Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona nichangie tena maana nadhani wachangiaji wanapotosha makusudi kabisa mjadala huu.Zitto is corrupt like most of CCM wabungez
Tanzania actually owes Barrick millions. In Tanzania, companies pay a value-added tax similar to Canada's GST when they buy goods and services and import fuel. As in Canada, the government owes a refund when companies pay more VAT than they collect from their customers. Barrick has no Tanzanian clients so it's entitled as of December 2010 to a total refund of $121 million that Tanzania over-collected over the years and can't afford to repay.
Kipande ichi tu kinaonyesha namna gani wasomi wetu wanavyotuongoza. Tanzania kweli mpaka karne tulizonazo bado ni nchi ya kusumbuliwa na umeme? foleni za magari, uncertain healt care and many others. Haya twendeni.............
Zbe patient my braza! Kwanza binafsi nashukuru kuona unapojitokeza kujibu hoja..Nimeona nichangie tena maana nadhani wachangiaji wanapotosha makusudi kabisa mjadala huu.
I am not corrupt. I have never been corrupt and I will not.
Mali zote nilizonazo nimeorodhesha katika daftari la mali na madeni. Sina nyumba Dar es Salaam kama baadhi yetu wanavyodai hapa. Ninamiliki magari 2 tu mitumba niliyonunua kutokana na kipato changu.
Sina biashara yoyote hapa nchini. Ninamiliki hisa kampuni moja ya publishing ambazo sijawahi kupata gawio toka ianze kazi.
Nina nyumba ndogo ya vyumba viwili kijijini kwangu Mwandiga.
I have never ever been corrupt and I have no quest for properties. Sina tamaa ya mali.
Ninaomba tujadili hoja hii bila kutukanana wala kuzushiana. Nimejibu hoja hii kama mwulizaji alivyotaka katika post yake ya kwanza kabisa.
Wabunge na Halmashauri za wilaya na miji huomba misaada mbalimbali kwa majimbo yao ili kusaidia maendeleo. Sijawahi kushawishiwa hongo na kampuni ya Barrick sio tu kupewa. Nilikuwa muwazi kabisa katika msaada huu na miye ndio niliyomwambia mtafiti huyu kuhusu suala hili. Sidhani kama makampuni yanazuiwa maeneo ya kutoa misaada. Sijui kiwango gani cha misaada Barrick wametoa kwa wilaya ambazo wao wana endesha migodi.
Nafikiria sio sahihi kwa wanasiasa au mawakala wa wanasiasa kutumia hoja hii kunishughulikia kisiasa kwani sina kosa lolote katika jambo hili.
Sijawahi kuwatetea kwa lolote Barrick. Nimeeleza kuwa nimesimamia mabadiliko ya sheria ya madini na usimamizi wake. Michango yangu Bungeni ipo waziwazi katika blogu yangu www.zittokabwe.com na nimesemea jambo la umuhimu wa kodi.
Sasa kulifanya jambo hili kana kwamba nimekula rushwa ni kunipakazia tu bila sababu. Sina maslahi ya kifedha kabisa na suala hili.
Ziito hiyo proposal ya kwanini ulituma kwenye mgodi sio NSSF, CRDB , VICFISH DANIDA,Nimeona nichangie tena maana nadhani wachangiaji wanapotosha makusudi kabisa mjadala huu.
I am not corrupt. I have never been corrupt and I will not.
Mali zote nilizonazo nimeorodhesha katika daftari la mali na madeni. Sina nyumba Dar es Salaam kama baadhi yetu wanavyodai hapa. Ninamiliki magari 2 tu mitumba niliyonunua kutokana na kipato changu.
Sina biashara yoyote hapa nchini. Ninamiliki hisa kampuni moja ya publishing ambazo sijawahi kupata gawio toka ianze kazi.
Nina nyumba ndogo ya vyumba viwili kijijini kwangu Mwandiga.
I have never ever been corrupt and I have no quest for properties. Sina tamaa ya mali.
Ninaomba tujadili hoja hii bila kutukanana wala kuzushiana. Nimejibu hoja hii kama mwulizaji alivyotaka katika post yake ya kwanza kabisa.
Wabunge na Halmashauri za wilaya na miji huomba misaada mbalimbali kwa majimbo yao ili kusaidia maendeleo. Sijawahi kushawishiwa hongo na kampuni ya Barrick sio tu kupewa. Nilikuwa muwazi kabisa katika msaada huu na miye ndio niliyomwambia mtafiti huyu kuhusu suala hili. Sidhani kama makampuni yanazuiwa maeneo ya kutoa misaada. Sijui kiwango gani cha misaada Barrick wametoa kwa wilaya ambazo wao wana endesha migodi.
