TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

TANZIA Mhandisi Charles Salus Ogare wa DART afariki dunia

Acha kutafuta kiki basi,eti mkurugenzi wa Dart,kwani ukisema mkurugenzi wa kitengo husika unaona utakosa views kwenye uzi wako?
Kumbe kuhabarisha kifo ni kiki.
 
Mbona ni viongozi tu halafu kwa ugonjwa unaofanana.
kwani viongozi hawaruhusiwi kufa? usipende kuhoji ujinga, kufa aina ya kifo na ugonjwa utakaosababisha kifo bado ni siri ya aliyetuumba.
 
hali sio nzuri tuchukue tahadhari nyungu zilituvusha salama kwenye hili
 
Back
Top Bottom