kwani vina utaratibu?
Ni mwendo wa TANZIA tu, yaani. Ila kushindwa kupumua ni mateso makubwa
itakusaidia nini?Hatujaambiwa kafa kwa ugonjwa gani?
Usiulize sana, usije kuitwa Chato kupimwa mkojo
nani alikuambia hospitali wanazuia kifo?Walikua wanakufa,sio kwa rate hii wewe maiti...