Nafikiria sio sahihi kwa wanasiasa au mawakala wa wanasiasa kutumia hoja hii kunishughulikia kisiasa kwani sina kosa lolote katika jambo hili.
Sijawahi kuwatetea kwa lolote Barrick. Nimeeleza kuwa nimesimamia mabadiliko ya sheria ya madini na usimamizi wake. Michango yangu Bungeni ipo waziwazi katika blogu yangu www.zittokabwe.com na nimesemea jambo la umuhimu wa kodi.
Sasa kulifanya jambo hili kana kwamba nimekula rushwa ni kunipakazia tu bila sababu. Sina maslahi ya kifedha kabisa na suala hili.
Mwanakijiji,Naomba kuuliza kama Barrick walitaka kusaidia shule kwenye jimbo la Zitto watu walitaka Zitto afanye nini? aende kuwaambia msichangie au kujenga kwa sababu wakifanya hivyo itaonekana wanampa rushwa? Kama kuna jambo la kujiuliza zaidi siyo nia ya Zitto bali ni suala la Barrick walifanya hivyo kwa malengo gani? ........
As Mr. Kabwe is part of the next generation of leadership in this country, I hope the message he sends out to the youth out there who adore this man will be one of saying NO to corruption. It all boils down to intent in the individual, what is the intent behind the act? The youths of this country look up to this man and I believe he will not let them down! Because Tanzania has given the world sons like Mwalimu Nyerere, Mr. Maira, sons who held her head high in the world, then now more than ever, when she needs a son to rescue her from drowning in the sea of corruption and help her hold her head high again, her son cannot let her down.
After Mwalimu, this beautiful country has been drowning in a sea of corruption. I am inclined to believe there might be some truth to the Kikwete tidbit because if one is familiar with the "happenings" in Dar's so called biz. circles, one hears of certain individuals and their friends who continually seem to benefit from their "closeness" to the highest offices in the GOT.
(Even to the fact of having a so called fictional legal case be a cash generating machine after the decision of the highest court of land, the COA, stating to the Government to obey the Rule of Law.)
Having said that, I think these contract signing matters in hotel rooms need to be more transparent. Reminds me of what I read happened in the Valambhia case: Mr. Valambhia's legal entitlement was sitting on top of the desk of every gvt. minister in Tanzania, still through the back door when the case was subjudiced, an "instrument" was constructed by some individuals in AG chambers and signed by the then MOF, and money was released to Mr. Valambhia's partner, the one who had lost the case and the money. This act is called criminal, its called stealing!
Corruption cannot be a way of life! Its pure Evil!
Also, Tanzania is a country rich in natural resources, she can feed, clothe, educate her children, but not when there are Vultures out there who hover above her and continue to steal from her. Tanzania is still a developing nation, the process of how contracts are signed can be debated, so that reforms can take place. There should be zero tolerance for corruption! Its about time to think about the interests of ALL people of Tanzania and not just about the self interest of few people when signing on the dotted line. In Mwalimu's words "If real development is to take place, the people have to be involved".
I hope and pray that the next generation be taught to say NO to corruption! For the cost of corruption is colossal! Its the impotence of the poor. Its the destruction of hopes, dreams, of the strangling of Justice! I hope the youth of this country do not let the father of this nation down!
"We spoke and acted as if, given the opportunity for self-government, we would quickly create utopias. Instead injustice, even tyranny, is rampant."
Julius Kambarage Nyerere, as quoted in David Lamb's The Africans, New York 1985.
Naomba kuuliza kama Barrick walitaka kusaidia shule kwenye jimbo la Zitto watu walitaka Zitto afanye nini? aende kuwaambia msichangie au kujenga kwa sababu wakifanya hivyo itaonekana wanampa rushwa? Kama kuna jambo la kujiuliza zaidi siyo nia ya Zitto bali ni suala la Barrick walifanya hivyo kwa malengo gani?
Nimesoma toka mwanzo na sikuona kwa kweli umuhimu wa kuchangia sana kwa sababu hoja zimechanganywa sana kiasi kwamba kushindwa kuona issue iliyojificha. Hili ni suala la intergrity ya Barrick as a multinational corporation. Tumeandika vya kutosha kuwa Barrick imekuwa ikihusishwa na uvunjaji wa haki za binadamu the world over; kwamba imekuwa ikishijaribu kujiingiza na kuinfluence politics za nchi mbalimbali. Kuanzia Chile hadi Papua New Guinea huko.
Binafsi ningependa zaidi kujua na kuangalia kampuni hii kwani hata nchini tayari imeshahusishwa na mambo mbalimbali ambayo yananuka corruption n.k Mengine ndio hayo ya kuanzia Bulyanhulu, Buzwagi n.k.
