Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?
Michezo iko mingi na sio soka tu.......hawa TFF na FIFA wasitake kutupelekesha
Tutapoteza kuwa kichochoro cha timu nyingine kupata ushindi, kirahisi, lakini kikubwa zaidi tutapoteza posho zinazotokana na safari za nje Pamoja na mgawo wa fedha zinazotoka FIFA. Upo mkubwa!Halafu kwani kuna kitu gani cha kupoteza !
haijawahi tokea serikali za kiafrika zikashindana na FIFA na zikafanikiwa. Mtafungiwa tu,na mtarudi kuomba msamaha wenyewe bila kushurutishwa. Mnadhani TFF ni sawa na magazeti
Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?
iko hivi....Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.iko hivi....
1`-Amos makala ameoa MHAYA
2-Fenela Mukangara- MHAYA
3-LUCY RWEZAURA- MHAYA
4-JAMAL MALINZI- MHAYA
MALINZI AMETUMIA ZAID YA 600 MILLIONS KWA AJILI YA KU LOBBY WIZARA KUPITIA MTANDAO WA KIHAYA HAPO JUU.....SWALI LA KUJIULIZA MAKALLA ALIKUWA WAPI WAKATI AMIN BAKHRESSA ANAONGOZA BILA YA KIGEZO?
SWALI LA PILI KWA MALINZI HIVI HAKUJUA KWAMBA KULIKUWA NA UKIUKWAJI WA KATIBA KABLA YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA......
TATIZO HILO GROUP TAJWA HAPO JUU LILIJUA MALINZI ANGESHINDA SASA KUONDOLEWA IMEKUWA PIGO....NAFIKIRI SERIKALI HAKIKUWA CHOMBO SAHIHI CHA KUTOA MAAMUZI YA KUTUMIKA KATIBA YA ZAMANI..WENYEWE WALIKUWA FIFA SASA KWA SABABU YA UKABILA NA RUSHWA.. taratibu naanza kuona serikali imeingizwa katika kashfa mpya
Mleta mada nashindwa kumuelewa.Michezo iko mingi na sio soka tu.......hawa TFF na FIFA wasitake kutupelekesha
saaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.safi get likeMichezo iko mingi na sio soka tu.......hawa TFF na FIFA wasitake kutupelekesha
huo mgao unamfaidisha nani kwanza huo ndio unaofanya watu wajitengenezee watu wao kwenye madaraka mi naona fifa wanachelewa tu.fungia sisi tenga likawekewe nyanyaTutapoteza kuwa kichochoro cha timu nyingine kupata ushindi, kirahisi, lakini kikubwa zaidi tutapoteza posho zinazotokana na safari za nje Pamoja na mgawo wa fedha zinazotoka FIFA. Upo mkubwa!
kaka kama wanajua huna sifa kwanini wasikuache ukashindwa kwenye kura huyo mkabila chan naye na wambura ni mhayaBwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.