CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Hela ya kuupa hadhi ya kimataifa uwanja wa Mwanza ndiyo ile dhalim akaenda kujenga uwanja kijijini kwake ChatoHuu uwanja una gundu gani? Mbona kama ngonjera zimekuwa nyingi sana?
Pascal Mayalla hebu tusaidie kuelewa nini kinausibu huu uwanja. Hata Magufuli na macomfidence yake aliushindwa?
Kuna nini kwenye ujenzi wa Mwanza Airport?