Sasa, kama Barrick walitarajia kuwa kwa kufinance mradi katika jimbo la Zitto walikuwa wanataka kuinfluence au walifanikiwa kuinfluence politics za Zitto jibu ambalo Zitto analitoa ni kuwa "HE..LL NO". Kwa maneno mengine hakuna ambalo Barrick wamefanya ambalo limembadilisha Zitto. Sasa swali ambalo watu wanatakiwa kutusaidia ni kutuonesha kuwa Zitto kabadilishwa; kwamba leo hajali tena Barrick wanafanya nini, au hajali kama Barrick inasimamia haki za binadamu na kuwabana kwa sababu kwa kufanya hivyo atawaudhi Barrick. Bado sijaona hilo.
Jambo la pili ambalo nalo ni kuliangalia vizuri ni kuelewa the nature of politics. Siasa ni ushawishi. Sasa hapa ni penye mtego kwani kuna ushawishi wa wazi na wa kisheria (legal lobbying) na ushawishi kinyume cha sheria (illegal lobbying). Unfortunately sana bado hatujawa na sheria ya lobbying na labda kuna sababu hiyo sheria haipo. Kama nakumbuka vizuri - na uzee unanijia kwa kasi - ni Zitto aliwahi kupendekeza kuwa na kitu kama hicho sijui hilo limefikia wapi lakini mojawapo ya changamoto ambazo tunazo sana kwenye siasa zetu ni jinsi gani makampuni makubwa yanatumia nafasi zao kushawishi wabunge.
Hili tunaliona hata kwa makampuni ya ndani. I have seen this with PPF, NSSF, Vodacom, n.k jinsi wanavyofanya kazi na hata kuwekeza kwa mtindo huo huo wa Barrick kwenye majimbo ya wabunge mbalimbali hasa ambao wanaonekana kuwa vinara. Lakini mtego uko pale pale - je NSSF ikitaka kujenga nyumba za makazi madogo kwenye jimbo la Malima kule Mkuranga Malima akatae? Leo hii PPF wakitaka kujenga nyumba kwa kina Regia Mtema je naye akatae kwa sababu itaonekana anashawishiwa?
Well.. siri iko kwenye matokeo.
Kama Watanzania tunajukumu la kupima zaidi matokeo ya mahusiano haya kati ya wanasiasa na wafanyabiashara au makampuni makubwa. Je wanasiasa wetu wanabadilishwa kiasi gani? Je wamebadilika baada ya miradi fulani kufanywa katika majimbo yao? Je hawasimamii tena yale waliyokuwa wanayasimamia? Kwa mfano, mbunge ambaye amekuwa mkali kwa polisi na baada ya miezi kadhaa jeshi la polisi likaenda kujenga vituo kwenye jimbo lake na kuleta usalama je ataacha kuwasimamia Polisi zaidi? Je, mbunge ambaye alikuwa anaipigia kelele wizara ya elimu na miezi michache baadaye shule ikapatiwa vifaa vya ujenzi jimboni kwake anaendelea kuisimamia?
Au tutumie mfano mmoja ambao ni dhahiri sana kwenye wizara ya uchukuzi. Mara kwa mara wabunge wanalalamikia barabara na madaraja kwenye majimbo yao. Je, baada ya kuibana serikali sana kwenye barabara za jimbo na serikali ikaamuka kujenga barabara je mbunge huyo anabadilika na kuacha kuwa mkali kwa sababu yeye kapata barabara jimboni kwake?
Sasa kama jibu ni "ndio" basi ni kweli mbunge huyo amekubali kununuliwa hata kama hakuchukua fedha yeye mwenyewe au kutia hata senti moja mfukoni mwake, kwani kilichonunuliwa ni ukimya wake na kubadilika kwake. Kama mbunge ambaye kwa kupewa ufadhili au kusaidiwa kumemfanya kupoteza mtazamo wake wa awali basi impact ya ushawishi ule iko wazi. Lakini mahali ambapo hakuna sheria ya kusimamia lobbying hii au ya aina mbalimbali ni kwa namna gani tunaweza kusema mtu kafanya makosa?
the way forward:
a. Kutaka wabunge wapitishe sheria ya kusimamia Lobbying industry ili tujue nini na nani anafanya nini na kwanini katika mazingira ya wazi kabisa kwani suala tunaloliona kwenye hoja hii tunaliona pia kwenye madai dhidi ya Rais Kikwete na hata marais wengine kabla ambapo wafanyabiashara wakubwa wananunua "access" kwa kutoa misaada au promises ya misaada.
