Acheni jamani mbona hajafanya kosa lolote amesingiziwa tu na hata yale kuitwa mnafiki amesingiziwa tu na hata kwamba yuko kwenye payroll ya serikali na ni ndumilakuwili siyo chadema halisi bali ni gov.agent anasingiziwa tu.
Swali yeye ni nani mpaka awe kila siku anasingiziwa tu na hakuna watu wengine wa kusingiziwa?
Kwa kazi chache nzuri alizowahi kuzifanya si ingelitosha kabisa kumjengea heshima kubwa katika jamii lakini anayepigiwa kelele kila siku ni yeye tu ana nini cha ziada?
Wakuu JF nashukuru sana kuona concern tuliokuwa nayo wengi sasa inaeleweka. Haikuwa tuhuma za kula rushwa kwa namna yoyote bali jinsi habari inavyo ji contradict inazua maswali mengi sana.Mkuu ndio maana nilisema kwenye post yangu ya awali kabisa kuna sentensi zinajicontradict zenyewe. On one hand inasena: "This move, according to the ABG's Public Relations Manager Teweli Teweli, was a result of a proposal submitted to the company by Kigoma North MP."
On the other hand inasema: "Kigoma North government submitted a proposal and Barrick funded it because Kigoma North's education system is lagging behind national standards. Kabwe had complained about the same issue in Parliament for years, with no effect." Reads part of the research seen by The Guardian on Sunday.
So which is which? The only person to give the correct answer is Hon Zitto. Hata hivyo kama alivyosema Mwanakijiji huwa kuna manispaa ya Kigoma North? Kigoma Mjini, Kigoma Vijijini, Kibondo na Kasulu ndio manispaa za kigoma. Hii "Kigoma North government" ndio ipi?
Kwanza, I take this discussion very positively with the exception of few people who try to make this matter political.Mkuu ndio maana nilisema kwenye post yangu ya awali kabisa kuna sentensi zinajicontradict zenyewe. On one hand inasena: "This move, according to the ABG's Public Relations Manager Teweli Teweli, was a result of a proposal submitted to the company by Kigoma North MP."
On the other hand inasema: "Kigoma North government submitted a proposal and Barrick funded it because Kigoma North's education system is lagging behind national standards. Kabwe had complained about the same issue in Parliament for years, with no effect." Reads part of the research seen by The Guardian on Sunday.
So which is which? The only person to give the correct answer is Hon Zitto. Hata hivyo kama alivyosema Mwanakijiji huwa kuna manispaa ya Kigoma North? Kigoma Mjini, Kigoma Vijijini, Kibondo na Kasulu ndio manispaa za kigoma. Hii "Kigoma North government" ndio ipi?
Nakubaliana na wewe. Masuala haya ni muhimu kuyajadili. Uwazi wa aina hii ni muhimu sana kwetu. ShukranWe don't want these tuhuma kuwepo in the first place. Ni muhimu viongozi wetu wajao wajue jinsi ya kuepukana na tuhuma ambazo hazina mpango na badala yake wa concentrate kwenye kazi za kujenga hili taifa.
Tunapoteza muda mwingi sana kujadili na kukanusha tuhuma.
kuwa kiongozi ni pamoja na kukiri makosa, nakukubali kwa hili mheshimiwa.Kwanza, I take this discussion very positively with the exception of few people who try to make this matter political.
Iwapo unaamini kuwa posho zaenda kujenga mashule. Msaada huu ulitokea mwaka 2009, wakati huo nilikuwa nalamba posho. Nadhani turudi kwenye hoja ya msingi na kuachana na hizo hoja za kwanini Zitto hachukui poshokumbe ndio maana jamaa anaandika historia ya kuwa mbunge pekee wa chadema asielamba posho za vikao kwa kuwa kuna source zingine za income?
this post by Hon Zitto is very panoramic and fertile.... it iluminates many people from darkness, i totally agree that day to day responsibilities of our entrusted leaders should be practiced in a transparent route, morality of most citizens is a result of the mindset that should be shown by shinning examples from public leadersKwanza, I take this discussion very positively with the exception of few people who try to make this matter political.
This is ethical matter and I consider this as an act of public scrutiny of members of the public to the public office holder. Now, few responses:
Kigoma district council (Halmashauri ya Wilaya Kigoma) iliomba msaada huo katika juhudi zetu za kujenga shule zaidi za sekondari. Wao ndio waliandika proposal na walisambaza kwenye kampuni nyingi. TANAPA kwa mfano walijenga bweni la wanafunzi katika shule ya sekondari Bugamba kipindi hicho hicho.
