Mh. Zitto kuna ukweli gani katika ripoti hii?

Mh. Zitto kuna ukweli gani katika ripoti hii?

Quixotic dreams! He is a flop for his incumbent position how dare would he bid for presidency. Besides, who in their right minds will do a grave mistake by puting this tyro politician into such a high position?
Your poor old illiterate imbecile peasant parents and their ignorant CCM naive supporters/neighbours will do.
 
Hao ndio mabingwa wa kulalama kuliko kuchukua hatua,watawezaje kuandika maandiko yenye mshiko kama hayo???
Mnaopata MBA za Mzumbe, OUT, IFM, CBE, UDSM, ......, mnaweza kuandika hivi ili mlisaidie taifa letu?
 
Tanzania actually owes Barrick millions. In Tanzania, companies pay a “value-added tax” similar to Canada's GST when they buy goods and services and import fuel. As in Canada, the government owes a refund when companies pay more VAT than they collect from their customers. Barrick has no Tanzanian clients so it's entitled as of December 2010 to a total refund of $121 million that Tanzania over-collected over the years and can't afford to repay.

Kipande ichi tu kinaonyesha namna gani wasomi wetu wanavyotuongoza. Tanzania kweli mpaka karne tulizonazo bado ni nchi ya kusumbuliwa na umeme? foleni za magari, uncertain healt care and many others. Haya twendeni.............
 
Msaada kwa our law makers una conflict of interest!hahahahhaa,kila jimbo lina mbunge, kwahiyo misaada ipelekwe wapi? Unamaanisha kweli unachoandika? Au hujaelewa mada!
wewe ndo hujaelewa nilichoandika,..nimesema msaada kutoka barrick kwa watunga sheria wetu ni tatizo kwa sasa,.barrick inalalamikiwa kila kona,..na sio barrick peke yao hata makampuni mengine ya madini yanalalamikiwa kwa kutunyonya kimapato,..tunawategemea wabunge wapitishe sheria za madini za kuwabana wasiendelee kutunyonya,sasa ukipokea misaada ya kijimbo kutoka kwao utatunga sheria gani???
next time tulia soma kitu,tafakari halafu weka vidole vyako kwenye keyboard na uanze kutype,..typing errors tutazipotezea lakini makosa ya kufikiri hatutayapotezea
 
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyo mwandishi (mtafiti) alinihoji na mie ndio niliweka wazi kuwa Barrick mwaka 2008 walinunua mabati kwa ajili ya shule ya Sekondari Mkabogo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini. Sikuwahi kushika mkononi pesa hizo wala kushiriki kuamua zitumike namna gani. Niliamua hivyo kwa uwazi kabisa na ndio maana sikuwahi kuficha suala hilo na hata kuliweka wazi kwa mwanafunzi huyu ambaye alinihoji mwaka 2010.

Sijawahi kuwa kimya kabisa katika suala la sekta ya madini. Nilisimamia kuandikwa kwa sheria mpya na kuhakikisha inakuwa na maslahi kwa Watanzania. Nimekuwa mkali kutaka kampuni za madini kulipa mrahaba wa madini wa sasa kwa mujibu wa sheria mpya. Ukitembelea blog yangu utakuta hotuba zangu Bungeni zenye misimamo yangu ya wazi kabisa kuhusu sekta ya madini.

Nakaribisha mtu yeyote aende Jimboni kwangu, kijiji cha Mkabogo akafanya uchunguzi kuhusu msaada ule. Nipo tayari pia Halmashauri ya Wilaya waweke wazi account iliyopokea pesa hizo na kuweka matumizi yao wazi.

Mimi binafsi sijawahi kupokea msaada wowote binafsi kutoka kampuni ya Barrick. Siku zote nimekuwa na misimamo isiyoyumba kuhusu sekta ya madini na nimekuwa nikiwa engage sana Barrick ili Tanzania ifaidike na madini yake.

