Mh. Zitto kuna ukweli gani katika ripoti hii?

Mh. Zitto kuna ukweli gani katika ripoti hii?

As Mr. Kabwe is part of the next generation of leadership in this country, I hope the message he sends out to the youth out there who adore this man will be one of saying NO to corruption.

It all boils down to intent in the individual, what is the intent behind the act? The youths of this country look up to this man and I believe he will not let them down! Because Tanzania has given the world sons like Mwalimu Nyerere, Mr. Maira, sons who held her head high in the world, then now more than ever, when she needs a son to rescue her from drowning in the sea of corruption and help her hold her head high again, her son cannot let her down.

After Mwalimu, this beautiful country has been drowning in a sea of corruption. I am inclined to believe there might be some truth to the Kikwete tidbit because if one is familiar with the "happenings" in Dar's so called biz. circles, one hears of certain individuals and their friends who continually seem to benefit from their "closeness" to the highest offices in the GOT.

(Even to the fact of having a so called fictional legal case be a cash generating machine after the decision of the highest court of land, the COA, stating to the Government to obey the Rule of Law.)

Having said that, I think these contract signing matters in hotel rooms need to be more transparent. Reminds me of what I read happened in the Valambhia case: Mr. Valambhia's legal entitlement was sitting on top of the desk of every gvt. minister in Tanzania, still through the back door when the case was subjudiced, an "instrument" was constructed by some individuals in AG chambers and signed by the then MOF, and money was released to Mr. Valambhia's partner, the one who had lost the case and the money. This act is called criminal, its called stealing!

Corruption cannot be a way of life! Its pure Evil!

Also, Tanzania is a country rich in natural resources, she can feed, clothe, educate her children, but not when there are Vultures out there who hover above her and continue to steal from her. Tanzania is still a developing nation, the process of how contracts are signed can be debated, so that reforms can take place. There should be zero tolerance for corruption! Its about time to think about the interests of ALL people of Tanzania and not just about the self interest of few people when signing on the dotted line. In Mwalimu's words "If real development is to take place, the people have to be involved".

I hope and pray that the next generation be taught to say NO to corruption! For the cost of corruption is colossal! Its the impotence of the poor. Its the destruction of hopes, dreams, of the strangling of Justice! I hope the youth of this country do not let the father of this nation down!


"We spoke and acted as if, given the opportunity for self-government, we would quickly create utopias. Instead injustice, even tyranny, is rampant."
Julius Kambarage Nyerere, as quoted in David Lamb's The Africans, New York 1985.
 
Mimi katika kumsoma mwandishi nimeelewa kama ndugu yangu FJM alivyoelezea hapo nyuma na inanipa wasiwasi mkubwa sana kuelewa kwamba baada ya vita kubwa ya Mh.Zitto hadi kafukuzwa bungeni imekwisha kiulaini sana tena kwa fedha ndogo sana ambazo hakuzihitaji. Na laukama tutapima uzalendo wa hawa viongozi wetu kwa kupata vijisenti kama hivi badala ya kufikiria kiwango cha fedha tunazopoteza ktk mkataba kama wa Buzwagi ambao binafsi nilidhani tumeshajifunza na safari hii Barrick lazima waje na offer inayokubalika...This is my challenge to Zitto and co.

Jamani kama ingekuwa kutazama ujenzi wa shule na hizi Zahanati au mchango wa hawa wakoloni mamboleo basi tusingekuwa na heroes kama kina Mandela ambao walipewa offer za kila aina na wakakataa hadi walipopewa kile walichopigania toka mwanzo. Naamini Zitto hakupewa kitu mkononi na naamini asemayo lakini ukimya wake na wabunge wengine ktk swala zima la Buzwagi unanipa wasiwasi zaidi juu ya uzalendo ulowapa sifa hizi miaka ya nyuma.

Jamani Barrick wameuza 1.5 bil kwa mwaka 2009 nasi tumeambulia only 37mil asilimia 1.1 ya mauzo hayo huku tukidaiwa 120mil...Chukulia deni hilo tu, ina maana Barrick wanaweza kutokutulipa chochote kwa miaka minne ili kufidia deni lao la nyuma... hii kweli ni win win situation kwa kujengewa shule! Halafu kibaya zaidi ni kwamba hayo mauzo ya 1.5 Bil yameingia ktk mchango wa GDP yetu ikionyesha tumeuza kiasi kadhaa hali hizo fedha hazikupita ktk mzunguko nchini kwetu bali huko Canada ambako ndiko malipo hufanyika na serikali ya Canada wamepokea kodi kubwa zaidi ya Tanzania on the same sales ya mali yetu kisha mnashangaa kwa nini balozi wa Canada anafanya hizi karamu hadi bungeni. I have always said GDP means nothing ikiwa nusu ya mauzo yetu yanafanyika nje na mashirika ambayo malipo ya mauzo hayafanyiki nchini..

