TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

Kumbe UDART Kuna watu waliokwenda shule.
Mrani unaendeshwa Kama vile viongozi Ni wapiga debe stendi ya Mafinga
Marehemu alikuwa msomi mzuri tu. Aliwahi kuwa mhandisi wa manispaa ya Ilala kipindi kile jengo la ghorofa 16 lilipoporomoka mtaa wa Indira Gandhi na kuua makumi ya watu mwaka 2013 ambapo yeye na wenzie kadhaa walisimamishwa kazi baada ya kuonekana kwamba walitoa kibali cha ujenzi wa ghorofa zaidi ya idadi iliyotakiwa kujengwa kwenye kiwanja hicho. Baadae akaenda Mamlaka ya Bandari (TPA) kama mkurugenzi wa huduma za kiuhandisi kabla ya hivi karibuni kuhamia huko DART alikofia. Apumzile kwa amani.
 
Nikumbushe Infantry Soldier 🤔
Wakati Dr. Kikwete ameingia madarakani na Mzee Lowassa akiwa Waziri mkuu, kuna ghorofa iliwahi kuanguka inaitwa Twiga Inn Hotel kula maeneo karibia na gereza la Keko.

Huyu marehemu ndio alikuwa engineer wa Wilaya ya Temeke na Mh. Lowassa akaamuru asimamishwe kazi na awekwe ndani mara moja.
 
Ooh nimekumbuka ule moto wa Lowasa
Apumzike kwa amani engineer Ogare. Amemaliza kazi alizotumwa🙏
 
Back
Top Bottom