b. Kutaka suala la transparency liwe wazi zaidi. Katika hili nadhani Zitto yuko ahead of his peers kwa mbali sana. Ni mmoja wa wabunge wachache wanaopigania transparency sana na sijui kwa kiasi gani atafanikiwa kwani a corrupt government is a secretive government.. think about it... Sijui tu ni kwa kiasi gani wabunge wako tayari kuwa na kile kinachoitwa "open government". Upande mwingine.. kuwa na openness zaidi ili kiwe nini? Tukasirike zaidi, tuumie zaidi au vipi? Maana tayari hadi hivi sasa tunajua sana kiasi kwamba imewahi kutolewa hoja ya kuwa na jiwe la panadol kila center square ya mji iliw atu wakisikia maumivu waende kulilamba!! If we know more, we'll hurt more!
Well.. naweza kuandika zaidi lakini I need to get my own panadol rock!
Mheshimiwa,Nimeona nichangie tena maana nadhani wachangiaji wanapotosha makusudi kabisa mjadala huu.
I am not corrupt. I have never been corrupt and I will not.
Mali zote nilizonazo nimeorodhesha katika daftari la mali na madeni. Sina nyumba Dar es Salaam kama baadhi yetu wanavyodai hapa. Ninamiliki magari 2 tu mitumba niliyonunua kutokana na kipato changu.
Sina biashara yoyote hapa nchini. Ninamiliki hisa kampuni moja ya publishing ambazo sijawahi kupata gawio toka ianze kazi.
Nina nyumba ndogo ya vyumba viwili kijijini kwangu Mwandiga.
I have never ever been corrupt and I have no quest for properties. Sina tamaa ya mali.
Ninaomba tujadili hoja hii bila kutukanana wala kuzushiana. Nimejibu hoja hii kama mwulizaji alivyotaka katika post yake ya kwanza kabisa.
Wabunge na Halmashauri za wilaya na miji huomba misaada mbalimbali kwa majimbo yao ili kusaidia maendeleo. Sijawahi kushawishiwa hongo na kampuni ya Barrick sio tu kupewa. Nilikuwa muwazi kabisa katika msaada huu na miye ndio niliyomwambia mtafiti huyu kuhusu suala hili. Sidhani kama makampuni yanazuiwa maeneo ya kutoa misaada. Sijui kiwango gani cha misaada Barrick wametoa kwa wilaya ambazo wao wana endesha migodi.
Nafikiria sio sahihi kwa wanasiasa au mawakala wa wanasiasa kutumia hoja hii kunishughulikia kisiasa kwani sina kosa lolote katika jambo hili.
Sijawahi kuwatetea kwa lolote Barrick. Nimeeleza kuwa nimesimamia mabadiliko ya sheria ya madini na usimamizi wake. Michango yangu Bungeni ipo waziwazi katika blogu yangu www.zittokabwe.com na nimesemea jambo la umuhimu wa kodi.
Sasa kulifanya jambo hili kana kwamba nimekula rushwa ni kunipakazia tu bila sababu. Sina maslahi ya kifedha kabisa na suala hili.
IOfcourse angekataa!!....yeye kama mjumbe wa kamati ya bomani,hilo jambo linaleta utata, angekataa msaada na kuwaambiawauelekeze kwenye wilayanyingine.ninajua wilaya zilizo nyumaq kielimu zaidi ya Kigoma...ama wakiktaa basi. Tusichukue misaada kwa kuwa ni misaada, hawa jamaa hawatujali hata kidogo..msidanganyike...matter of fact they hate us!!Naomba kuuliza kama Barrick walitaka kusaidia shule kwenye jimbo la Zitto watu walitaka Zitto afanye nini? aende kuwaambia msichangie au kujenga kwa sababu wakifanya hivyo itaonekana wanampa rushwa? Kama kuna jambo la kujiuliza zaidi siyo nia ya Zitto bali ni suala la Barrick walifanya hivyo kwa malengo gani?
Nimesoma toka mwanzo na sikuona kwa kweli umuhimu wa kuchangia sana kwa sababu hoja zimechanganywa sana kiasi kwamba kushindwa kuona issue iliyojificha. Hili ni suala la intergrity ya Barrick as a multinational corporation. Tumeandika vya kutosha kuwa Barrick imekuwa ikihusishwa na uvunjaji wa haki za binadamu the world over; kwamba imekuwa ikishijaribu kujiingiza na kuinfluence politics za nchi mbalimbali. Kuanzia Chile hadi Papua New Guinea huko.
