Akipata hata 20% ya kura za wajumbe wa CCM nipigwe ban ya maisha hapa JF.
Akipitishwa na CCM niitwe mwendawazimu.
CCM huko Mwanga ina wenyewe, na wenyewe ni wanaume huwa wanatokea huko sijui Ugweno na Usangi. CCM kuleta mgombea kutokea tambarare (kama huko Lembeni) bado sana, labda miaka 50 ijayo ikiwa CCM itakuwepo (kitu ambacho kwa 100% hakiwezekani).