Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kama itakua kama ulivyosema wewe basi thesis za ulaya ni rahisi mno.Semeni hivi: "Huyo mzungu katumwa na CCM na alikatiwa ticket na CCM kutoka alikotoka kuja kufanya thesis yake Tanzania na walimwambia nini cha kufanya na nani wa kumuona na pia alikuwa mgeni wa CCM kote alikotembelea" Nawashangaa sana kuwa hilo hamlisemi? Nangoja.
Ngoja niwape maujanja CHADEMA:
Ikiwa hiyo habari ndio kama ilivyo na huyo mzungu au sijui kabila gani, hajakutana na Zitto ku verify basi hiyo habari itakuwa haina maana kabisa. Ni porojo tu kama porojo zingine.
Nimekubaliana na wewe kabisa na suala la kodi limekuwa msimamo wangu kwa muda mrefu. Mchango wangu kwenye Bajeti kuu na ile ya nishati na madini nilisema hili wazi kabisa.
The reference to 'ring-fencing' referred to the paper is the theory I explained to the researcher and it paid off as tulawaka declared profit last year.
I have acted very transparently in this matter, at arms-lenght. Nani kasema corporate social responsibility watu wa kigoma hawana haki nayo?
I have never benefitted personally to any gift given by Barrick or any other mining company in Tanzania.
I am happy msaada walioutoa umewezesha kijiji cha Mkabogo kukamilisha majengo ya shule na hivyo kuwafanya watoto wa kijiji kile na kata ya Kalinzi kupata elimu ya Sekondari.
Wanaotaka kulifanya hili jambo la kisiasa sitawazuia hata kidogo. Lakini naomba lionekane kwa picha pana zaidi. Hata hivyo kama ikithibitika nimefaidika kwa namna yeyote mimi binafsi, nitawajibika
kaka yuor love for zitto is blinding you,..you seem to defend him even where he(zitto)has admitted failure..we all admire his courage lakini tunapohisi anakosea lazima tumweleze ukweli only to make him a better leader,..pamoja na upungufu wake uzalendo wa zitto ni wajuu ukilinganisha wanaccm wote except nyerere..Zitto hana muda wa kujibu pumba zako.
Kwa kukusaidia, Zitto pamoja na kupata msaada wa mabati amekuwa na msimamo wake ule ule kuhusu sector ya madini hata kwa bunge lililopita. Tatizo wewe mvivu wa kuangalia vipindi vya Bunge. Bado nakushauri uache uvivu wa kutembelea blog ya zitto utajua mengi. Una kichwa kigumu sijui tutor wako anapata shida kiasi gani.
sasa hapa ndo umerukwa na akili gafla, nia ya mfanya research nikuonyesha kuwa Zitto kahongwa that y kasema kama wewe FF na wenzako mnaamini ivyo na mtadhibitisha basi atawajibika, Mtu ukiwa unabwabwaja bila kufikiri matokeo yake ni kuandika upupu kama huu ulioandika, Think criticaly.Hapo nilipoweka nyekundu, unataka ithibitike mara ngapi? wakati wewe mwenyewe umekiri kuwa hili ni kweli.
Una maana kama jimbo lako limefaidika wewe hujafaidika binafsi? kwani huo msaada aliuomba nani kwa Barrick? na nani aliwapa anuani za kupeleka huo msaada huko jimboni kwako? Kwa nini wasipeleke kabla hujaanza kukemea mikataba na wapeleke huo msaada baada ya wewe kupiga kelele?
Halafu unasema utawajibika ikithibitika na ilhali imeshathibitika kuwa umefaidika jimboni kwako. Na wewe ndio mbunge wa hilo jimbo lako. Kwanini usiwajibike ukapisha uchunguzi wa kina ili ujisafishe? Ithibitike nini zaidi ya hivi?
Meanwhile, the Tanzanian government doesn't raise enough tax revenue to do its job. There's still no paved road crossing the country, one in ten children dies before turning five and according to a speech by president Kikwete in November 2010, only 14 per cent of Tanzanians have electricity. Debt stands at $11 billion as of December 2010, up $800 million from the previous year.
