Masaki
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,463
- 754
Nji hii mtauana bure, na matukio mengi yanayopita tunayasahau. Kigoma North Govt ni ya zitto peke yake? Msaada ule unawafaa wana Kigoma.Ninazo sababu nyingi za kumtetea NYEPESI.MTANISAMEHE WAUNGWANA
- Dr Slaa akiwa Mbunge wa Karatu aliwasaidia wana jimbo lake kupata maji ya bomba no querries na tena msaada ulitoka kwa wazungu. kilichofuata ulikijua. Nitakujuza.
- Mwl J.K. Nyerere mwaka 1981 wakati Tanzania kuna njaa baada ya vita ya kagera alikwenda kuomba mahindi marekani ili wa Tanzania wasife njaa miaka miwil kabla yake alitoka kuwapigia kelele je, walipompa msaada walimnyamazisha?
- mwaka 2009 juni Rais Kikwete alikaribishwa na Uongozi wa CCBRT kwenda kuzindua baadhi ya majengo, na aliwasaidia CCBRT katika mgogoro wa kiwanja na wakapata( Mwenyekiti wa CCBRT ni dr SLAA) je, alikuwa anahongwa na Serikali ?
- Pamoja na NYEPESI kusakamwa na maadui zake ni jukumu la wana kigoma Kaskazini kumhukumu . Kwenu ni mwizi lakini KIGOMA Kaskazini ni mhimili na shujaa. Anawabana Wamarekani kuweka umeme wa Megawati 160 mto Malagarasi kwa kushirikiana na David Kafulila(NCCR)
- TUNA MHUKUMU BURE.
- HATA NYERERE HAKUWA MZALENDO KAMA MNAVYODAI. KWANINI ALIPOSTAAFU ALIPOKEA ZAWADI ZA MING'OMBE TREKTA, MBUZI nk.Huko ni kujilimbikizia mali. Ni ubepari. kula alikuwa anakula bure hizo mali alipokea za nini?
Honestly. Nimesoma hiyo habari yote hapo juu sikuona pabovu. Nilidhani Zitto alipata faida binafsi kuoka Barrick kumbe ni msaada, tena wa mabati ya shule ya sekondari. Hivi Watanzania wanajua hawa jamaa wanatuibia kiasi gani? Sembuse huo msaada kidogo? Na msaada unapelekwa kwenye halmashauri ya Wilaya, si kwa ofisi ya mbunge.
Zitto kaza buti mwanangu....Maana mti wenye matunda ndio utupiwao mawe!