Hata hivi sasa ukienda kwenye blog yangu zittokabwe.com utakuta nimewasema Barrick kwa kutolipa kodi ya mapato. Niliwasema katika interview na huyo kijana kutoka Canada kuhusu jambo hilo na niliwasema katika mijadala ya vyuo vya elimu ya juu kuhusu madini.

Ninaamini makampuni yana jukumu la kusaidia jamii. Kwamba Barrick walisaidia ujenzi wa shule ya Sekondari Jimboni kwangu, Jimbo ambalo lipo nyuma sana kimaendeleo ni jambo la kushukuru na sioni tatizo lolote la kimaadili.

Mdogo wangu Zitto haingii akilini kwenda kuomba msaada kwa mwiziHakuna makampuni mengine ambayo ungeyaomba na kununua mabati ya shule Hiyo????!!! But anyway if you canr beat them join them!!!.
 
Imagine NSSF au CRDB waipe sponsorship JF in return kwamba threads zote za malalamishi dhidi ya serikali na utendaji wake zinatiwa kapuni...

Au imagine Jf kufunga ile thred ya Wikileask na suti za muheshimiwa ni kwsababu
  • TISS wana management share katika JF
  • AU JF wanapokea msaada kutoka US kupitia USAID so wameona ule uzi unaweza kuvuruga cashflow
teh teh teh
 
Zito ametoa ufafanuzi kwa hiyo wanajamii munataka atoe nini zaidi ya hayo maelezo au kunajambo lillilonyuma ya hii maada? tuweni na ustarabu hajakataa hata ingekuwa ni mimi umepewa msahada kwa nini niuweke kwako ikiwa nawewe utaomba utapewa? hao wa Bunge wa shinyanga wengi hawako makini ndio maana zito kawapiga bao
 
img_7062-jk.jpg

 
Zitto kwa hili hawezi kutoka, mimi naifuatilia hii thread mpaka asubuhi. Nipo tayari kukesha nijue mwisho wake.
Mwita25; hapo umepata deal, tunajua utalipwa vizuri tuu!!!!!! Ila kusema ukweli kama huyu ndg yetu alifadhiriwa na hao watu wa Barick, basi hakuna tena mzima wote iko gonjwa. Wapenda CDM hebu fuatielieni tujue ukweli tusipambane na dagaa kumbe makambale yanatesa tuu!!!!!!!
 


Naomba unitumie hiyo tasnifu niisome. Kuhusu hili sakata hata siwezi kulisemea maana nina mgongano wa kimaslahi, yaani chuki binafsi na Barrick. Ila nawasifu kwa PR za CSR hasa baada ya kuwaingiza Dambisa Moyo na Juma Mwapachu kwenye bodi zao. Kweli Teweli Teweli atakuwa anachekelea!

Campanero, mimi sishangai kwa huyo Juma Mwapachu kuingia kwenye hizo bodi za Barrick na Exim kwani kwa wale wanaomjua hizo ndio zake "social climber' yaani wale marehemu Chachage[RIP] aliwaita Makuwadi wa capitalism!! Nakumbuka hilo jina la Dambisa Moyo ni yule binti wa Zambia aliyeandika kitabu cha DEAD AID au mwingine wa hapa bongo?
 
I thought that Zitto had pocketed something for his personal benefit, kumbe ni kwa ajili ya shule za watoti maskini wa kitanzania ambao wanabguliwa na Serikali ya chama cha magamba kwa ajili ya kuchagua mbunge wa upinzani. This is clap!!!!
 