Binafsi ningependa zaidi kujua na kuangalia kampuni hii kwani hata nchini tayari imeshahusishwa na mambo mbalimbali ambayo yananuka corruption n.k Mengine ndio hayo ya kuanzia Bulyanhulu, Buzwagi n.k.
Sasa, kama Barrick walitarajia kuwa kwa kufinance mradi katika jimbo la Zitto walikuwa wanataka kuinfluence au walifanikiwa kuinfluence politics za Zitto jibu ambalo Zitto analitoa ni kuwa "HE..LL NO". Kwa maneno mengine hakuna ambalo Barrick wamefanya ambalo limembadilisha Zitto.
Kijana mwenzangu Zitto, tatizo siyo wewe kushika hizo fedha ama kutozishika. La hasha, tatizo limejikita kwenye uhalali/legitimacy wa msaada huo wa Barrick kuvuka mipaka ya Wilaya kadhaa/majimbo kadhaa toka maeneo Barrick wanapoendesha shughuli zao kwenda huko jimboni kwako. Hapa inaonekana, kama makala yalivyosema pale juu kwamba, ilibidi yajengwe mazingira fulani ya wewe kuridhika ili ukae kimya wakati wa kujadiliwa Mswaada wa Sheria ya Madini iliyokuwa imewekwa mezani wakati huo. Na kweli baaada ya jimbo lako kupata huo msaada wa ujenzi wa shule, nawe ulikaa kimya kama wao Barrick walivyotegemea.Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyo mwandishi (mtafiti) alinihoji na mie ndio niliweka wazi kuwa Barrick mwaka 2008 walinunua mabati kwa ajili ya shule ya Sekondari Mkabogo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini. Sikuwahi kushika mkononi pesa hizo wala kushiriki kuamua zitumike namna gani. Niliamua hivyo kwa uwazi kabisa na ndio maana sikuwahi kuficha suala hilo na hata kuliweka wazi kwa mwanafunzi huyu ambaye alinihoji mwaka 2010.
Sijawahi kuwa kimya kabisa katika suala la sekta ya madini. Nilisimamia kuandikwa kwa sheria mpya na kuhakikisha inakuwa na maslahi kwa Watanzania. Nimekuwa mkali kutaka kampuni za madini kulipa mrahaba wa madini wa sasa kwa mujibu wa sheria mpya. Ukitembelea blog yangu utakuta hotuba zangu Bungeni zenye misimamo yangu ya wazi kabisa kuhusu sekta ya madini.
Nakaribisha mtu yeyote aende Jimboni kwangu, kijiji cha Mkabogo akafanya uchunguzi kuhusu msaada ule. Nipo tayari pia Halmashauri ya Wilaya waweke wazi account iliyopokea pesa hizo na kuweka matumizi yao wazi.
Mimi binafsi sijawahi kupokea msaada wowote binafsi kutoka kampuni ya Barrick. Siku zote nimekuwa na misimamo isiyoyumba kuhusu sekta ya madini na nimekuwa nikiwa engage sana Barrick ili Tanzania ifaidike na madini yake.
Hata hivi sasa ukienda kwenye blog yangu zittokabwe.com utakuta nimewasema Barrick kwa kutolipa kodi ya mapato. Niliwasema katika interview na huyo kijana kutoka Canada kuhusu jambo hilo na niliwasema katika mijadala ya vyuo vya elimu ya juu kuhusu madini.
Ninaamini makampuni yana jukumu la kusaidia jamii. Kwamba Barrick walisaidia ujenzi wa shule ya Sekondari Jimboni kwangu, Jimbo ambalo lipo nyuma sana kimaendeleo ni jambo la kushukuru na sioni tatizo lolote la kimaadili.
From foes to partners: Tales of Zitto Kabwe and African Barrick Gold
1.Kigoma North legislator, Honourable Zitto Kabwe, who strongly criticized the African Barrick Gold, following the signing of Mineral Development Agreement (MDA) in 2007, to develop Buzwagi gold mine, benefited from the company's development projects according to the latest research by a Canadian based researcher.
2.According to research by a Canadian journalist and academician, Adam Hooper, submitted to University of Carlton in July, this year, contrary to what many knew, ABG opted for a win-win situation in order to have a support from Kabwe, after the latter ‘nailed' the company in Parliament in mid-2007.
The research suggests that after Kabwe proved to be ‘a thorn in the flesh' to ABG leading to his controversial suspension from the Parliament, the Canadian mining giant noticed that the MP's constituency was the lowest in terms of education development.
But defending the ABG's move to invest in the Kigoma North Constituency, the company's Public Relation Manager, Teweli Teweli, told the Canadian researcher that the decision was mainly influenced by the abysmal performance of the area in terms of education development.