Barrick has some big numbers of its own, but they barely affect the country's budget. Tanzania exported $1.5 billion worth of gold in 2009, 40 per cent of the value of all Tanzania's exports, and most of that gold was Barrick's. But Barrick only paid $37 million in royalties and levies that year about one per cent of Tanzania's total tax revenue of $3.27 billion. Employees paid another $37 million in taxes on their salaries.
Tafathali naomba tusiite huu ni msaada, huu ni wajibu, haiwezekani mzungu aje kuchukua madini ya matrilioni ya fetha wakati kijiji kilichopo 600 km kutoka kwenye mgodi husika hakina madarasa ya kusomea. Huu ni wajibu na sio msaada rethink plz.kaka yuor love for zitto is blinding you,..you seem to defend him even where he(zitto)has admitted failure..we all admire his courage lakini tunapohisi anakosea lazima tumweleze ukweli only to make him a better leader,..pamoja na upungufu wake uzalendo wa zitto ni wajuu ukilinganisha wanaccm wote except nyerere..
whatever it is msaada kutoka barrick to our law makers una aina flani ya conflict of interest
Hii ya Zitto ni cha mtoto (even if true). Kuna mtu anaweza kusema kwanini hadi leo hii hakuna hata police invistigation kuhusu mauaji ya wale watu watano huko Nyamongo na baadae maiti kutelekezwa barabarani? Kwa nini hakuna uchunguzi hata kama utasema marehemu 'walikuwa na makosa'? Why?
Then wakati wa kikao cha bunge hili la bajeti lililoisha hivi karibuni kuna special 'events' mbili ambazo ni tata:
1. Ubalozi wa Canada waliandaa chakula maalum kwa wabunge wote huko Dodoma kwa kisingizio kuwa wanasheherekea Canada day. Hata hivyo siku waliyotoa huo mnuso haikuwa 'days before' the actual Canada day! Na kipindi hiki kulikuwa bado na majonzi ya Nyamongo. Wabunge wamepata mnuso, Nyamongo killings forgotten?
2. Asha Doctor Migiro bado anaonekana kuvutiwa sana na siasa za bongo na hivi majuzi (wakati wa kikao cha bunge la bajeti) alikuwa Dodoma kwa another set of special 'events'. Lakini moja alikuwa mgeni rasmi kwenye mkutano mkuu wa Tanganyika Law Society (TLS). Mpaka hapo hakuna shida. But guess who was the main sponsor? - Barrick!
Sasa jumlisha, Wabunge wamepata mnuso, wanasheria wamepata push! Kama haitoshi vile, Balozi wa Canada baada ya hizi shughuli mbili kaenda kuwatembelea Media Council!!! Sijui anawaatakia nini hawa media na sjui kama kuna mtu huko Media Council aliweza kuanganisha TIMING ya ujuo wa huyo balozi na matukio ya Nyamongo. Nadhani hawa ndugu zetu walifikiri amekuja kuwasifia kuhusu utendaji wao wa kazi!
Sasa hivi tunaona tunayoona, kodi hakuna, mahusiano na wakazi wa maeneo ya migodi ni mgogoro, na wenye nafasi ya kurekebisha wanakaa kimya.
Mwisho, someni hapo kwenye red: Kodi za wafanyakazi zinalingana na royalties & levies za kampuni. What a coincedence?
But Barrick only paid $37 million in royalties and levies that year about one per cent of Tanzania's total tax revenue of $3.27 billion. Employees paid another $37 million in taxes on their salaries.
sasa hapa ndo umerukwa na akili gafla, nia ya mfanya research nikuonyesha kuwa Zitto kahongwa that y kasema kama wewe FF na wenzako mnaamini ivyo na mtadhibitisha basi atawajibika, Mtu ukiwa unabwabwaja bila kufikiri matokeo yake ni kuandika upupu kama huu ulioandika, Think criticaly.
@ Zito. Usijibu hili tafathali nimeshalimaliza.
Hii habari ni ya kweli kabisa. Huyo mwandishi (mtafiti) alinihoji na mie ndio niliweka wazi kuwa Barrick mwaka 2008 walinunua mabati kwa ajili ya shule ya Sekondari Mkabogo katika Jimbo la Kigoma Kaskazini. Sikuwahi kushika mkononi pesa hizo wala kushiriki kuamua zitumike namna gani. Niliamua hivyo kwa uwazi kabisa na ndio maana sikuwahi kuficha suala hilo na hata kuliweka wazi kwa mwanafunzi huyu ambaye alinihoji mwaka 2010.
Sijawahi kuwa kimya kabisa katika suala la sekta ya madini. Nilisimamia kuandikwa kwa sheria mpya na kuhakikisha inakuwa na maslahi kwa Watanzania. Nimekuwa mkali kutaka kampuni za madini kulipa mrahaba wa madini wa sasa kwa mujibu wa sheria mpya. Ukitembelea blog yangu utakuta hotuba zangu Bungeni zenye misimamo yangu ya wazi kabisa kuhusu sekta ya madini.
Nakaribisha mtu yeyote aende Jimboni kwangu, kijiji cha Mkabogo akafanya uchunguzi kuhusu msaada ule. Nipo tayari pia Halmashauri ya Wilaya waweke wazi account iliyopokea pesa hizo na kuweka matumizi yao wazi.
Mimi binafsi sijawahi kupokea msaada wowote binafsi kutoka kampuni ya Barrick. Siku zote nimekuwa na misimamo isiyoyumba kuhusu sekta ya madini na nimekuwa nikiwa engage sana Barrick ili Tanzania ifaidike na madini yake.
Hata hivi sasa ukienda kwenye blog yangu zittokabwe.com utakuta nimewasema Barrick kwa kutolipa kodi ya mapato. Niliwasema katika interview na huyo kijana kutoka Canada kuhusu jambo hilo na niliwasema katika mijadala ya vyuo vya elimu ya juu kuhusu madini.
Ninaamini makampuni yana jukumu la kusaidia jamii. Kwamba Barrick walisaidia ujenzi wa shule ya Sekondari Jimboni kwangu, Jimbo ambalo lipo nyuma sana kimaendeleo ni jambo la kushukuru na sioni tatizo lolote la kimaadili.
Mkuu msaada kweli ni msaada tu hauna haki.Na ninajua kuwa migodi na rasilimali zingine ni lazima zinufaishe taifa kwa ujumla wake.Sipingi mgodi wa barick kusaidia jimbo la kigoma kaskazini kwani ni Tanzania pia.Concern yangu ni kwa kuzingatia historia ya zitto na barick zitto hakuona kuna kuonekana kama ananyamazishwa hata kama sio kweli?
Huu kama si wendawazimu ni kitu gani?Yani kwanza eti wao ndiyo wana tudai,tena $121 millions.Aside from not receiving corporate income tax, Tanzania actually owes Barrick millions. In Tanzania, companies pay a "value-added tax" similar to Canada's GST when they buy goods and services and import fuel.As in Canada, the government owes a refund when companies pay more VAT than they collect from their customers. Barrick has no Tanzanian clients so it's entitled as of December 2010 to a total refund of $121 million that Tanzania over-collected over the years and can't afford to repay. It's more than one per cent of the country's official debt.
Wewe useme halafu uniambie nisijibu na tuko kwenye open forum hapa, kama hutaki kujibiwa kaa utazame tu na usichangie.
Kama sio rushwa hiyo ni nini? kapewa huo msaada baada ya kuanza kupiga kelele kuhusu Barrick na si kabla. Ajibu maswali niliouliza au mjibie wewe.
Halafu nakuomba tafadhali sana, jibu hoja zangu lakini usinitukane binafsi hapo nilipokuwekea rangi nyekundu. Hunijui sikujui hapa tunabadilishana mawazo na kila mtu ana yake. Tafadhali chunga heshima yako nawe uheshimiwe.
Sitaki na sipendi kuamini kuwa kichwani mwako kuna ugoro badala ya ubongo kwa jinsi unavokuwa mgumu kuelewa aidha kwa makusudi au ndo kipaji chako cha kutoelewa! inaelekea we ni mtu mzima lakini bado unavaa nepi! hujui tofauti kati ya mtu kufaidika binafsi na manufaa ya jamii? hivi rais jk alipoomba msaada wa kujengewa udom ilikuwa kwa manufaa binafsi au kwa taifa? na ungesemaje kama angemmlikisha mkewe- mama salma au mwanawe ridhiwani?Hapo nilipoweka nyekundu, unataka ithibitike mara ngapi? wakati wewe mwenyewe umekiri kuwa hili ni kweli.
Una maana kama jimbo lako limefaidika wewe hujafaidika binafsi? kwani huo msaada aliuomba nani kwa Barrick? na nani aliwapa anuani za kupeleka huo msaada huko jimboni kwako? Kwa nini wasipeleke kabla hujaanza kukemea mikataba na wapeleke huo msaada baada ya wewe kupiga kelele?
Halafu unasema utawajibika ikithibitika na ilhali imeshathibitika kuwa umefaidika jimboni kwako. Na wewe ndio mbunge wa hilo jimbo lako. Kwanini usiwajibike ukapisha uchunguzi wa kina ili ujisafishe? Ithibitike nini zaidi ya hivi?
Baada ya kusoma hayo, sasa naanza kuunganisha dots, Ni ubalozi wa Canada ndio main sponsors kwa study tour za abroad kwa Media Council.Hii ya Zitto ni cha mtoto (even if true). Kuna mtu anaweza kusema kwanini hadi leo hii hakuna hata police invistigation kuhusu mauaji ya wale watu watano huko Nyamongo na baadae maiti kutelekezwa barabarani? Kwa nini hakuna uchunguzi hata kama utasema marehemu 'walikuwa na makosa'? Why?
Then wakati wa kikao cha bunge hili la bajeti lililoisha hivi karibuni kuna special 'events' mbili ambazo ni tata:
1. Ubalozi wa Canada waliandaa chakula maalum kwa wabunge wote huko Dodoma kwa kisingizio kuwa wanasheherekea Canada day. Hata hivyo siku waliyotoa huo mnuso haikuwa 'days before' the actual Canada day! Na kipindi hiki kulikuwa bado na majonzi ya Nyamongo. Wabunge wamepata mnuso, Nyamongo killings forgotten?
2. Asha Doctor Migiro bado anaonekana kuvutiwa sana na siasa za bongo na hivi majuzi (wakati wa kikao cha bunge la bajeti) alikuwa Dodoma kwa another set of special 'events'. Lakini moja alikuwa mgeni rasmi kwenye mkutano mkuu wa Tanganyika Law Society (TLS). Mpaka hapo hakuna shida. But guess who was the main sponsor? - Barrick!
Sasa jumlisha, Wabunge wamepata mnuso, wanasheria wamepata push! Kama haitoshi vile, Balozi wa Canada baada ya hizi shughuli mbili kaenda kuwatembelea Media Council!!! Sijui anawaatakia nini hawa media na sjui kama kuna mtu huko Media Council aliweza kuanganisha TIMING ya ujuo wa huyo balozi na matukio ya Nyamongo. Nadhani hawa ndugu zetu walifikiri amekuja kuwasifia kuhusu utendaji wao wa kazi!
Sasa hivi tunaona tunayoona, kodi hakuna, mahusiano na wakazi wa maeneo ya migodi ni mgogoro, na wenye nafasi ya kurekebisha wanakaa kimya.
Mwisho, someni hapo kwenye red: Kodi za wafanyakazi zinalingana na royalties & levies za kampuni. What a coincedence?
But Barrick only paid $37 million in royalties and levies that year about one per cent of Tanzania's total tax revenue of $3.27 billion. Employees paid another $37 million in taxes on their salaries.
Wewe useme halafu uniambie nisijibu na tuko kwenye open forum hapa, kama hutaki kujibiwa kaa utazame tu na usichangie.
Kama sio rushwa hiyo ni nini? kapewa huo msaada baada ya kuanza kupiga kelele kuhusu Barrick na si kabla. Ajibu maswali niliouliza au mjibie wewe.
Halafu nakuomba tafadhali sana, jibu hoja zangu lakini usinitukane binafsi hapo nilipokuwekea rangi nyekundu. Hunijui sikujui hapa tunabadilishana mawazo na kila mtu ana yake. Tafadhali chunga heshima yako nawe uheshimiwe.
Kazi kweli kweli,ina maana Zitto amelegeza kamba dhidi ya udhalimu huu wa Barricks?Baada ya kusoma hayo, sasa naanza kuunganisha dots, Ni ubalozi wa Canada ndio main sponsors kwa study tour za abroad kwa Media Council.
Nilibahatika kuingia kwenye moja ya selecting panel ya kuchagua waandishi wa kwenda study nje ya nchi, kwanza hao Wacanada wakalazimisha lazima hiyo sponsorship ipitie MCT, MCT wakaleta majina ya wale wazee wao, mimi hili nililipinga kwa nguvu zangu zote nikisisitiza wapewe nafasi waandishi vijana ambao ni active kwenye media, niliwablend hao wazee wa MCT kuwa ni 'spent force', Wacanada wakang'ang'ana na wazee wale, sasa ndio naanza kupata picha!
Ile sherehe ya siku ya uhuru wa habari ya Mwaka juzi, iliyofanyika pale hoteli moja pale Mnazi Mmoja, main sposor ni ubalozi wa Canada na alikuja balozi mwenyewe!. Sponsor wa pili ni mzee wetu mkarimu mmiliki wa media house kubwa nchini. Nilipopata wasaa kuchangia, niliwabamiza MCT wao kama regulator, kwanini wafadhiliwe na media house moja, nikaorodhesha baadhi ya madudu ya hiyo media mbele ya mmiliki, nikazimiwa kipaza sauti na kuambiwa, kauli zangu zitaonyesha ukosefu wa shukrani kwa waliotoa fedha zao. Wakati wa kupata vinywaji balozi wa Canada alizungumza nani kujua kwa nini naiblast MCT, nilimweleza.
Mwaka huu katikati, nilikuwa approched na Ubalozi wa Canada wakanipa offer ya kuwa Political Advisor na kuahidi kunilipa pesa yoyote, very unfortunately I refused thier offer because I had other plans of my own, sisi wengine, tutajifia masikini na patriotic pride kwa taifa letu, nikiangalia kumbe mambo yenyewe ni haya, sijutii kuikataa job offer yao, najisikia heri kubaki masikini jeuri kuliko kuuza utu na utaifa wetu kwa shibe ya siku moja!.
Binafsi Zitto namuaminia sana, na pia niliamini yuko bold enough to stand any test in time, aliposhambuliwa mwaka jana kuhusu abrupt personal gain ya jumba masaki, hammuer, vogue na vx kadhaa, aliorodhesha income zake ku justfy ila pia akaisusa rasmi jf, nikamsisitia kwa boldness yake, hakuwa na sababu ya kususa, alisema bado hutembelea sana jf as a guest na atachangia pale tuu, patakapobidi sana.
Wakati tukiendelea kusubiri majibu ya Zitto, wana jf, naomba tukubali, kwenye mapambano, ukijiona huwezi kuwashinda adui zako, ama una surrender, ama una retreat. Ile formular ya no retreat no surrender, ni fomuler ya kupigana mpaka risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu limemwagika but at the end of the day, utasifiwa umekufa kishujaa but you are dead!. Inawezekana Zitto baada ya kujua hawezi kuwashinda, alitumia ile option ya "if you can't beat them, join them" tumpe benefit of doubt kuwa amekubali ili kuwainua wanaKogoma kielimu hivyo sasa Kigoma hawadanganyiki tena ndio maana CCM imepata kipigo, hivyo kujustify kupokea chochote kitu cha Barrick watoto wasome!.
Ukali? Ukali wa namna gani sasa? Nilikuwa mkali kwenye mkataba wa Buzwagi. Hapajasainiwa mkataba mwingine wa madini toka Buzwagi. Kuna sheria mpya ya madini. Tulawaka wameanza kulipa kodi, resolute wameanza kulipa kodi.
Bungeni, hili Bunge la juzi tu nimetaka kuwe na windfall tax kwenye madini (hotuba yangu ipo zittokabwe.com).
Bungeni katika hotuba ya Wizara ya Nishati na Madini nimemtaka Ngeleja atoe notice kwa mining companies kuhusu new royalty rates waanze kulipa.
Hotuba yangu ipo katika blog yangu zittokabwe.com! Ukali upi unaousema sasa?
Lakini jambo la muhimu sana kujua katika siasa, a politician grows. I do. I must graduate from being a divisive figure to a uniting figure.
I must understand the sector and engage them. I have been doing that. Siwezi kuwa mpayukaji tu.