Soma chini ya hayo uliyoyawekea nyekundu. Nimesema kama hajakutana na Zitto basi hizo ni porojo tu na kwa kuwa Zitto kathibitisha kakutana nae na kathibisha ni habari ya ukweli rubbish ni nani hapo zaidi yako wewe.
Mwacheni FaizaFox; leo yuko poa kidogo naona somo limeanza kumuingia na yeye ni Mtanzania ati???????
 
haya ndio matatizo ya watanzania wengi kutaka kufanyiwa kila kitu. Katika kitu kama tume kuna kitu kinaitwa collective esponsibility, haiwezekanai ukae katika tume mkubaliane jambo hata kama wewe mmoja hukulipenda halafu utoke nje ulipinge. Katika hili mimi sioni makosa ya zitto yap wapi japao katika mamabo mengi huwa namkosoa ikiemo kukimbili Jf kutangaza mambo ya chama. Sasa kajirekebisha baadhi yenu mnadai kaikimbi Jf? Karibu wote mliochangi hamajaonyesha mmefanya nini kukomboa raslimali za taifa hili baada ya kumshabikia zitto na kisha kusubiri yeye ndio alete mabadiliko. Kwa staili hiyo safari ya kuleta mabadiliko katika Tz yetu bado ni ndefu sana. Kali mtu ni lazima aonyeshe kafanya nini na anaendele kufanya nin i kukomboa raslimali zetu na kuleta mabadilko.

Tabia ya watu kuto chukua hatua hata pale yanapostahili maandamano hadi Dr Slaa asem tuandamane ndio inasababisha hali yeti kuwa duni. Sasa kwa kujulikana udaifu huu ndio maana mada za kijinga kama hizi zinzletwa sasa, hala fu watu ambao hawajawahi kufanya lolote nkatika kuleta mabadiliko au kukomba raslimali zetu ndio wanakuwa wa kwanza kuchonga.
 
Zitto will become the presindent of this country in the future believe me. Kuhama haitakusaidi Mamanalia kwa sababu masikioni utaendelea kusikia Rais wa Tanzania Mh. ZZK. Labda ujinyonge, hiyo ndiyo itakuwa nafuu yako.

Mwaka gani?
 
Well well. Here we go again Zitto Kabwe! I don't want to be critical about this crapy guy but I should. Its not that Zitto always lies and tells phony stories but thats who he is. People will say or the man seem to work for good things but I disagree completely. I am ready to pronounce Zitto as criminal as ccm mps.

If you are asking why most people in Tanzania always compare Zitto with ccm green color, the answer is well explained above. It's not complicate at all and I am not surprise if Zitto's role model is Sitta and Nape. If you listen to Zitto and watch all of the talk in parliament, you will mostly find out that Zitto is always try to benefit himself personally and not his party nor the country.

The issue isn't Kigoma is poor compared to other parts of country but if you already place Barrick as not fit in one area of the country (Barrick is corrupt company) how in the hell Barrick if good for Kigomans? You can't have both ways Zitto, this is hypocrite and Zitto you are good for this. There are truth to everything you do and people don't trust you and will never trust you. Most of us knows thats you are 'a mole' in dcm for your personal gains and not the people and we promise to keep pressure until something happen to your behavior. This is just a tip of ice, stiil a lotKeep it up!

The truth here is, the facts thats Zitto you are corrupt like many ccm mps. There's no way these companies were able to renegotiate these contracts without your involvement and not only that, most of us knows how ccm deals work and you got paid and when everything is done you go to parliament and dress a face clean politician. This is how kikwete is doing to Tanzanians, he goes oversea and discuss deals behind the people but when something break loose his reaction is num i.e. dowans, epa, uda, fuel import deals. This is not new to us and Zitto knew all along what happened and still happening in ikulu and our gov. The people of Kigoma already found out how corrupt you are and you will never hide behind phony deals, a criminal is always a criminal

The self proclaim leader Zitto was placed as head of parliament committee by the same people in ccm, why so? Why Zitto always try to work alone in parliament without discussing with cdm leadership? The facts are open and Zitto is still working with ccm behind the door, doom time is near. Tanzania isn't kikwete family and Zitto you are only digging your grave sec by sec.

'Wananchi fouled for so long and the movement already took off, Zitto, Rostam and Kikwete keep it up...'
Trueth put to light, things done in darkness will always come to light!!!!!!!!
 
