Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru, Ernest Sungura CCM mlifanya usaili?

CCM kwa kujikosha...hiki kwa kweli ni chama cha wanafiki, kama wewe si mnafiki unafanya nini huko?
 
Hayo ni mawazo yako yasiyo na tija.
Nikuulize tu, kina Slaa, Nasari na Kitila waliolelewa na upinzani wako wapi?
Walirudi nyumbani. Ndege wafananao huruka pamoja. Ninachoweza kukuambia ni kwamba Slaa katu hakushiriki katika mapambano ya kudai demokrasia ya vyama vingi. Kama uko karibu naye muulize kitu gani kilimkimbiza kutoka CCM na kupewa hifadhi ya muda Chadema.
 
Kwa kukusaidia tu ni kwamba Mhusika alikuwa hatakiwi hapo na ana Bifu na Boss wa Chama wa sasa.

Hivyo basi kilichofanyika hapo ni Kumchezeshea mchezo kupitia huyo Mhariri Mtendaji ili sababu ya Kumuondoa ipatikane na Mbinu imefanikiwa tena mno tu.

Haya Madai yako juu yake ya Rushwa na Kifisadi yanajulikana na ndiyo maana unaona hata baada ya Kusimamishwa tu Kazi kuna Tume ya Kumchunguza imeshaundwa na hapo ndiyo anaenda Kumalizwa vizuri.

Huyo Mhariri Mtendaji Rashid Zahoro kwakuwa ameshamaliza Jukumu lake la Kimkakati kimya kimya kuna mahala atawekwa na kuendelea tu Kula Maisha wenyewe mnaita Kula Bata.

Na huyu huyu Ernest Sungura kwa Faida yako na ya wengine ndiye Shareholder mkubwa wa Chuo cha Kiujanja Ujanja cha Uandishi wa Habari cha TSJ akishirikiana na Wajanja Wajanja wenzake kadhaa.
 
Huu ndio uzuri wa jf
 
Hayo ni mawazo yako yasiyo na tija.
Nikuulize tu, kina Slaa, Nasari na Kitila waliolelewa na upinzani wako wapi?
Slaa hakuwahi kulelewa na upinzani , alikimbia ccm kusaka madaraka upinzani , hata Kitila Mkumbo alikuwa upinzani kimkakati , chadema walipomstukia akaamua kujiunga na Zitto Kabwe kabla hajarudi ccm
 
Alikuwa SKM Gang?
 
CCM wasipojipanga,na upinzani wakaacha utoto,naona anguko la chama changu kama atasimama Samia.

Sent using Jamii Forums mobile app
CCM jamani haitegemei sanduku la kura! Kwani Wilson Mahera ametoka pale? Kwani Simon Sirro na genge lake hawapo? Maded utopolo je? Mama hatashinda kura lakini atashinda u Rais!
 
Kwa hali mpaka ilipofikia leo jibu ni kuwa mama urais anauhitaji kwa nguvu zoote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…