3.This move, according to the ABG's Public Relations Manager Teweli Teweli, was a result of a proposal submitted to the company by Kigoma North MP.
"Kigoma North government submitted a proposal and Barrick funded it because Kigoma North's education system is lagging behind national standards. Kabwe had complained about the same issue in Parliament for years, with no effect." Reads part of the research seen by The Guardian on Sunday.
4.The research also claims that Barrick found Kabwe much less confrontational than observers expected when MPs were drafting the new Act.
"During the writing of the new law, we worked together so well because we had to create a win-win situation," Kabwe is quoted in the research. He further adds, "So the enmity between us had to end."
Whether it was immoral or not for ABG to finance development projects in Kabwe's constituency remains debatable by Tanzanians whom some of them see the man as the potential material for the country's top leadership.
Though their voices are contained in the research, The Guardian on Sunday, tried unsuccessfully to obtain the comments from Honourable Kabwe as well as ABG Public Relations Manager in Tanzania, Teweli Teweli
Kama nitakuwa nimeielewa habari ya 'The Guardina' point number 3 kama nilivyoiweka, barric waliombwa na Zitto ''was a result of a proposal submitted to the company by Kigoma North MP. na sio kuwa walifanya hivyo wenyewe kwa inititiative zao.Naomba kuuliza kama Barrick walitaka kusaidia shule kwenye jimbo la Zitto watu walitaka Zitto afanye nini? aende kuwaambia msichangie au kujenga kwa sababu wakifanya hivyo itaonekana wanampa rushwa? Kama kuna jambo la kujiuliza zaidi siyo nia ya Zitto bali ni suala la Barrick walifanya hivyo kwa malengo gani?
Kwa hakika hakuna jambo nililoona ni zito sana, lakini majibu ya mheshimiwa Zitto hayakidhi wala kujibu hoja husika bali yamelenga kuwa utetezi kuhusu yeye kuchukua 'rushwa' na kutokana na hayo maswali yanajirudia na hapo ndipo naliona tatizo kubwa.Nimesoma toka mwanzo na sikuona kwa kweli umuhimu wa kuchangia sana kwa sababu hoja zimechanganywa sana kiasi kwamba kushindwa kuona issue iliyojificha. Hili ni suala la intergrity ya Barrick as a multinational corporation. Tumeandika vya kutosha kuwa Barrick imekuwa ikihusishwa na uvunjaji wa haki za binadamu the world over; kwamba imekuwa ikishijaribu kujiingiza na kuinfluence politics za nchi mbalimbali. Kuanzia Chile hadi Papua New Guinea huko
Naamini kama Zitto ana msimamo hili haliwezi kubadilisha msimamo wake kama yeye, lakini je integrity yake haijawa compromised!! Anaweza kusema msimamo wake ni ule ule, public ikaona ni kauli za kisiasa na kuanza ku question moral yake. Anachotakiwa ni kujibu hoja ili kuondoa doubts, na ikifika hapo naona mapungufu. Ikizingatiwa kuwa mara nyingi amekuwa ni controversial figure kwa baadhi ya mambo jambo lolote lenye utata litapata public scrutiny ya hali ya juuSasa, kama Barrick walitarajia kuwa kwa kufinance mradi katika jimbo la Zitto walikuwa wanataka kuinfluence au walifanikiwa kuinfluence politics za Zitto jibu ambalo Zitto analitoa ni kuwa "HE..LL NO". Kwa maneno mengine hakuna ambalo Barrick wamefanya ambalo limembadilisha Zitto. Sasa swali ambalo watu wanatakiwa kutusaidia ni kutuonesha kuwa Zitto kabadilishwa; kwamba leo hajali tena Barrick wanafanya nini, au hajali kama Barrick inasimamia haki za binadamu na kuwabana kwa sababu kwa kufanya hivyo atawaudhi Barrick. Bado sijaona hilo
Nakubalina na hili na nimeliezee pia 126 kuwa legal lobbying, CSR au misaada haijulikani inatolewa vipi na kuna element za ushawishi wa kisiasa. Tunapaswa kuliangalia kwa jicho mujarabu.Jambo la pili ambalo nalo ni kuliangalia vizuri ni kuelewa the nature of politics. Siasa ni ushawishi. Sasa hapa ni penye mtego kwani kuna ushawishi wa wazi na wa kisheria (legal lobbying) na ushawishi kinyume cha sheria (illegal lobbying). Unfortunately sana bado hatujawa na sheria ya lobbying na labda kuna sababu hiyo sheria haipo. Kama nakumbuka vizuri - na uzee unanijia kwa kasi - ni Zitto aliwahi kupendekeza kuwa na kitu kama hicho sijui hilo limefikia wapi lakini mojawapo ya changamoto ambazo tunazo sana kwenye siasa zetu ni jinsi gani makampuni makubwa yanatumia nafasi zao kushawishi wabunge
Sidhani kwamba kuna tatizo kama shirika au kampuni litasaidia mahali fulani. Tatizo ni pale msaada huo unapotumika kujenga ukaribu na viongozi hasa wa ngazi za juu katika mazingira tata.Hili tunaliona hata kwa makampuni ya ndani. I have seen this with PPF, NSSF, Vodacom, n.k jinsi wanavyofanya kazi na hata kuwekeza kwa mtindo huo huo wa Barrick kwenye majimbo ya wabunge mbalimbali hasa ambao wanaonekana kuwa vinara. Lakini mtego uko pale pale - je NSSF ikitaka kujenga nyumba za makazi madogo kwenye jimbo la Malima kule Mkuranga Malima akatae? Leo hii PPF wakitaka kujenga nyumba kwa kina Regia Mtema je naye akatae kwa sababu itaonekana anashawishiwa
Hapa hatuwezi kusema kafanya makosa, lakini atakuwa na upungufu wa maadili kama ninavyonukuu kutoka post ya KobelloKama mbunge ambaye kwa kupewa ufadhili au kusaidiwa kumemfanya kupoteza mtazamo wake wa awali basi impact ya ushawishi ule iko wazi. Lakini mahali ambapo hakuna sheria ya kusimamia lobbying hii au ya aina mbalimbali ni kwa namna gani tunaweza kusema mtu kafanya makosa?
Absolutely!Kutaka wabunge wapitishe sheria ya kusimamia Lobbying industry ili tujue nini na nani anafanya nini na kwanini katika mazingira ya wazi kabisa kwani suala tunaloliona kwenye hoja hii tunaliona pia kwenye madai dhidi ya Rais Kikwete na hata marais wengine kabla ambapo wafanyabiashara wakubwa wananunua "access" kwa kutoa misaada au promises ya misaada
Mh. Zitto kwanza ningeomba kufafanua kitu kimoja. Haikuwa lengo langu kukuweka ktk mtihani kama huu na wala sio kusudio langu kukukashifu ama kukuhisi umechukua rushwa..Nimeona nichangie tena maana nadhani wachangiaji wanapotosha makusudi kabisa mjadala huu.
I am not corrupt. I have never been corrupt and I will not.
Mali zote nilizonazo nimeorodhesha katika daftari la mali na madeni. Sina nyumba Dar es Salaam kama baadhi yetu wanavyodai hapa. Ninamiliki magari 2 tu mitumba niliyonunua kutokana na kipato changu.
Sina biashara yoyote hapa nchini. Ninamiliki hisa kampuni moja ya publishing ambazo sijawahi kupata gawio toka ianze kazi.
Nina nyumba ndogo ya vyumba viwili kijijini kwangu Mwandiga.
I have never ever been corrupt and I have no quest for properties. Sina tamaa ya mali.
Ninaomba tujadili hoja hii bila kutukanana wala kuzushiana. Nimejibu hoja hii kama mwulizaji alivyotaka katika post yake ya kwanza kabisa.
Wabunge na Halmashauri za wilaya na miji huomba misaada mbalimbali kwa majimbo yao ili kusaidia maendeleo. Sijawahi kushawishiwa hongo na kampuni ya Barrick sio tu kupewa. Nilikuwa muwazi kabisa katika msaada huu na miye ndio niliyomwambia mtafiti huyu kuhusu suala hili. Sidhani kama makampuni yanazuiwa maeneo ya kutoa misaada. Sijui kiwango gani cha misaada Barrick wametoa kwa wilaya ambazo wao wana endesha migodi.
Nafikiria sio sahihi kwa wanasiasa au mawakala wa wanasiasa kutumia hoja hii kunishughulikia kisiasa kwani sina kosa lolote katika jambo hili.
Sijawahi kuwatetea kwa lolote Barrick. Nimeeleza kuwa nimesimamia mabadiliko ya sheria ya madini na usimamizi wake. Michango yangu Bungeni ipo waziwazi katika blogu yangu www.zittokabwe.com na nimesemea jambo la umuhimu wa kodi.
Sasa kulifanya jambo hili kana kwamba nimekula rushwa ni kunipakazia tu bila sababu. Sina maslahi ya kifedha kabisa na suala hili.
Kijana mwenzangu Zitto, tatizo siyo wewe kushika hizo fedha ama kutozishika. La hasha, tatizo limejikita kwenye uhalali/legitimacy wa msaada huo wa Barrick kuvuka mipaka ya Wilaya kadhaa/majimbo kadhaa toka maeneo Barrick wanapoendesha shughuli zao kwenda huko jimboni kwako. Hapa inaonekana, kama makala yalivyosema pale juu kwamba, ilibidi yajengwe mazingira fulani ya wewe kuridhika ili ukae kimya wakati wa kujadiliwa Mswaada wa Sheria ya Madini iliyokuwa imewekwa mezani wakati huo. Na kweli baaada ya jimbo lako kupata huo msaada wa ujenzi wa shule, nawe ulikaa kimya kama wao Barrick walivyotegemea.
Bila shaka kama ambavyo huwa najitokeza kukukosoa unapojikwaa ama kukusifia unapoonyesha misimamo yako yenye kuonyesha umakini hasa pale kwenye mtandao wa fecebook, sita acha kusema hapa pia. Kijana mwenzangu kama ulivyokiri kwamba makala haya ni ya kweli, hakika unatakiwa kutuomba radhi wananchi wa Tanzania kwani kitendo hicho kilikuwa ni kama rushwa vile japokuwa si ya wewe kupokea fedha mkononi moja kwa moja. Mathalani, wao Barrick walijuaje kwamba, jimbo lako ni hitaji kuliko hata majimbo wanapofanyia kazi kama si wewe kwenda kupeleka umbea wa kutaka kulipwa kitu kama malipo ya kutosema ukweli uliokuwa tayari unausimamia? Mbona siasa watanzania mnaifanya kuwa ni kitu cha watu kukidharau wakati nchi zingine wameendelea kupitia "SIASA SAFI"? Mnataka wananchi tuamini nini hapa? Ama ni kama wachache wanavyosema kwenye thread hii kwamba, siasa ni kama ilivyo, kwamba, wanasiasa wote wako sawa ni kwa ajili ya manufaa/"interest" yao tu na siyo manufaa ya umma? Kama nisemavyo wakati nikishauri upande wako, tafadhali pamoja na sasa kuona haja ya kututaka radhi umma, jaribu pia kuwa makini kwenye masuala yako binafsi na hata ya kisiasa na kijamii kwani tambua wewe si Zitto yule wa enzi zile kabla ya kuwa MP. Wewe ni Zitto wa umma wa watanzania. Na lolote ufanyalo, liwe zuri ama baya, matokeo yake yanatuathiri umma wote wa Tanzania.
Mh. Zitto kwanza ningeomba kufafanua kitu kimoja. Haikuwa lengo langu kukuweka ktk mtihani kama huu na wala sio kusudio langu kukukashifu ama kukuhisi umechukua rushwa..
Kikubwa ktk habari hii ni jinsi mwandishi alivyoweza kujenga hoja na ndicho kilichonisukuma mimi kujiuliza maswali mengi sana ambayo hayawezi kuwa na majibu isipokuwa kukulaumu wewe kujihusisha na shirika au watu ambao wanaweza kuharibu jina lako kisiasa. Na hii sii mara ya kwanza nakumbuka swala la Dowans, tulikwambia kama mwanasiasa jaribu sana kukaa mbali na watu ama mashirika ambayo yanajitokeza kuwanyonya wananchi na haswa pale sera za chama chako zinazouzika ni pinzani na uwekezaji wao na ndio vita kubwa wanayojaribu kuijenga kwa wananchi dhidi ya Ufisadi ama Unyonyaji.
Na hata kama ungetaka hizo Usd 10,000 kwa sababu ya mradi wa mabati ktk jimbo lako nakuhakikishia hapa JF tungepiga harambee kupitia jumuiya za watanzania waishio ndani na nje toka Marekani, Uk, Canada, Nordic Countries hadi Australia zingepatikana zaidi ya hizo - Mh. You know better than that, hii misaada isiyotosheleza inaweza kabisa kutuweka pabaya zaidi.
Na nimezungumza kwa ufasaha kabisa kwamba Barrick mkuu wangu ni Mafisadi wakubwa sana na wanajulikana nan kuogopwa dunia nzima kwa ushenzi wao na viongozi kama nyie msiofahamu undani wa mashirika kama haya inabidi sana muwe waangalifu kwa sababu ndio kazi yao ku bribe viongozi na vitu vidogovidogo utafikiri Machief wetu walivyoweza kununuliwa kwa shanga wakati wa Utumwa. Na huwezi kuita hii ni win win situation kama kweli mtu akisoma habari hiyo hapo juu. We are the looser big time bro!..Hivyo, kuwa makini sana na jaribu sana kutetea sera zako kwa sababu ndizo zilizokupa umaarufu toka swlaa la Buzwagi na majuzi Posho!