Mh waziri Bakari mchengelwa jitathimini sana

Nsoji go Nvaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
999
Reaction score
1,948
Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
 
Ndiyo umeshamaliza mkuu? Bila shaka amekusikia.
 
Mh waziri ni wazi unaongoza wizara muhimu Sana nakuomba pambana sana kuhakikisha kua haki inatawala ktk idara zako zote ili watanzania wawe na amani na tuzidi kudumisha upendo
Hivi Bakari Mchengerwa ni waziri wa nchi gani? Au unamaanisha Mohamed Mchengerwa?
 
Back
Top Bottom