Mimi kama Mbunge wa Jimbo nilifuatilia maombi haya kwa karibu kabisa mpaka walipopata na kutumia fedha hizo kununua mabati (na saruji).
Je ni kazi ya Mbunge kuombaomba misaada? Kinadharia sio kazi ya Mbunge hii. Kiukweli tumekuwa tukifanya kazi za executive. Miradi mingi jimboni kwangu inatokana na juhudi binafsi za kutafuta misaada. Kazi hii ingefanywa na executive. Huu ni mjadala mpana na unahitaji kuwepo ili kuweza kusaidia. Mbunge akisema kuwa akae na kusubiri Serikali ilete miradi, miradi haitatokea kabisa kabisa. Kutokana na desire hii ya miradi kwenye majimbo wabunge tunajikuta katika mitihani kama hii ya Barrick kutoa misaada.
Hapa nakubaliana na mwanakijiji kwamba tunahitaji kuwepo na sheria ya lobbying. Nimelisema jambo hili Bungeni kwa muda mrefu sasa. Barrick katika hali ya kawaida walikubali maombi ya msaada Kigoma kuonyesha kuwa wao sio wabaya hivyo kama Zitto anavyowafikiria na hivyo CSR yao ionekane Kigoma. Kimsingi bajeti yao ya CSR ni kubwa sana na nimeona miradi mingi katika maeneo ya uchimbaji. Lakini hii haiiondoi kuwa wanapaswa kulipa kodi na ni jambo nimekuwa nikilisema kila wakati ninapopata nafasi.
Mkandara na wengine wanahoji sahihi kabisa. Ninaomba tu kuwa mijadala ya namna hii iendelee itatufanya wanasiasa tuwe makini na kujua public inatuweka kwenye mizani. Kwa kweli sioni kosa kusaidia watu wangu. Lakini kuna jambo kubwa la kujifunza katika maoni ya wengi hapa.
Mwaka 2008 na kisha mwaka 2011 niliwasilisha muswada binafsi Bungeni kuhusu sheria ya maadili ya viongozi. Moja ya jambo ninalopendekeza ni hili la kutangaza misaada tunayopata kwa ajili ya majimbo yetu (transparency).
Napenda kuwahakikishia kuwa nimejifunza katika mjadala huu na siku za usoni nitakuwa makini zaidi katika suala kama hili.
JF ya mijadala ya aina hii (ukiachana na wachangiaji wachache wenye kuleta masuala ya uwongo na uzushi) ndio JF tuliyoiunda. This public scrutiny shall extended to actions and inactions of many of us holding public offices. It shall go to NGOs receving donations from various corporations as well.
Kama kuna maswali zaidi nipo tayari kuyajibu.
Read my signature
Hapo nilipoweka nyekundu, unataka ithibitike mara ngapi? wakati wewe mwenyewe umekiri kuwa hili ni kweli.
Una maana kama jimbo lako limefaidika wewe hujafaidika binafsi? kwani huo msaada aliuomba nani kwa Barrick? na nani aliwapa anuani za kupeleka huo msaada huko jimboni kwako? Kwa nini wasipeleke kabla hujaanza kukemea mikataba na wapeleke huo msaada baada ya wewe kupiga kelele?
Halafu unasema utawajibika ikithibitika na ilhali imeshathibitika kuwa umefaidika jimboni kwako. Na wewe ndio mbunge wa hilo jimbo lako. Kwanini usiwajibike ukapisha uchunguzi wa kina ili ujisafishe? Ithibitike nini zaidi ya hivi?
...............................
Mwaka 2008 na kisha mwaka 2011 niliwasilisha muswada binafsi Bungeni kuhusu sheria ya maadili ya viongozi. Moja ya jambo ninalopendekeza ni hili la kutangaza misaada tunayopata kwa ajili ya majimbo yetu (transparency).
Napenda kuwahakikishia kuwa nimejifunza katika mjadala huu na siku za usoni nitakuwa makini zaidi katika suala kama hili.
JF ya mijadala ya aina hii (ukiachana na wachangiaji wachache wenye kuleta masuala ya uwongo na uzushi) ndio JF tuliyoiunda. This public scrutiny shall extended to actions and inactions of many of us holding public offices. It shall go to NGOs receving donations from various corporations as well. Kuna kuna maswali zaidi nipo tayari kuyajibu.