Ifike wakati viongozi wetu waseme enough tumechoka na hiki ndio tunaweka mezani, watakuja tu kwa sababu dhahabu haipatikani kila nchi na faida yalkke under any conditions sasa hivi Barrick can never stand to loose!. Yes, Yawezekana sana nchi za magharibi wakatupiga vita na wawekezaji wasiingie nchini kuwekeza lakini hata hivyo sioni kama tunafaidika na uwekezaji wao kwa sababu hadi leo hii hatuna uwekezaji wa maana nchini na hawana sababu ya kuwekeza Tanzania ikiwa nchi za Asia zina nguvukazi at very cheap, efficient ktk maji na umeme, cost za uzalishaji chini kabisa with best quality and high standard..Bado mnategemea wawekezaji ktk viwanda kweli waje dunia ya tatu ambako living cost ziko juu kama nchi za Ulaya?..
Kwa nini tusipiganie na kujivunie na kile Mwenyezi Mungu ametupa?
 
katika post ya wikileaks na suti alizopewa zawadi Kikwete nilisema "hakuna mwanasiasa yeyote (CCM au upinzani) ambaye anaweza kuwa succesful bila kuwa na financiers".

Zitto ukimchunguza utagundua "scandals" zake. Hata hivyo katika hili la ABG na taarifa hii ya "utafiti" hakuna sababu ya kumshambulia zitto. kitendo cha yeye kufoka mpaka Rais akachukua hatua ni ujasiri wa hali ya juu na unapaswa kupongezwa. kitendo cha Barricks kuchangia maendeleo jimboni kwa Zitto ni ishara tu ya kuonyesha kuwa hawana "beef" na Zitto. Na ukiangalia kiasi kilichotolewa cha USD 10,000 sio cha kubadilisha msimamo wa MP anayelipwa mshahara na marupurupu manono mpaka mengine akaomba yapunguzwe.

Hata hivyo, nimesikitishwa sana na watanzania wenzangu wanaochangia kwenye hii thread kwa sababu wooooooooooote wamedhihirisha kujikita kwenye siasa zaidi na kuonekana wakiamini kuwa only wanasiasa ndio wanapaswa kujadiliwa na kulaumiwa.

Kwa nini hakuna mchangiaji hata mmoja aliyegusia kuhusu "ndugu yetu" mtanzania mwenzetu Teweli Teweli. Yeye ndio fimbo inayotumiwa na ABG kutuchapa watanzania. kama kuna mtanzania tunapaswa kumjadili, kumlaumu, kumfunda na kumpa jina la chief Mangungo basi ni huyu Teweli Teweli. Kila anapokaa anafikiria jinsi ya kuwarubuni watanzania ili Barricks wapate manufaa zaidi hata kama nchi inadhurumiwa.

Nawaomba muangalie suala hili kwa ukaribu kwa sababu muua nchi ni mwana nchi, na katika sakata la Barricks muua nchi ni Teweli Teweli na si mwanasiasa.

Mkuu this is too low yaani unafananisha apples na mbegu za bange. Suti alizopewa Kikwete kwa manufaa binafsi tena kwa kificho itakuwaje sawa na hii ya mabati ya shule ambayo hela ilipitia kwenye account ya halmashauri ya wilaya?????

U've been busy to justify the unjustifiable. Suala la JK ni recklessness, yaani anaonekana ni kiongozi asiyeweza kupima mambo!!!!!!
 
Kwenye ile vita ya sheria ya madini Zitto alikuwa mpiganaji namba 1,hv Zitto amekosa mbinu ya kupata msaada mpaka kupitia barrick aliokuwa anawakaanga? Hv akina nyerere wangekuwa hivi tungefika kweli?
 
Nimemsoma Ndg. Zitto, amesema hakupokea cash ila ilijengwa shule jimboni kwake.

Hii ni sawa na watoto wako walikuwa na njaa akaja mtu akawapa chakula na inakumbukwa kwamba huyu mtu juzi tu ulikuwa unamshambulia hadharani kwa makosa aliyokuwa anawafanyia wananchi. Amekuja ameokoa watoto wako, utakuwa na ubavu tena wa kumshambulia huyu mtu kweli? Hii haihitaji siasa wala elimu ya siasa kujua kwamba utakuwa umenyamazishwa. Katika mazingira kama yale ndg. Zitto asingepeleka proposal yake kwa hawa watu. Ina maana aliwatega kwamba awaseme kisha aende na proposal.

Mfanyabiashara wa yeyote asingeikataa hiyo proposal ikizingatiwa imepelekwa na shujaa wa kupigania haki za madini (Buzwagi) nchini. Walijua tu kwamba wakimpatia msaada jimboni kwake atatulia na huenda kuna misaada mingi. Nadhani ni wakati muafaka wa kutathmini makali ya Ndg. Zitto kwa watu wa Barrick wakati wa issue ya Buzwagi na baada ya kupata msaada huko jimboni kwake. Makali ni yelyale ama yamepungua au yaliongezeka?

Kwa jinsi Tundu Lissu alivyokuwa mwiba mchungu kwa watu wa madini, leo hii akipeleka proposal kwa watu wa madini hata iwe imeandikwa na mtoto wa darasa la saba nani ataikataa?

Vitu vingine tungekuwa tunajaribu kuviepuka kwa kuwa vinakuwa na maswali mengi kuliko majawabu.
 
