R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Aug 6, 2022 #1 Watoto wako kwenye suspense hawajui lini wanaanza mitihani . Ratiba mpaka leo haijatoka Wana lengo gani kutokutoa ratiba mpaka leo? Wanataka kuwashitukiza watoto ili iweje? Wao walitendea hivyo wakati wanasoma?
Watoto wako kwenye suspense hawajui lini wanaanza mitihani . Ratiba mpaka leo haijatoka Wana lengo gani kutokutoa ratiba mpaka leo? Wanataka kuwashitukiza watoto ili iweje? Wao walitendea hivyo wakati wanasoma?
Kisambo JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 845 Reaction score 514 Aug 6, 2022 #2 Hata mim nimeshangaa NACTE wanasubiri nin mpaka leo?
SNAP J JF-Expert Member Joined Dec 26, 2013 Posts 7,106 Reaction score 8,043 Aug 6, 2022 #3 Someni vijana, acheni lawama, ratiba itatoka tu. BTW, tupo bize sana now na sensa ya watu na makazi. #Jiandae kuhesabiwa.
Someni vijana, acheni lawama, ratiba itatoka tu. BTW, tupo bize sana now na sensa ya watu na makazi. #Jiandae kuhesabiwa.