Babe la mji
JF-Expert Member
- Dec 14, 2019
- 983
- 2,058
Hao jamaa m nawaona mwisho wa siku ni washindi tusubili muda utatoa majibu.Hawaogopi wanafanya kwa mkakati madhubutiDont think it was a mistake.
Ilipangwa hiyo kitu.
Kama vigogo walioenguliwa Bashiru, Pole pole hawana mkono hapo nitashangaa!
Polepole ni openly anti Mama Samia.