Kaka sahau hizo ndoto za mtu kama zito rais, mie ntahama nchi hii kama mtu kama zito ataweza kuwa rais.

Come on, what does it take to be president of this country? Nchi hii hata wewe unaweza kuwa rais. Ni rahisi mno kuongoza jamii iliyolala usingizi mzito!
 
Kama ni muelewa utaelewa na kama si muelewa, pole sana. Asiyejuwa maana haambiwi maana.

Ni kweli, wewe usiejua maana huwezi kuelewa maana! kamwe siwezi sumbua kichwa yangu ili kuelewa mada mbovu mbovu kama zako! huwezi kwa namna yoyote ile kunirubuni, eti mbunge akishawishi kampuni fulani ili iweze kutoa msaada kwa jimbo lake na akipewa msaada huo ugeuke jina na kuitwa rushwa kwake yeye binafsi! it seems huelewi kazi za mbunge, ni wabunge wangapi huwa wanaomba misaada kwenye makampuni kama vodacom,azam n.k kwa ajili madawati ya shule au baiskeli za walemavu n.k-hiyo nayo ni rushwa kwa mbunge!? ovyooo...
 
Nji hii mtauana bure, na matukio mengi yanayopita tunayasahau. Kigoma North Govt ni ya zitto peke yake? Msaada ule unawafaa wana Kigoma.Ninazo sababu nyingi za kumtetea NYEPESI.
  1. Dr Slaa akiwa Mbunge wa Karatu aliwasaidia wana jimbo lake kupata maji ya bomba no querries na tena msaada ulitoka kwa wazungu. kilichofuata ulikijua. Nitakujuza.
  2. Mwl J.K. Nyerere mwaka 1981 wakati Tanzania kuna njaa baada ya vita ya kagera alikwenda kuomba mahindi marekani ili wa Tanzania wasife njaa miaka miwil kabla yake alitoka kuwapigia kelele je, walipompa msaada walimnyamazisha?
  3. mwaka 2009 juni Rais Kikwete alikaribishwa na Uongozi wa CCBRT kwenda kuzindua baadhi ya majengo, na aliwasaidia CCBRT katika mgogoro wa kiwanja na wakapata( Mwenyekiti wa CCBRT ni dr SLAA) je, alikuwa anahongwa na Serikali ?
  4. Pamoja na NYEPESI kusakamwa na maadui zake ni jukumu la wana kigoma Kaskazini kumhukumu . Kwenu ni mwizi lakini KIGOMA Kaskazini ni mhimili na shujaa. Anawabana Wamarekani kuweka umeme wa Megawati 160 mto Malagarasi kwa kushirikiana na David Kafulila(NCCR)
  5. TUNA MHUKUMU BURE.
  6. HATA NYERERE HAKUWA MZALENDO KAMA MNAVYODAI. KWANINI ALIPOSTAAFU ALIPOKEA ZAWADI ZA MING'OMBE TREKTA, MBUZI nk.Huko ni kujilimbikizia mali. Ni ubepari. kula alikuwa anakula bure hizo mali alipokea za nini?
MTANISAMEHE WAUNGWANA
 
Bora zito alifight watoto wakaenda shule,je yule anayepelekwa shoping na kulipiwa room? Hawa barrick mm nawafaham sana nimefanyanao kazi tulawaka.pale kuna vjiji ambavyo ukienda unaweza ukalia ukiona nyumba wanazoishi wanakijiji.

These guys are so corrupted than the way you think. Wakija maofisa kutoka gov wanawekwa offisini huku tatizo linasolviwa faster,wakienda kukagua wale ma ofisa wanakuta hamna tatizo. Kuna wabongo wenzetu ambao hawana machungu na nchi yao na watz wenzao. Pale tulawaka HR alikuepo mama mmoja anaitwa suguti walimpenda sana barick coz alikuwa ni midle person wa kuwabribe viongozi wa gov.
 
Back
Top Bottom