Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru, Ernest Sungura CCM mlifanya usaili?

Mhariri Mtendaji wa gazeti la Uhuru, Ernest Sungura CCM mlifanya usaili?

Dont think it was a mistake.
Ilipangwa hiyo kitu.
Kama vigogo walioenguliwa Bashiru, Pole pole hawana mkono hapo nitashangaa!
Polepole ni openly anti Mama Samia.
Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubuti
 
Kama ni kweli Mama ana mpango wa kugombea 2025, basi afanye kufagia ndani ya chama na serikali wale wote wanaojaribu kupima joto lake kwa mikono!
 
Back
Top Bottom