Huu uwanja una gundu gani? Mbona kama ngonjera zimekuwa nyingi sana? Pascal Mayalla hebu tusaidie kuelewa nini kinausibu huu uwanja. Hata Magufuli na macomfidence yake aliushindwa?
Hili la kiwanja cha ndege Mwanza linapunguza point kwa Rais kwa kanda ya ziwa.Hakuna international airport kabisa. Wananchi wanasikitika wakifika uwanjani hapo. kero
Indeed, this is very interesting!!! Nani aliye design na kuanza ujenzi wa uwanja huo mpaka stage iliyofikia? Hakuwa na qualifications au hakuwa na washauri wanaolewa mahitaji ya viwanja vya kisasa?
Definetely waliosimamia na kujenga kitu kisicho na viwango, wengine au wote au baadhi wako serikalini. Wamechukuliwa hatua gani? Hii project ni ya awamu ya tano?
Je haikufanyika kwa forced account, ambacho ilijaa wajuaji wasio na weledi wowote wa ujenzi zaidi ya kupiga tu?