miaka 4 na miezi mitatu, ndio akaanza darasa la kwanza!
Mwaka wa kuzaliwa utakuwa umesogezwa mbele.
Maybe September 1975, awe ameanza shule akiwa na miaka 7 na miezi mitatu...
 
at least ningejua ana advanced diploma ya nn,pengne ningeweza sema anaweza soma masters na yenyew mpk awe atleast na upper second class au amefanya kazi kwa miaka icyopunguwa 2 au awe amesoma postgraduate diploma
 
huyu alienda kuzuga uk ili aingizwe BOT. UK vyeti unaweza ukapewa na wanaigeria mitaani. wakubwa walichezesha wakafadhili akae UK kama jamvi lao la kufikia. then aonekane alikuwa anasoma wamwingize kilaini BOT, kwakuwa BOT lazima uwe na masters kuajiriwa kama graduate.
 
mkuu ni kuwa alizaliwa mwaka 1974 na sio 1978 na kaka yake deo alizaliwa 1972.
Mtu wa aina hii siku zote atabakia ni mateka wa CCM kwasababu akijaribu kuasi tu wanamwaga siri zake nje! Huyu ni kati ya wengi waliojaa bungeni na serikalini!! Ndiyo maana nchi yetu imekwamag
 
kaanza lini BOT?
Kapelekwa lini UK?
 

Nimekuelewa na nakubaliana na wewe, usemacho kina ukweli hasa unapojaribu kulinganisha elimu na mafanikio ya kimaisha, hapo ni sawa kabisa, kama huyu V. Kamata angekuwa na maisha yake tu akawa successful na elimu ndogo aliyonayo unachosema ni sawa kabisa, tena angekua object lesson kwa wengine kujifunza kutoka kwake (mbinu za mafanikio ya kimaisha katika changamoto za kielimu).
Lakini tunapoangalia umuhimu wa elimu kwa mtu ambaye ni mwakilishi wa wananchi katika chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali, hilo ni swala lingine kabisa. Moja. tusingetegemea ubabaishaji na uchakachuaji wa wasifu wake, mbili ni muhimu sana akawa na elimu mkuu na uwezo binafsi wa kupambanua mambo, unajua tumerahisisha sana wajibu wa mmbunge.

Shida ambazo tunazo leo za kiuchumi na vitanzi vya mikataba mibovu ya miaka 99, ni kielelezo tosha cha umaamuma wa viongozi wetu na waakilishi wetu bungeni ambao tunawategemea kuichunguza miswada na mikataba (mawaziri) kabla ya kuipitisha. Aidha pia it's noteworthy kutaja kwamba kuna ulimbukeni wa siasa wa kukubali tu kila jambo na kulipitisha (kwa sababu linatoka upande fulani) hata kwa wale ambao kwa uelewa wao wanaona jambo hili ni giza tupu mbeleni......
 
Duh kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni,Prof mwandosya,Dk Bhana,Prof Mkandala,etc wao cv zao ni toka ''vidudu'' hadi uprof na udk!
 

Watu wanabandika vyeti tu alimradi aonekane kasoma lakini nyanga hashuki, ila kutoka kwenye Certificate mpaka kuja kwenye Masters hapo sijaelewa ilikuwaje maana nnavyojua ili kufika kwenye masters kama huna degree unahitaji kusoma advanced diploma then postgraduate diploma then masters. lakini poa tu mradi mkono0 unaingia kinywani na ukibebwa shikilia.
 


Baadhi ya vyuo UK wanalokea watu wa ordinary diploma kwa MSc. Binafsi nawafahamu watu watatu zaidiwenye Masters za staili hii.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…