Mhe Amosi Makala..vs.. Fifa

Mhe Amosi Makala..vs.. Fifa

sinafungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2010
Posts
1,527
Reaction score
865
Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?
 
Michezo iko mingi na sio soka tu.......hawa TFF na FIFA wasitake kutupelekesha
 
Wizara ya ndugu makalla ni ya michezo, vijana utamaduni na habari, hivyo basi FIFA wakitufungia wizara haiwezi kufa kwani itaendelea na mambo mengine, FIFA ni mpira wa miguu tu, so fifa hawawezi kutufungia wacheza Draft wala Bao. FAT no TFF wanataka watufanye watanzania wote wajinga
 
haijawahi tokea serikali za kiafrika zikashindana na FIFA na zikafanikiwa. Mtafungiwa tu,na mtarudi kuomba msamaha wenyewe bila kushurutishwa. Mnadhani TFF ni sawa na magazeti
 
Halafu kwani kuna kitu gani cha kupoteza !
Tutapoteza kuwa kichochoro cha timu nyingine kupata ushindi, kirahisi, lakini kikubwa zaidi tutapoteza posho zinazotokana na safari za nje Pamoja na mgawo wa fedha zinazotoka FIFA. Upo mkubwa!
 
itakuwa na nafasi nzuri ya kuendeleza michezo ya asili kama bao vile, ni tff bana...!
 
haijawahi tokea serikali za kiafrika zikashindana na FIFA na zikafanikiwa. Mtafungiwa tu,na mtarudi kuomba msamaha wenyewe bila kushurutishwa. Mnadhani TFF ni sawa na magazeti

Aidha haijawai tokea hata serikali za ulaya zikafanikiwa kubishana na fifa. Acha tanzania ijidanganye
 
tenga na wahuni wake wasitake kutuzingua kama ni kufungiwa tufungiwe lakini sheria zifuatwe..
 
Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?

Yaani Serikali yetu imezoea kuchakachua Chaguzi mbalimbalina wananchi tunawachekea tu.

Sasa wanataka kuchakachua Katiba ya TFF suala la uchaguzi wa viongozi wake. Wanafikiri ni katiba ya CCM ile.

Acha kuchezea FIFA wewe!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Serikali haiwezi kushindana na FIFA hapo ninkuwa wapole tu serikali inyanyue mikono juu.Yaliowakumba Mwanahalisi na wao yanawakuta sasa
 
Nchi wacha iwe nchi na FIFA wacha iwe fifa kama vp watufungie tu kwani muda wote sie ni washiriki tu atuna jipya. Serikali komaeni nao msitetereke
 
kuliko kubuluzwa na Tenga na kundi lake ni bora tufungiwe aisee,TFF si mali ya Tenga
 
Pia kwako waziri wa habari , utamaduni,vijana na michezo. MHE F Makangala , mnasema mmepata barua toka FIFA ikiulizia serikali kuingilia shughuli za TFF na inatishia kutufungia, JIBU LENU KAMA VIONGOZI MLIOPEWA DHAMANA KUSIMAMIA MICHEZO mnasema HAMTISHIKI, sasa kama upo hapo kwa kazi hiyo tukiisha fungiwa na FIFA kazi yenu itakuwa nini.....?
iko hivi....
1`-Amos makala ameoa MHAYA
2-Fenela Mukangara- MHAYA
3-LUCY RWEZAURA- MHAYA
4-JAMAL MALINZI- MHAYA

MALINZI AMETUMIA ZAID YA 600 MILLIONS KWA AJILI YA KU LOBBY WIZARA KUPITIA MTANDAO WA KIHAYA HAPO JUU.....SWALI LA KUJIULIZA MAKALLA ALIKUWA WAPI WAKATI AMIN BAKHRESSA ANAONGOZA BILA YA KIGEZO?
SWALI LA PILI KWA MALINZI HIVI HAKUJUA KWAMBA KULIKUWA NA UKIUKWAJI WA KATIBA KABLA YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA......
TATIZO HILO GROUP TAJWA HAPO JUU LILIJUA MALINZI ANGESHINDA SASA KUONDOLEWA IMEKUWA PIGO....NAFIKIRI SERIKALI HAKIKUWA CHOMBO SAHIHI CHA KUTOA MAAMUZI YA KUTUMIKA KATIBA YA ZAMANI..WENYEWE WALIKUWA FIFA SASA KWA SABABU YA UKABILA NA RUSHWA.. taratibu naanza kuona serikali imeingizwa katika kashfa mpya
 
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.
 
Last edited by a moderator:
Tutapoteza kuwa kichochoro cha timu nyingine kupata ushindi, kirahisi, lakini kikubwa zaidi tutapoteza posho zinazotokana na safari za nje Pamoja na mgawo wa fedha zinazotoka FIFA. Upo mkubwa!
huo mgao unamfaidisha nani kwanza huo ndio unaofanya watu wajitengenezee watu wao kwenye madaraka mi naona fifa wanachelewa tu.fungia sisi tenga likawekewe nyanya
 
Bwana Mapesa,mimi ni mwoga sana kuzungumzia hoja za ukabila,ukanda na udini,historia inaonyesha hoja hizi zimeleta maafa mengi duniani.Hayo tuyaache turudi kwenye hoja ya msingi...Katiba.Hapo kwenye blue unauliza wakati nachukua fomu sikujua kuwa kulikuwa na ukiukwaji wa katiba? let me refresh your memory,Novemba 29 mwaka jana TFF walipotoa barua yenye azimio la kubadili katiba kwa njia ya waraka mkoa wa Kagera ambao mimi ni Mwenyekiti wake ulipinga utaratibu huu kwa madai kuwa unakiuka katiba ya TFF,katiba ya TFF ibara ya 22(1) iko wazi inasema katiba itabadilishwa kupitia mkutano mkuu TU (General assembly) na si vinginevyo. Msimamo wangu huu pamoja na hoja ya uzoefu ndivyo vilisababisha Kamati ya rufaa chini ya ya Bw Iddi Mtiginjola ikate jina langu.Kama mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ninawajibika kuilinda katiba ya TFF,ninaamini hata wewe ungekuwa mjumbe wa mkutano mkuu wa TFF ungeniunga mkono katika hili.
kaka kama wanajua huna sifa kwanini wasikuache ukashindwa kwenye kura huyo mkabila chan naye na wambura ni mhaya
 
Back
Top Bottom