Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

Status
Not open for further replies.
Hiyo diploma ailiyosomeaNyakahoja ni diploma ya nini jamani
 
Msc In Performing Arts for CCM

VICKY.jpg

mie signecha yako imenifurahisha,kakobe a very small tortoise haahahahahahah
 
Mkuu huyu angalau kaona shule hata kama ya haitoshelezi. Mbona kuna Wabunge wameishia kidato cha nne lakini wanwakilisha vyema wananchi waliomchagua. Elimu si kitu.
 
Vick ni mtu wangu wa karibu sana..nitamwambia kesho atoroke bungeni aende internet cafe ajibu hizi tuhuma maana naamini huu ni wivu wa kisiasa na kumchafulia jina lake zuri hasa kupitia kibao chake cha wanawake na maendeleo kinachompa uhakika wa kurudi bungeni 2015...

Atajibu tuu hizi siasa za majitaka mnazomuanzishia.

Who cares?
 
Ndugu, hiyo MSc yaweza kuwa katika Uhasibu, mabmo ya fedha nk, si lazima iwe Natural au Applied Sciences zamazoeleweka! Hata pale IFM kuna MSc za aina hiyo.)

I do understand MSC sio lazima iwe ya natural applied science. However; CV yake iko clear MSc yake ni ya UK (South hampton). Kama ukiangalia catalog ya Southampton requirements ziko wazi.
 
Huyu nasikia ni mmoja wa Wabunge, wenye Ubunge wa Chupi, ngono, but now naona kaacha Umalaya, naona alikuwa anaufanya kwa sababu ya umaskini na kubwa zaidi ili awe juu, ajulikane
 
Yaani kwenye Bunge letu kuna Wabunge hasa wengi wa hawa wa Viti Maalum, yaani ni Mashangingi tu, na wengine kiukweli background zao ni kiboko, ni vicheche balaa, wengine wa waziwazi, wengine wa kimya kimya, background yao hainihusu sana but wapunguze kuongea kama majianamke mashangingi, yaliyoshindikana kwenye Tv, wajimake pia normal sio kama wanaenda kwenye mduara, wanatutia aibu hata mtu wa nchi nyingine akimuona, mtu amejitinda nyusi kama sijui kitu gani, yaani haipendezi kiongozi kujiremba kama jini, shangingi, ushangingi wako uache nyumbani kwako
 
Halafu kuna Wabunge wengi wa kike, hasa hawa hawa wa viti maalum, wanajichubua mno, wanatumia mikorogo, sijui wanawafundisha nini wanaowaongoza hasa hawa wasichana wadogo na wamama wengine wajinga wajinga wanaopenda kuiga vitu vya kipuuzi, vipodozi hivyo vinapigwa marufuku, wao ndio kimbelembele kuvitumia, wanajifanya weupe wakati walioishi nao toka zamani wanawajua rangi zao, wapuuzi, wanakataa rangi ya ngozi zao ya asili, hawajiamini, tuwaamini vipi, waache ujinga, waache kuhatarisha afya zao
 
Duu alianza shule na miaka mitano! Tumezaliwa mwaka mmoja na mie nimeanza shule mwaka 86...na watu wengi niliosoma nao, the youngest ni miaka miwili chini yangu. Duuh, hiii hii historia ya shule yake, inaonekana kama ya kutunga...duhh!:A S confused:
 
Kwa UK ni sawa, Masters ni miezi 9 jomba....

Kutoka Diploma ya Nyakahoja mpaka Masters? ila kumbukumbu zangu alikuwa anachukua degree SAUT sidhani kama ni certificate ya Journalism unless kama ali-disco alafu akaamua achukue certificate
 
Kazaliwa September 1978 akaanza primary mwaka 1983. Mnaojua mahesabu atakuwa kaanza la kwanza na miaka mingapi? Tena enzi za mwalimu za kushika sikio la kushoto kwa mkono wa kulia kupitia juu ya kichwa?

Ameanza miaka 4 na miezi minne maana darasa la kwanza huwa linaanza January, au enzi hizo ilikuwa wanaingia September sawa na wanachuo labda? Kumbukumbu zangu zinaonyesha miaka hiyo ili uingie darasa la kwanza kipimo kilikuwa ni mkono unaupitisha kichwani ili ushike sikio na wengi waliingia darasa la kwanza enzi hizo wakiwa na miaka 7 mpaka 8 labda kama umbo lako liwe kubwa
 
mkuuu kwa hizi fani za kisanii inawezekana tu!
mtu mwenye advanced Dip ya Acc/Finance etc anaweza kufanya master!
mashaka ni hiyo miezi 9 kamili! ikumbukwe kuna vile vijilikizo
ambavyo lazima vifidiwe! labda amefaanya kwenye centre ya mitihani..teeeeeeeeeh!

Kumbuka huyo hana Advanced Diploma, si unajua Advanced Diploma ni 3 years na Diploma ni 2 years but diploma yake ni zile zisizotambuliwa na NACTE ambazo unaweza kuanzisha chuo cha mapishi ukafundisha certificate, advanced certificate alafu ukaweka na Diploma ambayo baadae utatakiwa utetee
 
Miss-Thang miaka 5 ni mingi sana kwani kimahesabu ameanza akiwa na miaka 4 na miezi 4 maana shule darasa la kwanza huingia January na yeye amezaliwa September 1978
 
Last edited by a moderator:
Hata hizo publications ni za kimagumashi,yeye kazi yake ni investigation na impact tu? Kama kafanya hizo publications why she is not technical in her publications? Uroda ndo ulomfikisha pale alipo,utashangaa m2 kama huyu muda si mrefu atakuwa docta.Hii ndo bongo bana.Hata ulaya magumashi tupu,watamkubaliaje m2 mwenye cert kusoma master degre? Halafu ni mwongo kwa umri,itawezekanaje mtoto mwenye umri wa miaka 4 na miezi 3 Aanze kusoma shule ya msingi enzi hzo! Chekechea alisoma lini?

Kwenye umri namtetea maana zamani ulikuwa ukifanya vizuri unarushwa darasa hii hata mimi ilinitokea na nilianza std one nikiwa na five years then nikarushwa lapili sikusoma labda na yeye imemtokea. Hayo mengine tusijiulize sana
 
Mh nauliza tu hivi ni wangapi wamefanya Thesis za kuangalia impact ya Microfinance Schemes on Women's Income maana kwa uchache wangu nimeshakutana nazo kama nne addressing the same issue!

Nway udhaifu wetu wa kurecord
 
Sina shida na CV hii ila MSc bila kujua ni ya kitu gani hapa ni utata mtupu. Hata kama ni MSc ya miezi tisa lazima utakuwa umesomea kitu fulani au labda alimaanisha Doctor of Science na sio MSc!!!.
 
msc in performing arts for ccm

vicky.jpg
vick kamata amezaa mtoto na askofu mmoja pale tec na mwingine kazaa na aliyemupa vitu maalu bungeni.
Wabunge wa upinzani angalieni hao vitu maalum ccm munafanya nao ngono lakini mkumbuke ulimboka
cv ya vick haimupi sifa za kufanya kazi bot !!
Ni matusi makubwa malaya anapewa kazi hiyo

sura ya vick kamata imelegea sana kiasi cha kutambua kazi yake!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom