Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

Mhaini mrembo! Ila, Tanzania imeshindikanika!!

Jamani pazeni sauti sana sana,hawa watoto wanateswa huko balaa.Kuna mmoja ameonekana na majeraha ya kuchomwa na pasi, si sawa kabisa.

Eeee Mungu tenda jambo tupone.
Mungu ashindwe kulinda uhai wa waliopigwa risasi aje kuhangsika na wanaochomwa pasi?
Mungu yuko bize kueneze udini na kukusanya sadaka zake.
 
Back
Top Bottom