Mh Waziri Ummy Mwalimu walazimishe Wizara yako watoe ratiba ya mitihani ya vyuo vya Afya

Mh Waziri Ummy Mwalimu walazimishe Wizara yako watoe ratiba ya mitihani ya vyuo vya Afya

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Watoto wako kwenye suspense hawajui lini wanaanza mitihani . Ratiba mpaka leo haijatoka Wana lengo gani kutokutoa ratiba mpaka leo? Wanataka kuwashitukiza watoto ili iweje? Wao walitendea hivyo wakati wanasoma?
 
Hata mim nimeshangaa NACTE wanasubiri nin mpaka leo?
 
Someni vijana, acheni lawama, ratiba itatoka tu.

BTW, tupo bize sana now na sensa ya watu na makazi.

#Jiandae kuhesabiwa.
 
Back
Top Bottom