Mkandara una ajenda nzito sana iliyojificha moyoni mwako kuhusu issue hii. Ni wewe uliyeomba msaada wa JF kuchangia hebu baki neutral kwanza. mtunzi wewe , mwimbaji wewe, keyboard wewe, manyanga wewe, hapana hapana nakataa. let other part play the game. Mabilioni ya JK yalikuwa kuwasaidia wajasiriamali ili kufikisha idadi ya ajira milioni moja. Tena kupitia benki zetu. Halmashauri itakopaje fedha hizo? NO! WHAT I SEE IS 2015 PRESIDENTIAL RACE. MTAUANA BURE MA NDUGU ZANGU. THAT IS HOW POLITICS PLAYED.Mkuu wangu hata kama... Kwa Usd 10,000 sidhani kama Zitto mwenyewe alishindwa kuzipata. Hata kwa kupitia Mabillioni ya JK mbunge unaweza kucheza nazo zikaenda kuboresha shule zako. na ikija julikana ulifuja fedha ya JK, wananchi watakupa support zaidi kwa ujasiri uloufanya kuwekeza fedha hizo ktk elimu, lakini hii ya Barrick kusema kweli wakati mwingine mkuu wangu Zitto hufanya maamuzi ya ajabu sana hasa naposikia kwamba ni yeye aliyekwenda kuomba msaada Barrick..Ni kwa njia hizi za misaada Kina Jeetu Patel na Rostam huwakaweka mfukoni viongozi wa serikali..Na Zitto kama anategemea kuwa rais huko mbele ni muhimu afahamu hata nchi za magharibi hutumia misaada kama hii kuwaweka kibindoni marais wa nchi maskini.
| ORGANIZATION | PROJECT | AMOUNT |
| Vice Presidents office | African Environment Day 2010 | Tshs 20,000,000 |
| IGPs office | Senior police officers conference on the 22[SUP]nd[/SUP] - 24[SUP]th[/SUP] Feb 2010 held in Dodoma | Tshs 10,000,000 |
| Chunya District | Assistance to construct girls hostel in Chunya District | Tshs 5,000,000 |
| Kinondoni Municipal Council( Masaki sub ward) | Greening project for Masaki sub ward under the local government environmental project initiative coded Masaki | Tshs 6,000,000 |
| Bunda District | Bunda District soccer tournament | Tshs 10,000,000 |
| Tanzania Education Development Association | Assistance to support TEDA for purchasing roofing sheets for several disadvantaged school. | Tshs 15,000,000 |
| World Economic Forum | Hosting of the world economic forum in Africa | Tshs 25,000,000 |
| Tanzania Tennis Association | Support Tennis tournaments for primary schools in Mwanza | Tshs 20,000,000 |
| Engineers Registration Board | Workshop for engineers Annual Day, in-kind support in form of laptops for the four best engineering student from the university of DSM | USD 4800 |
| Tanzania Tennis Association | Tennis coach Ramadhan Jerani for participation in the 7[SUP]th[/SUP] ITF African regional coaches conference to be held in Pretoria.(Air ticket, accommodation and pocket money) | USD 1500 |
| Former District Commissioners Forum(FODICO) | A proposal for rehabilitation of Mwisenge primary and secondary school in Musoma. | Tshs 20,000,000 |
| The Association of Independent food security monitors (IFOSEMO), Coast Region | A proposal of a construction of a grain storage facility for Coast Region. | Tshs 15,000,000 |
| The Institute of Engineers Tanzania | Technical Division of Workshop in Mwanza | Tshs 6,000,000 |
| Femina HIP | Sponsorship to the production of femina magazine for secondary school submitted by Femina HIP | Tshs 13100 |
| CCBRT | Construction for a maternity ward at CCBRT Dar es Salaam Region | Tshs 25,000 |
| FODICO, Dar es Salaam | A proposal to conduct s six months broad based campaign to educate and sensitize against female circumcision. | USD 15,000 |
| National Museum of Tanzania | Sponsorship proposal on photo on Northen circuit for a permanent ecological exhibition | USD 4200 |
| CHANETA | Supporting Netball initiative | Tshs 6500,000 |
| Lucys Hope Centre for Orphans. | An out reach project to help orphans and other vulnerable children in Cost and dar es Salaam Regions | USD 20,000 |
| The United Republic of Tanzania | Donation for Mwaisenge orphanage and elderly centre in Mara Region | USD 10,000 |
| Childrens Book Project | Pan Africa Reading for all Conference. | USD 20,000.00 |
| CEO Roundtable-Tanzania | Fundraising for CEO Scholarship Fund Trust-2009 | USD 3000.00 |
| DISLs 2009 Youth camp in Dar es Salaam | Corporate Sponsorship Commitment for Youth Camp. | USD 7000.000 |
| Tanzania House of Talent | Investment in music equipment, salary for music teachers and rehabilitation of centre in Dar es Salaam. | Tshs 30,000,000 |