Kuomba msaada wa maendeleo sio tatizo. Kosa ni kuomba wakati wewe umewekwa kama mchunguzi wa hiyo kampuni.

Lazima ndugu Zitto ukubali makosa yako na uombe msamaha kwa watanzania. Inawezekana kuwa haya makosa ulifanya bila kufikiria lakini UPOLE wako juu la hii kampuni ndio unaleta wasiwasi kwetu sisi. Ni kweli umepata mabati lakini hiyo ndio njia iliyo tumika kukunyamazisha. Mimi binafsi ni CCM lakini nina heshima kubwa sana kwako.

Kuhongwa kuna aina nyingi sana ndugu yangu na sio lazima upewe pesa wewe binafsi, kitendo cha msaada kupelekwa jimboni mwako ni mfano wa hongo, inawezekana kuwa umefanya hivyo kwa ajili ya wananchi wako na pia inawezekana umefanya hivyo kwa maslahi yako binafsi ya kisiasa.
 
ukimkataa shetani inabidi ukatae na kazi zake zote na hila zake zote,otherwise atakushinda tu.vita na mabeberu si soft kama zitto anavyoibeba inabidi uwe kama mkuu Pasco alivyokataa ajira nzuri.Nyerere alipokataa kufanya kazi na serikali ya wakoloni ingekuwa leo kuna watu wangesema sasa si bora angekubali walau atuwakilishe ni uroho tu wa madaraka ili awe rais!
 
We mbona mtu wa ajabu sana, kama wabunge wa shinyanga wamelala kuomba msaada, unataka Zitto awaombee.......?

Misaada inapogeuka falsafa tegemezi ya maendeleo ni ishara tosha ya Taifa lililoangamia kwa uduanzi wa kuombaomba!!!

Kwanini iwe misaada katika mambo ambayo yanaweza kujengwa na kuendelezwa kwa kodi stahili iwapo misingi ya kodi inaboreshwa na kufuatwa ipasavyo??!
 
Najiuliza itakuwaje iwapo kila mbunge atapeleka same proposal kwa hawa Barrick, will they honor them kama ya Zitto?? Na wakikataa swali linakuwa kwanini walikubali hiyo ya km 600 mbali kutoka walipo na kushindwa ya karibu?
 
Imagine NSSF au CRDB waipe sponsorship JF in return kwamba threads zote za malalamishi dhidi ya serikali na utendaji wake zinatiwa kapuni...
 
Hawa jamaa wanajua sana jinsi ya kulobby hivyo jarib kuona jinsi gani hata baathi ya wabunge wa CHADEMA walipanda ndege na kwenda kule North Mara ndio hayo hayo hivyo lazima Zitto aje hapa na kusema juu ya mambo haya kama ni kweli au ni uongo
 
Zitto hana tofauti na wanasiasa wengi Nchi hii waliopita na wengine waliopo waliotengeneza majina kwa ajili ya kujinufaisha zaidi. Wapo watu kama Mzindakaya, Lowassa, Marehemu Tuntemeke Sanga, Yusuf Makamba,....., ambao ni wazuri mno kujenga hoja zenye mvuto kwa jamii ambazo mara nyingi haijulikani zinamalizika vipi.
 
Sijawahi kupokea zawadi ya aina yeyote kwa kampuni yeyote ya madini. Hata suala hili la CSR mimi ndio nilireveal kwa mtafiti huyu kuonyesha mifano ya miradi wanayotoa na kukosoa mtindo huu badala ya kulipa kodi stahili.

Nimekuwa wazi kabisa katika jambo hili. Sikushika hata senti ya fedha hizi. Nilikagua mradi huu na watoto wanasoma. Suala la kodi katika sekta ya madini ( ambalo nimeliandikia katika dissertation yangu ya Masters of Law and Business Bucerius Law School, Hamburg) ni suala ambalo nimeendelea kulisemea kila wakati.

Hoja zangu Bungeni zinapatikana katika blogu yangu Zitto na Demokrasia

Naomba unitumie hiyo tasnifu niisome. Kuhusu hili sakata hata siwezi kulisemea maana nina mgongano wa kimaslahi, yaani chuki binafsi na Barrick. Ila nawasifu kwa PR za CSR hasa baada ya kuwaingiza Dambisa Moyo na Juma Mwapachu kwenye bodi zao. Kweli Teweli Teweli atakuwa anachekelea!
 
I will give him a benefit of doubt but this is beyond imagination, that he can refute and clear the allegations....

Anyway...Zitto has the right to be heard and he will most likely use or spoil it...!!
 
Nimebaki mdomo wazi majibu ya zitto hayaridhishi hata kidogo nakosa maneno sahihi pengine niseme Zitto ametuangusha sana.
 
He can make a good president but until he comes out crystal clear and clean.
Zitto is still seemed by most of Tanzanians as the potential material for this country's presidency.
 
Mnaopata MBA za Mzumbe, OUT, IFM, CBE, UDSM, ......, mnaweza kuandika hivi ili mlisaidie taifa letu?
 
Back
Top Bottom