Mhe. John Komba anauza shule yake ya Bakili Muluzi Secondary School

Mhe. John Komba anauza shule yake ya Bakili Muluzi Secondary School

imeanza bendi chalii..pamoja na mbwembwe za kuchukua mpka wakongoman, alitegemea nini kumuachia yule mwanae wa kiume mlevi mbwa uongozi wa wanataaluma kama walimu. Alitegemea nini kumuachia mlevi na mpenda mabaamedi kama yule anayekunywa mpaka anajisahau baa. Sijui hata huko shuleni alikuwa anawasimamia vipi watu werevu kama walimu.

Walimu wa siku hizi wanaweza kuingia darasani wasifanye kitu, sasa kama mtu mwenyewe elimu yenyewew aliunga unga fk schools unategemea nini hapo?

Baa zote huku mbezi beach zinamtambua, stela matutina yote anafahamika!

like father like son!!!
 
wameweeka na deadline kabisa. sasa asipojitokeza mteja by that date inakuwaje?
 
Hafai hata huo ubunge sijui alitumia njia gani kuupata.
 
Shule za kata haziwezi kusababisha shule binafsi kukosa wanafunzi, wenye pesa bado watawapeleka watoto wao shule za binafasi tu.
 
Back
Top Bottom