Una utaahira kibaka mkubwa wewe.sishangai sana kwani umdhaniae sio kumbe ndio
Dah wewe dogo unanifurahisha Sana .Huyu ndo wale pisi kabla hujawamwagia ndani, unamwaga chini kushukuru mizimu
Wana wakomaza vijana tu ili baadae wawe wagumu zaidi,
Kaka nice to see you...kaka mambo sio powaDah wewe dogo unanifurahisha Sana .
ni mambo hata wahenga walitutadharisha nduguUna utaahira kibaka mkubwa wewe.
Bila shaka hiyo itakuwa mizimu ya nyonya damu wa Tanganyika.Huyu ndo wale pisi kabla hujawamwagia ndani, unamwaga chini kushukuru mizimu
Kaka nashukuru niko salama ila Mambo sio poa kabisa aisee.Kaka nice to see you...kaka mambo sio powa
Hatakaa sana mkuu, kuwa na imani.Dogo mdogo kabisa huenda hata polis hajawah fika,leo yupo lumande,pole yake
Mbaya zaidi atakaa muda mrefu huko kwa maelekezo
Sio kweli ila kwa sababu ni mnufaika wa mfumo utashupaa.ni mambo hata wahenga walitutadharisha ndugu