Ha ha ha,hatapangiwa huko na labda iwe bahat yake tuuu,ila wale hupanga kulingana na mahitaji ya maeneo,yale makaratas sidhan kama hata huko wizaran hufikishwa.
Miaka ya karibuni wanapelekwa sana Mikoa ya SIMIYU,KIGOMA na kwingineko
Ajira hawa wadogo zetu walimu zinatoka lini?
Ukweli hakuna return ya investment wameganda nyumban tu!
Tunashindwa kuwaingiza katika kazi za mikataba wakati wamejazishwa form za ajira ambozo hazieleweki zitatoka lini?